Nawasalimia wanaizengo..
Nina mwanamke mjanja mjanja Sana tuko ofisi moja, tume date na nime kula mara mbili tatu. Namsoma bado.
Huyu mwanamama is extra genius, naona na IQ yake kunizidi kabisa. Kikubwa ni ile mwanaume siku zote anabaki kuwa stronger, easy, Smart ila sasa naona jazba...