Wadau Mambo vip?
Nimejaribu sana kuanzia Jumatatu Mpaka Leo Kila nikipiga simu Sekretarieti ya Ajira Simu ipo Busy na kuna muda ikifika haipatikani.
Naombeni wadau mliofanikiwa kuwapata hewani mmetumia mbinu gani? Na Muda mwingine inaita lakini haipokelewii.
Kwa zaidi ya wiki na kitu sasa umeme unakatikakatika hovyo na mbaya zaidi unakatika bila hata taarifa.
Leo umekatika na tumeshindwa hata kuangalia mtanange kati ya Coastal Union na Azam Fc.
Waziri mwenye dhamana huwa na kauli mbiu mbili tu. Mgao au matengenezo ya miundombinu chakavu. Atuambie...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala elimishi za "Kwa Maslahi ya Taifa". Tanzania sio masikini, Tanzania ni nchi tajiri sana yenye Rasilimali lukuki, ila watu wake ni masikini Kwa Umasikini wa files. "Umasikini m-mbaya kabisa ni umasikini wa fikra"-JK Nyerere...
Hii mbinu ndogo nakupa chukua uniletee mrejesho sawa?
Mademu sikufichi wanapendaga vitu vizuri sasa ili kuvutia mademu jitahidi uwe na vitu vizuri
Cha kwanza kabisa zingatia muonekano yani vaa sana vitu vikali hakikisha una pea zisizopungua tano za viatu vya gharama hamna hamna usivae kiatu...
Fadhili Mpunji
Hivi karibuni naibu waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bibi Wendy Sherman aliyekuwa ziarani nchini Angola, alisema Angola na nchi nyingine za Afrika kutumia vifaa vya kampuni ya Tehama ya China HUAWEI, ni kuhatarisha usalama wa nchi. Kauli hiyo aliyotoa Bibi Sherman baada ya...
Utashi ni kipawa cha binadamu kinachomfanya aweze kutaka mwenyewe chochote. Kitu hicho kinaweza kuwa chema na hata kibaya, ingawaakili yake mwenyewe inaona zaidi wema fulani uliomo na ambao unamvuta. [Wikipedia]
Je unafahamu vitu kama afya njema, umbo la mwili wako na hata sura yako kwa kiasi...
Umasikini ni tatizo kubwa hususani ktk mataifa yanayoendelea kama Tanzania. Sababu za umasikini ni ujinga,maradhi , uzalishaji hafifu ktk shughuli za kiuchumi kama kilimo, viwanda na biashara. Vilevile umasikini husababishwa na mfumo mbovu wa elimu.
Hoja zifuatazo zitaeleza kuhusu mbinu za...
Kuna kundi kubwa sana la watu ambao wanapenda kuona, kusoma na kusikia habari za uwanja wa medani hii inatokana na ukweli kuwa vita ndio jambo gumu sana kufanywa na mwanadamu. Katika dunia ya leo kila jambo lina taaluma yake hata vita pia ni taaluma pana inayohusisha mbinu, mikakati, silaha...
Hii ni maktaba nayowaletea kwenu nikijikumbushia mbinu kadhaa nilizowahi kuzifanyia practical.
Njia hii ilikuwa ni kwamba ni lazima kuwe na mabinti wawili marafiki, nachofanya nawalinganisha, namchangamkia saa yule wa kawaida, yule mrembo nakuwa sina time nae kivile, baada ya hapo ntaomba namba...
Ulinzi shirikishi ni jambo zuri sana!
Maeneo ya vijijini limeonyesha kufaulu kwa asilimia kubwa kutokana na watu wake kujitolea au kupangwa kwa zamu!
Tatizo kubwa la ulinzi shirikishi mjini una harufu ya upigaji!
Kuna wakati huwa nashawishika kuamini huenda PANYA ROAD ni PROJECT?
Kwasababu...
Asali Feki inajulikana kwa ama kutumia Njiti ya Kiberiti kwa Kuichovya katika Asali na Kuiwasha ambapo ukiona haiwaki jua ni Feki au unaichukua hiyo Asali unaimimina kidogo katika Karatasi na ukiona kwa chini ( nyuma ) ya hiyo Karatasi hakuna Unyevu au hakujaloana jua ni Feki hiyo na mrudishie...
Urusi kiukweli wameonesha umahiri wa kutumia mbinu za enzi ya kina hitla na dola la kirumi katika uvamimizi.Kabla sijaelezea mbinu hizo naomba ufahamu kuwa Urusi haikua na malengo ya kuivamia Ukraine yote,bali ililenga maeneo ya eastern part yaliyopakana na mipaka yake ,lengo ikiwa ni...
kati ya vitu vinavyonishangaza ni kitendo cha viongozi wa nchi za kiafrika kwenda kutembeza bakuri huko kwa mabeberu hata kama na wao vyuma vinakuwa vimewakazia
nakumbuka mwaka 2007 kipindi kile cha financial crisis ya kule marekani mzee wa msoga hakukoma kwenda kuomba omba pesa kule kwa Obama...
Mchambuzi wa soka Geoff Lea, amesema kwamba klabu ya Simba ni maarufu kwa kutumia mbinu chafu wakiwa nyumbani ili kujipatia ushindi.
Mchambuzi huyo ametaka klabu iache kutumia mbinu hizo chafu kwa maana mpira ni mchezo wa haki.
Geoff amezitaka klabu za mpira barani Afrika ikiwemo Simba...
Mahojiano ya jana ya Rais Samia na Gazeti la New York Times alinukuliwa akisema alipata wakati mgumu kufanya kazi na Hayati Magufuli kutokana na msimamo wa Magufuli juu ya Covid-19.
Japokuwa simkubali Magufuli, lakini hii kauli haijakaa sawa, lakini nina uhakika Rais Samia hakudhamiria kusema...
Nifanyeje nipate mtaji? Nina wazo zuri ila sina mtaji? Haya ni maswali ambayo wengi wetu tunajiuliza sana kwenye harakati zetu za kila siku kwenye kutafuta maisha. Kuna njia ambazo tunaweza kuzitumia kupata mitaji ya kuanzisha biashara.
1. Akiba binafsi
Kuna msemo wa kiswahili unasema "Akiba...
Kuna dogo ana miaka 28 bado hajaoa ila ana girlfriend wake ambae wamejuana takribani miezi minne hivi bila tatizo, kaja kwangu kaka yake aje nimpe ushauri hasa ukizingatia binafsi nimeshaoa na nina familia tayari, pia kwenye mambo ya mapenzi nina uzoefu si haba.
Huyo girlfend wake ni mrembo wa...
Maana kiukweli dunia hii imeshatawaliwa na pesa, yaan utu wa binadamu umezongwa na kitu pesa. Mwanaume hataki kuhudumia ila anataka kisafi chenye mwonekano bora na mwanamke anataka kuhudumiwa(pesa) ili awe safi na mwonekano bora ambao mwanaume anautaka.
Sasa kilichonileta ni kutaka kujua toka...
Moja Kati ya silaha inayotisha kwa sasa duniani ni nyukilia. Endapo utakutwa na shambulizi la nyukilia ni vyema ukatumia mbinu ya "PRE-RU-SHE-A' ili kupona shambulizi hilo.
Wakati wa vita endapo BOMU la nyukilia litapigwa wanajeshi na raia ushauriwa kutumia mbinu hii ya "PRE-RU-SHE-A" ikiwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.