Unajua Kusema 'hapana' ni ngumu wakati mwenzi anaomba pesa tena akionesha ana shida muhimu au vyovyote vile. Lakini kabla ya kusema ‘ndiyo’ jiulize maswali muhimu
Atakulipa?
Atakulipa kwa wakati?
Asipolipa unafanyaje?
Uko tayari kudhulumiwa?
Habari za muda huu wana JF
Nimesikia vilio watu kupigwa kwenye Kalyinda nimeamua kuwaletea mbinu yangu niliyopata mwaka wa mwisho wakati namaliza kozi za Uwabata nchini Cuba (joking)
Mimi siamini kabisa katika pesa za kudownload yaani umekaa kiboya pesa zije kirahisi bila kutolea jasho naona...
Nachukia sana hili suala la kuiita miundombinu kwa majina ya watu binafsi, kama maraisi au watu wengine wanasiasa na wengineo. Kinachoniudhi zaidi ni kwamba mapendekezo ya majina haya mara nyingi hufanywa na watu ambao wana ajenda ya kujipendeke kwa raisi au wengineo.
Sikatai kwamba hawa watu...
Angalizo:-
Huu sio uzi wa kidini, ila nitatumia Biblia na vifungu vyake kukuelekeza ni kwa jinsi gani unaweza kupeta kibali, upended, uteuzi, vyeo nk kutoka kwa rais.
KIBALI:-
Kibali ni upendeleo wa Kimungu unaokupa nguvu ya kuingia popote na kupata utakacho. Ndani ya nchi rais ndiye mtu mkubwa...
Salah aliweza kuivunja ile rekodi ya goli 31 ya Premier League na kuweka ya kwake ya goli 32 huku akiwa kama winga tena kutoka Afrika, nilitamani hii rekodi ikae kidogo kwa heshima ya Afrika, lakini nadhani muda umefika ukingoni.
Kuna mtu mmoja hatari sana Erling Haalland, huyu jamaa anakuja...
Kauli hii ya Profesa Kabudi inadhihirisha kuwa Lissu alikuwa sahihi Sana kwa sababu hata kama ni mbinu za kutaka mjadala, kwa wasomi kama maprofesa kutumia mbinu ya uongo "ulio dhahiri" kiasi hiki ulikuwa ni upungufu wa weledi.
Labda tuwasikie Wataalam wa daplomasia ya uchumi waje watufafanulie...
Nilikuwa kwenye serious relationship miaka 3 hivi na tulipanga tufunge ndoa mwaka huu baada ya kuwa mbali akaamua kurudiana na ex wake na mwisho akakubali kuwa kweli wamerudiana na kizuri zaidi alisema sijawahi mkwaza na hakuwa na sabbu ya msingi ya kunifanyia hivyo nikaona Riziki tu kumbe...
Kwa maisha na mifumo ya kimaisha ya Afrika kupigika ni jambo la kawaida sana.
Hivi umewahi kujiuliza hawa Wazungu wanaotalii Tanzania na kuzunguka dunia kazi wabafanya saa ngapi?
Turudi kwenye mada.
Haya basi chukua kapesa kadogo ulichonacho kisha kashike na ukiamuru kiite wenzake (pesa...
Msako unapokuwa mkali, (msako huo)wanajua ni mijini tu husogea mji wa karibu na mjini. Kwa mfano wakisakwa DSM husogea Kibaha, Bagamoyo, Kisarawe na kadhalika.
Msako ukizidi zaid huelekea mikoa ha jirani. Kwa mfano Morogoro, PWANI, Tanga nk au hata ndani ndani huko kusikofikika.
Jeshi la...
Tanzania ni moja Kati ya nchi nyingi duniani ambazo zimekubwa na tatizo la ukosefu wa ajira, Hali ambayo imepelekea matatizo ya kiuchumi na kijamii. Ukosefu wa ajira rasmi hupelekea makundi ya vijana wasomi wasio na kazi kuongezeka katika jamii zetu, hali inayopelekea kuongezeka kwa makundi ya...
Sisi sote ni zao la malezi tuliyoyapata kwenye familia na jamii zetu. Wataalamu wengi wa makuzi ya watoto hukubaliana kwamba miaka sita ya kwanza ya malezi ndiyo hujenga haiba, tabia, na kukamilisha ujenzi wa utambulisho wa mtoto! Sisi ambao tumepewa wajibu wa kulea au kuwa na mchango kwenye...
1. Kuwa na nidhamu binafsi.
Ili kupata mafanikio makubwa unayoyahitaji sio suala la kufanya kazi kwa bidii tu, zaidi unachohitaji nikuwa na nidhamu binafsi ambayo itakuongoza kwenye malengo yako. Watu wengi hawana nidhamu binafsi kitu ambacho kinapelekea wengi ndoto zao zinaishia kati. Ni muhimu...
Leo, makada wengi wa chama pendwa walitarajia Shaka angetoa orodha ya walioteuliwa kugombea nafasi za Ubunge wa Afrika Mashariki, Lakini hakufanya hivyo.
Dalili zinaonesha kuna mkwamo mahali fulani na nani apite, nani atemwe! Tathmini yangu inaonesha vigogo wengi wameleta vimemo wakipendekeza...
Wakuu samahanini kwa lugha niliyoitumia ila mmenielewa.Ni hivi ukitaka kujua demu/mke wako katoka kubanduliwa fanya hivi
1:Jaribu kuchek chupi yake ,utaona imechafuka kuliko kawaida ,hii hutokea pale demu anayechepuka huwa hanawi vizur hivyo shahawa hubak nying ndani ,hivyo zinatiririka akiwa...
Kwa sasa kumekuwa na watu wengi sana wakitumia hiyo kauli.
Je, inawezekana ni mojawapo ya mbinu ya kuwafanya wananchi waache kusema yanayowasibu kuhusiana na haki au stahiki zao?
Tuliambiwa na January kuwa miundo mbinu ya umeme ilikuwa imechakaa sana. Hivyo ilihitaji ukarabati wa nguvu.
Ukarabati ulifanyika na sasa tunaona hitilafu kibao.
Mbaya zaidi umeme unakatika na kurudi ghafla kiasi cha kuharibu vifaa vya umeme vya watu.
Nizijuazo.....
1. Usiku ukirejea atakutafutia Kosa la Makusudi ili Mgombane na apate sababu ya Kukunyima Nyuchi yake.
2. Usiku atajifanya Kuumwa ghafla na hata Kulazimisha muende Hospitali ya Karibu ila Asubuhi atakupa Mrejesho kuwa anajisikia vizuri.
3. Ukiwa nae Unakula Sebuleni au...
Wakati Serikali ikitarajia kuanza kutoa ruzuku katika pembejeo za kilimo ikiwemo mbolea, wakulima wametakia kufuata utaratibu ulioweka ikiwemo kujisajili ili kufaidika na fursa hiyo itakayopungizia gharama za uzalishaji.
Kupitia mpango huo wa ruzuku, mbolea zote za kupandia zinazofahamika kama...
Naam naam, unaweza kutana na pisi kali ukaitamani. Hauna muda wa kuanza kuitongoza na kuidanganya unaipenda kwanza unakuta una manzi yako ambayo unaipenda kweli. Hivyo unataka zako showtime tu kila mtu ale hamsini zake.
Em marijali tushare mbinu hapa za jinsi ya kuomba showtime kwa pisi kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.