figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Aliyekuwa IGP wa tanzania Simon Sirro aliona mbali. Aliwahimizi Watanzania kumiliki Silaha ndani ili kujilinda. Unakuta Mtanzania hana hata manati.
Ndo maana Waganda wanatuchezea. Kwa hali ilivyo sasa, kila mtu ajihami kivyake. Kaa japo na pilipili ya Unga na kisu. Usitembee mikono mitupu hata kama unaenda kanisani. Ukienda baa beba chupa ya ulinzi.
Polisi hawa msaada tena. Tupambane na hali zetu..
Adui unayemumdu usimwachie Mungu. Deal naye perpendicular.
"Ukifanya upekuzi kwenye nyumba Dar es Salaam huwezi kukuta hata mtu mmoja ana panga, kwamba ikitokea mwizi aweze nae kujilinda, utakachokuta ndani ni masofa, muziki kwa hiyo tunashida kidogo..".IGP Sirro.