jf ni kisima cha maarifa , hapa kuna wadau wa kila aina.
napanda tena jukwaani ,nikiomba ushauri kwa ajili yangu na kwa wengine pia.
ndoto yangu ya kuzitumikia UN AGENCIES mfano UNDP,FAO,IFAD,WFP NK pamoja na serikali kuu bado haijafa. nina bachelor ya uchumi na mbeleni nataka nianze na...