Aliyekuwa IGP wa tanzania Simon Sirro aliona mbali. Aliwahimizi Watanzania kumiliki Silaha ndani ili kujilinda. Unakuta Mtanzania hana hata manati.
Ndo maana Waganda wanatuchezea. Kwa hali ilivyo sasa, kila mtu ajihami kivyake. Kaa japo na pilipili ya Unga na kisu. Usitembee mikono mitupu hata...
Inashangaza sana!
Mwanaume unalala tu kama House girl uko comfortable kabisa? Unasahau kwamba huna tofauti na Mlinzi wa Getini kule!
Mwanaume unapaswa kuwa na zana za Ulinzi karibu yako na hupaswi kulala kama gogo, weka timing za kuamka.
Saa saba usiku amka, zunguka kidogo kaa robo saa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.