mbinu za kujilinda ukivamiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Watanzania kutomiliki Mapanga, Mishale na Bunduki ni Tatizo. Sasa ndo muda muafaka wa kujilinda

    Aliyekuwa IGP wa tanzania Simon Sirro aliona mbali. Aliwahimizi Watanzania kumiliki Silaha ndani ili kujilinda. Unakuta Mtanzania hana hata manati. Ndo maana Waganda wanatuchezea. Kwa hali ilivyo sasa, kila mtu ajihami kivyake. Kaa japo na pilipili ya Unga na kisu. Usitembee mikono mitupu hata...
  2. JamiiForums Tanzania Yaani unakuta Mwanaume Umelala na Huna Zana yoyote ya Kujilinda Ndani Mwako

    Inashangaza sana! Mwanaume unalala tu kama House girl uko comfortable kabisa? Unasahau kwamba huna tofauti na Mlinzi wa Getini kule! Mwanaume unapaswa kuwa na zana za Ulinzi karibu yako na hupaswi kulala kama gogo, weka timing za kuamka. Saa saba usiku amka, zunguka kidogo kaa robo saa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…