mbinu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CHADEMA msipo badili mbinu ya kisiasa hamuwezi kushika dola

    Utanzania kwanza 🇹🇿 1. Hamuwezi Kushika Dola kwa kudharau vyama vingine vyenye Nia. Wanyonge huungana kumkabili mwenye nguvu, msiendeshe siasa ya Tanzania kwa kufananisha na Republican na Democrat. Hatujafika huko. 2. Maridhiano mliyopewa ni danganya toto, right? Mngejua kinachozungumzwa...
  2. D

    Unajua mbinu za kushinda Zeppelin?

    😂😂Oyaa wadau eeenh kuna haka kamchezo kanaitwa Zeppelin kutoka Sokabet kataniua kwa presha. Nani anajua mbinu za kushinda kirahisi?
  3. Nimeshindwa kuacha kujichua

    Ndiyo hii haiitaji maelezo mengi, kama kichwa kinavyojieleza "Nimeshindwa kuacha punyeto" nimejikuta naskip tu siku lakini siku mizuka ya punyeto ikija nashindwa kujizuia. Nakirusha tu shwaaa, dah unyamaa sana. Mliobarkiwa karama za maombi mtuombeee please, hali ni mbaya. ======== Ushauri wa...
  4. Mbunge Charles Mwijage Aionesha Serikali Mbinu ya Kulinda Viwanda

    MHE. CHARLES MWIJAGE AIONYESHA SERIKALI MBINU YA KULINDA VIWANDA Mbunge wa Jimbo la Muleba Kaskazini, Mhe. Charles John Poul Mwijage Akizungumza Bungeni wakati akichangia hoja kwenye bajeti ya Wizara ya viwanda na Uchukuzi Mhe. Mwijage ametumia muda huo kuionyesha Serikali mbinu hizo ambazo...
  5. Kutokufanya kazi kwa mfumo wa kuripoti wizi, kunafanya raia wengi wapoteze fedha

    Kupitia mfumo wa kutoa taarifa kuhusu mali zilizopitea jeshi la polisi huwaibia raia wengi sana shilingi 500. Yaani unaweza kuwasilisha taarifa zako kwa usahihi kisha baada ya kufanya malipo mfumo unakwambia "Ripoti bado haijathibitishwa" hapo utasubiri hata siku 3 hakibadiliki kitu ndo...
  6. Wilaya ya Kisarawe, mkoa wa Pwani ipewe tuzo kwa kuhifadhi uoto wa asili na kutunza mazingira ijapokuwa miundo mbinu ni ya kizamani

    Wanajukwaa Mada tajwa hapo juu inahusika moja kwa moja kwa mjadala mpana. Ombi kwa 1. Serikali kuu 2. Makamu wa rais muungano na mazingira 3. Tamisemi Kwanza mamlaka husika ipongezwe kwa kutumia jeshi usu kusimamia mazingira ya eneo lote lla wilaya ya Kisarawe dhidi ya wavamizi na matajiri...
  7. L

    Afrika inapaswa kujifunza mbinu za China za kutokomeza ugonjwa wa malaria

    Kila ifikapo Aprili 25 dunia inaadhimisha siku ya malaria. Tangu kutuingine kwenye karne ya 21, Shirika la Afya duniani (WHO) limekuwa likitangaza makadirio ya idadi ya watu wanaofariki kwa ugonjwa huu. Wakati huohuo WHO na jamii ya kimataifa zimefanya kazi ya kuunga mkono juhudi za serikali za...
  8. Mlioomba nafasi za Afisa Maendeleo ya Jamii tupeane mbinu

    Mnaojiandaa na usaili wa utumishi nafasi ya Afisa Maendeleo ya Jamii, tupeane mbinu za kutoboa usaili. Una uzoefu wa hizi saili share tujue zinakuweje, eneo gani la kusoma sana wakati wa kujiandaa.
  9. Naomba mnipe mbinu za kuingiza hela kupitia lugha pendwa ya Kiswahili kwa mtu mwenye taaluma ya ualimu wa Kiswahili

    Je, kupitia hii taaluma ya Kiswahili na kingereza, nawezaje Kupata Kipato? Hasa Kupata Kipato kupitia lugha yetu ya Kiswahili. Najua ntapata msaada hapa JF panapo Majaliwa.
  10. H

    Hivi watu wanaozama ndani ya maji na kukaa zaidi ya dakika 1 bila mashine wanatumia mbinu gani?

    Heri ya sikukuu ya Iddi Jamani. Tusahau kidogo mada ngumungumu na mada za mmu. Leo sikukuu angalau tupunzishe akili na kusahau kidogo shida. Nimewahi kusikia kuna wajuvi wanaweza kwenda ndani ya maji zaidi ya nusu saa,Mimi sijawahi kushuhudia hiyo kitu Sasa sijui Kama ni kweli au story za...
  11. Serikali yetu ianze kutoa tuzo kwa watunza (wazungumzaji) Kiswahili kutoka mataifa ya nje

    Ni ukweli usiopingika kwamba dunia nzima inatambua lugha ya Kiswahili ina unasaba mkubwa na Tanzania. Kwa tafsiri fupi ni kwamba Tanzania tunaweza kuiita ardhi ya Kiswahili. Sasa nataka niongee kidogo kuhusu lugha hii adhimu na wizara yenye dhamana ya lugha hii kwamba lazima itumie mbinu...
  12. Uenezaji wa ushoga waweza kuwa mbinu mojawapo ya maangamizi ya kimbari

    Kwa wiki kadhaa sasa, Watanzania wamekuwa wakisikia mengi ya kushangaza, kusikitisha, na kukasirisha kuhusu wimbi la ushoga nchini na kwingineko. Mbali na kinachoonekana kuwa kukithiri kwa matendo haya machafu; yasiyokubalika kijamii, kitamaduni, kidini, na kisheria; kinachoshangaza na kutisha...
  13. Natamani sana Kumjua huyu 'Mwamba' aliyebuni hizi Mbinu Mpya za 'Kuua' Vibaka / Wezi Wasumbufu Uswahilini

    Ya Kwanza ( #1 ) Kibaka / Mwizi anabebwa na Watu Wawili tu kama Maiti inavyoingizwa katika Jeneza kisha ANATIKISWA ( ANACHEKECHWA ) mara Saba ( 7 ) kisha anaachiwa na baada ya dakika 15 tu anawahishwa Mochwari iliyoko Jirani nae Kusubiri Kuzikwa. Ya Pili ( #2 ) Kibaka / Mwizi akikamatwa tu...
  14. Msaada: Naomba mbinu za kujiandaa na written interview utumishi

    Habarii wakuu; Naombenii msaada Mbinu za kujiandaa na written interview utumishi vitu gani unatakiwa kuvizingatiaa zaidii?
  15. Unatumia mbinu gani kukabiliana na Stress za kazi?

    Stress kwasababu ya Kazi inapokuwa kubwa kupita kiasi, inaweza kukuathiri kimwili na kihisia Kwa watu wengi, sio rahisi kuepuka 'Stress' hata kama unapenda kile unachofanya Unarudi vipi kwenye mstari mambo "yanapokuwa mengi" kazini? ===== Work-related stress can get the best of us all...
  16. Kumswaga mwizi kama kuku nikumuongezea mbinu za wizi

    Kama bandiko linavyojieleza kumswaga mwizi kama kuku nikumuongezea umakini wa kuiba Niwazi kuwa wote tumesikia masikitiko ya mama dhidi ya madudu yaliyo ibuliwa kwenye lipoti ya mkaguzi w hesabu za serikali Mama analalamika mama anaudhunishwa na huu ujambazi unaofanywa kwenye hii miladi ya...
  17. Poteza simu/ Laptop unaweza kununua nyingine lakini mafaili binafsi yakipotea imeisha hio! Tupeane mbinu za kutunza copy za mafaili tukwepe majanga

    Wanasemaga huwezi kujua thamani ya kitu mpaka kipotee, ukiwa nacho waweza kukichukulia poa lakini kipotee sasa, tena kiwe na attachment yako ya maisha yako, historia, mali zako, elimu, n.k. Binafsi nkumbuka kuna siku nimeenda jengo flani nikapaki gari huku nimeacha laptop, ile narudi nakuta...
  18. Polisi yatoa tahadhari, baadhi ya mawakala wanaosajili laini mtaani ni matapeli

    Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, SACP David Misime Akitoa darasa kwa Maafisa Polisi Jamii na Polisi Kata kutoka Kanda Maalum ya Dar es Salaam pamoja na wengine kutoka Kibaha na Mkuranga, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, SACP David Misime amezungumzia utapeli wa mitandao unaofanyika...
  19. Mbinu za utatuzi wa migogoro za Uchina ni bora kuliko za Kimarekani

    Baada ya mazungumzo yaliyodumu kwa takriban miaka saba, Iran na Saudi Arabia hatimaye zimeamua kufufua uhusiano wao wa kidiplomasia, huku zikitangaza kwamba balozi zao kwenye nchi hizo pia zitafunguliwa. Hatua hii ilikuja kufuatia mapatano yaliyoongozwa na Rais wa China Xi Jinping jijini...
  20. Wamebadili Mbinu Wametaka Kumwibia Mzee Wangu Usiku Huu

    Picha inajieleza, wametaka kumwibia mzee wangu kwenye kiswaswadu chake usiku huu, akanikimbilia nimsaidie kutuma fedha kwa mjukuu ndipo nikamshitua akazinduka. Hivi sasa hawasemi "ile fedha tuma kwa namba hii", wanatuma ujumbe wa namna hii
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…