mbinu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jesuitdon

    Nimejitahidi kila mbinu kuwa mwanaintelijensia bila mafanikio

    Nimejitahidi kila mbinu kuwa mwana intelligence buila mafanikio tiss kuna nn Uzi za watu wengi JamiiForum unapotosha eti kuwa TISS (usalama wa taifa) uwe na kadi ya CCM au mwana CCM au green guard. Vyote wanavyosema unatakiwa uvifanye ili kuwa usalama wa taifa nimevifanya na nimeangukia patupu...
  2. Inck

    SoC01 Sababu za partnership kufeli katika biashara na mbinu za kutumia ili kudumisha ushirika katika kufanya biashara

    Habarini wanaJamiiForums Ni imani yangu mko salama. Leo napenda kuangazia suala zima la collabo au partnership katika kutafuta mitaji. Kutokana na ugumu uliopo katika kupata mtaji wa kuanzishia biashara, hasahasa kwa wahitimu wa chuo, collabo baina ya watu wawili au zaidi inakuwa ni moja ya...
  3. Opportunity Cost

    Ukwepaji huu wa kodi kwenye minada, Serikali na TRA Mnazidiwa mbinu na Wafanyabiashara Wahuni?

    Umofia kwenu. Nimesoma makala moja imenisikitisha kidogo Kuhusu ukwepaji kodi unafanyika kwenye biashara za minada huku TRA ikiambulia hasara. Haiingii akilini mfanyabiashara akadhamilia kukwamisha mnada kwa kutaja bei kubwa alafu anatokomea na nyie mlioandaa functions mnaishia kula hasara za...
  4. E

    SoC01 Unatafuta "Connection"? Hizi ni mbinu tano (5) za kijanja na akili zitakazokusaidia kupata "Connection" ya kazi

    Na Elivius Athanas. 0745937016. Tatizo "connection" umekuwa ni wimbo ambao unaimbwa na vijana wapambanaji wa mtaani, wahitimu wa vyuo, wasanii na watu mbalimbali kuwa ni moja ya kikwazo kinachowachelewesha wao kupata kazi au kufanikisha jambo fulani. Ni kweli kuwa "connection" ina mchango...
  5. Shadow7

    Manchester United kutumia mbinu hii kuinasa saini ya Haaland

    MANCHESTER United inaamini kwamba itasepa na saini ya mshambuliaji wa Borussia Dortmund bila wasi msimu ujao kwa mbinu kali. United kwa muda mrefu imekuwa ikiripotiwa kwamba inahitaji saini ya mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Erling Haaland ila mambo yamekuwa magumu. Kwa sasa wanaamini kuwa...
  6. Fred Katulanda

    Fahamu mbinu ya kugawa makundi ya nyuki uliyonayo kujaza mizinga mipya isiyo na nyuki

    Habari wadau; Leo naomba nidokeze namna ya kugawa Mzinga wenye nyuki ili kujaza mizinga yako mipya isiyo nyuki kwa njia ya haraka badala ya kutumia njia ya awali ya kuwatega na kungoja waingie jambo ambalo linaweza kukuchelewesha na kuchukua muda mrefu. Kwa mnaofuga au mnaotarajia kuanza...
  7. G

    Huyu mhalifu wa Selander alipaswa kukamatwa, siyo kuuawa

    Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua. Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano: Ni nani? Katumwa na nani? Yuko na akina...
  8. Narumu kwetu

    Nani anaelewa mbinu ya huyu askari aliyepigwa risasi?

    Sijamwelewa kabisa huyu askari hii mbinu ya kumsogelea mhalifu hatari bila kuchukua tahadhari, utafikiri anamvizia mtu mwenye kisu ndio maana akatandikwa.
  9. Jobless Graduate2021

    Nitumie mbinu gani ili nikimtongoza anikubalie?

    Habari Wana JF ,natumaini mnaendelea vema kabisa. Naomba niende kweny uzi moja kwa moja, kuna binti flani nimetokea kumpenda sana na kwa uchunguzi wangu nimegundua ananifaa kulingana na maisha yangu, lakini kila nikitupia maneno anachomoa si unajua watu wa dini sana. Naombeni ushauri...
  10. B

    Chadema na Makamanda Tujifunze Mbinu za Medani #2

    Somo #1 lilikuwa kwenye kuutambua uwanja. Kutambua uwepo wa washirika, wadaiwa, maadui na wasiohusika kwa kujua au kutokujua kwao. CHADEMA na Makamanda tujifunze Mbinu za Medani #1 Somo #2 mkononi liangazie kwenye kutambuana sisi kwa sisi kama wapiganaji. Ni muhimu tukayafahamu na kuyakubali...
  11. Erythrocyte

    Usambazaji wa umeme vijiji (REA) Ilikuwa mbinu ya kuongeza idadi walipa kodi ya Majengo?

    Leo Nyumba duni zenye umeme ukinunua umeme lazima utakatwa kodi ya jengo, hii ni kwa sababu hakuna mfumo wowote TANESCO unaoonyesha nyumba duni na nyumba bora. Mfumo wao unatambua namba ya mita tu baasi. Je, ule usambazaji wa umeme wa REA vijijini ulilenga kuongeza kodi zaidi ?
  12. B

    CHADEMA na Makamanda tujifunze Mbinu za Medani #1

    Mabibi na mabwana elimu haina mwisho na katika zama hizi za "Delta Variant" kujikita "ki-dijitali" ni muafaka zaidi. Tunapoikodolea macho katiba mpya ni muhimu tukajiridhisha kuwa tunafahamu yote yanayohitajika ili kutufikisha safari yetu salama. Katika somo hili #1 ni muhimu tukaangazia...
  13. SN.BARRY

    Taliban waiga mbinu za JWTZ za mwaka 1979

    Mwaka 1979 Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) liliuchukua mji wa Kampala na rais wake Dikteta Fashisti Nduli Idd Amin Dada akakimbia nchi na wanajeshi wote wa Uganda kwa unafiki wakaungana na JWTZ kushangilia ushindi. Mwaka huu 2021 kwa style ile ile Taliban wamechukua jiji la Kabul, Rais...
  14. Tomaa Mireni

    Mbinu na jitihada muhimu za kuchukua pale unapopatwa na mafuriko

    Hivi karibuni tumeshuhudia nchi mbalimbali ziiathirika na majanga ya mafuriko na mioto ya msituni. Je ushajiuliza kama janga kama hilo likitokea eno lako hatua za kuchukua na hatua gani ya kuanza nayo? Nchi ambazo zina miundombinu bora lakini bado zimeathiriwa na mafuriko kama Ujerumani...
  15. R

    Mbinu 10 zinazotumiwa na CCM kulinda madaraka

    1. Kesi za kubumba kama vile ugaidi, uhaini, kukamatwa na madawa ya kulevya, uhujumu uchumi n.k. 2. Kufunga watu bila kesi zenye mashiko (detention without trial - kumbuka mashehe wa Zanzibar); 3. Makosa ya mtandaoni na faini kubwa kubwa. TCRA ni agent wao mkubwa wa ukandamizaji. 4. Kutangaza...
  16. M

    SoC01 Majanga ya moto na mbinu endelevu za kukabiliana nayo

    Ajali za moto katika jamii yetu zimekuwa ni majanga yanayohitaji mjadala makini kutokana na athari kubwa yanazosababisha pindi yanapozuka katika maeneo mbalimbali ikiwemo katika taasis za umma kama vile vyuo, mashule na katika vituo vya biashara kama vile masoko na maeneo mengine. Athari zake...
  17. Dr Restart

    SoC01 Tuutokomeze Ukeketaji: Tubadili mbinu za kuutokomeza katika umri mdogo

    Februari 6 kila mwaka, dunia nzima huadhimisha siku ya kupinga Ukeketaji wa wanawake baada ya Baraza la Umoja wa Mataifa kuipitisha mnamo mwaka 2003. Je, ukeketaji ni nini? Ni kitendo cha kukata na kuondoa sehemu ya nje ya viungo vya uzazi wa mwanamke haswa kinembe. Kitendo hiki hufanyika na...
  18. MR TOXIC

    Kodi ya miamala ya simu ni mbinu mpya ya upigaji?

    Ni wiki chache tu tangu serikali ianzishe kodi ya miamala ya simu kwa madai kwamba mapato yatakayotokana na tozo hizo yataenda kufungua barabara za mjini na vijijini. Lakini juzi, waziri huyo huyo aliyetuaminisha kwamba barabara zitajengwa kwa kodi inayotokana na tozo ya miamala ya simu...
  19. S

    Mtego: Wanafanya kila mbinu kutaka wafuasi wa CHADEMA waandamane ili wapate sababu ya kuifuta CHADEMA

    CCM sio tena chama cha siasa, bali ni kakikundi cha watu walioamua kutumia dola kulinda madaraka waliyonayo(kubaki madarakani) Kwa sasa wamegundua kutumia mabavu kupambana na upinzani hasa CHADEMA hakusaidii hivyo wamekuja na mkakati wa kutaka kuifuta CHADEMA kama alivyosema Katibu Mkuu wa...
  20. Mzee Mwanakijiji

    #COVID19 Tanzania Itafute Mbinu Bora ya Kupambana na COVID19

    Tusije kuweka matumaini makubwa kwenye chanjo halafu tukabakia tunaombea ifanye kazi tofauti na inavyofanya kazi kwenye nchi nyingine. Hapa Marekani jana CDC imetutangazia kuwa hata sisi tuliopata chanjo tayari tuanze kurudi kuvaa mabarakoa tukiingia sehemu mbalimbali. Kuna hofu hapa kuwa namba...
Back
Top Bottom