Wakuu
Nimemiss kula mboga za asili,kuna anaejua wapi kwa hapa Dar naweza kupata hii mboga ya majani inayoitwa mgagani?
Ni mboga maarufu zaidi huko kanda ya ziwa.
Poleni na mfungo wakuu,
👉Kama tunavyojua wanawake wameumbwa na hulka ya kusifiwa
👉Na pia ni emotional oriented "
👉Kwenye suala la upishi huwa wanapenda sana wapewe credit
Endapo mwanamke wako atazidisha chumvi kwenye maakuli ni lugha utatumia kufikisha ujumbe ili usimkwaze
👉Aya tutiririke...
Mboga saba.
Verse 1 – Mr Blue
Mboga saba umeniteka, makahaba nawacheka
Kwenye mkataba nakuweka, kwenye mahaba nakuweka
Napiga ibada usije lala kwenye mkeka
Aah kama vumba likikataa
Aah ndumba halitovaa
Bila nyumba chumba kimoja utakaa?
Nguo za mitumba nauliza mchumba utavaa? (Yeah)
Yeah...
Wasanii wa Tz ukiachana na showoff zao, Ila kiufupi wana maisha magumu Sana .
Mama wa Rayvanny yupo mbeya sokoni anauza Mboga za majani za reja reja.
Na mama yake Martha anaokota machupa na kuuza juice.
This industry is all about shit.
Habari ndugu zangu,
Moja ya sifa ya kabeji ni kwamba unaipika unaila mpaka unatamani iishe sasa ila ndo haiishi....twende kazi mboga gani nyingine ina sifa hii ?
Leo nimepika chakula kitamu mno hasa mboga maana ilikua na viungo vingi nyenye kuleta ladha
MAHITAJI NILIYOTUMIA
Mchele nusu kilo, mafuta ya kula, viazi mviringo viwili, nusu kuku, njegere, tui la nazi, paprika, black pepper, curry powder, soya source, pilipili ya kuwasha ya unga, majani ya...
Wanawake zangu wote ambao nimewahi kuishi nao lazima kuna siku nilikunywa kamnyweso kakanikwangua utumbo niliporudi home ile njaa ikanipelekea kulamba sufuria zima la mboga.basi ile stori mpaka kesho huwa wanaikumbusha kwa kucheka kumbe mimi zilikuwa tungi tu.wemyewe eti wanajua niliona mboga...
Sijawahi kuelewa kabisa mtu anakulaje ugali mboga saba kwa raha mustarehe akifurahia chakula, wengine wanaita kucheza drafti.
Mimi chakula kikizidi mboga tatu huwa naona kizunguzungu tu saa ya kula. Pia mboga zikiwa nyingi sana tofauti tofauti ugali huwa unawahi kuisha mboga zinabaki inabidi...
Wakuu salaam,
Kuna mdudu anaitwa Mjusi kafiri, kumekuwa na hoja mbalimbali kwamba mdudu huyo ni hatari na ana sumu kali ikiwa atadondokea kwenye chakula na ukakila.
Je kuna ukweli kuhusu hoja hii?
Wanajukwaa habari zenu!
Hivi umewahi kujiuliza, Kwa nini Mboga ni za lazima au muhimu unapokula ugali?
Je, umewahi kula ugali bila mboga yoyote ile? Inawezekana? Haiwezekani?
Kuna makundi makuu ya virutubisho ya vyakula: (1)wanga (2) protein (3) madini Chumvi (4) fibers/roughage (5) vitamins...
Kumekuwa na Madai ya kwamba matumizi ya mboga za majani aina ya chainizi yamekua na madhara katika ufanisi wa tendo la ndoa kwa wanaume. Kuna ukweli gani katika hilo suala?
Naomba nijibiwe kitaalam niweze kuelewa.
Uko Dar unataka kufanya kilimo cha mboga mboga na huna utaalam nione Kwa no 0625537380.
Kilimo chako kiwe kilimo cha kisasa, kilimo biashara yani kilimo cha kupata fedha.
Wakuu nahitaji kulima mboga mboga hasa chinese na tembele kwenye uwanja wangu wenye ukubwa wa nusu eka, nimezunguusha fensi na nimechimba kisima kwa ajili ya maji ya kumwagilia.
Nahitaji kuelimishwa jinsi ya kuandaa shamba au kitalu, aina ya mbegu au miche na aina ya mbolea inayofaa.
Pia ni...
Hili ndiyo taifa lenye wachambuzi wa ajabu kabisa katika tasnia ya mpira wa miguu, wachambuzi wengi walijifungia Mwanza toka waliposikia kuwa timu itachinja ng'ombe 25, wamesahau kabisa kuwa kengold kutoka Mbeya nayo imepanda ligi kuu na ndiyo timu iliyoongoza kwa point 70 na kufuatiwa na pamba...
Kwenye hoteli kubwa zote, na nyingi za kati menu ya chakula kikuu huwa ni samaki, kuku, nyama ya ng'ombe, mbuzi kitimoto na nyinginezo halafu ndio unachagua utakula na nini ikiwa ni ugali, wali, viazi n.k
Kwenye hizi hoteli bei ya chakula inapimwa kwa samaki, kuku na nyama kisha (wanga) ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.