mboga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    Mboga gani unaweza otesha nyumbani ili kukabiliana na mfumuko wa bei na ugumu wa maisha?

    Infaltion inafanya maisha yanakuwa magumu sana. Athari kubwa zinakuwa upande wa lishe. Si vema kupata utapiamlo na hali unaweza solve kwa kuotesha mbogamboga hapo nyumbani. Tushirikishane juu ya mbogamboga na vyakula vingine ambavyo mtu anaweza kuzalisha nyumbani. 1. Kisamvu. Hapa nazungumzia...
  2. Sildenafil Citrate

    Faida ya mboga za majani kwa afya

    Hakuna aina moja ya mboga za majani inayotosha kukupatia virutubisho vyote muhimu ili uweze kuimarisha afya yako. Ni muhimu kutokutumia aina moja ya mboga kila siku kwa kuwa haiwezi kukupatia virutubisho vyote unavyohitaji, bali jitahidi kuchanganya au kubadili mara kwa mara ili uweze kunufaika...
  3. Sildenafil Citrate

    Faida na tahadhari za mboga za spinach kwa afya

    Spinach ni mboga yenye faida nyingi kwa afya ya binadamu. Baadhi ya virutubusho vinavyopatikana kwenye mboga hii husaidia mwili kusafirisha vizuri hewa ya Oxygen, kutoa kinga dhidi ya magonjwa, kuongeza uzalishwaji wa damu pamoja na kuboresha afya ya macho, ngozi, nywele na mifupa. Pamoja na...
  4. Jade_

    Upishi wa Wali, Samaki wa Nazi na Mboga

    Habari za Jumamosi wakuu, natumai mpo salama. Leo nawaletea mapishi ya wali, samaki wa nazi na mboga. Ukipenda kuangalia video ya haya mapishi unaweza kuangalia hapo chini. Ukipenda unaweza “kuilike” hiyo video, “kusubscribe” kwenye channel yangu na kuangalia video nyingine. Turudi kwenye...
  5. Nyendo

    Hivi mnapata ugumu kujua mboga ya kupika kama mimi?

    Mwenzenu kila nikiwaza mboga ya kula siku hiyo napata tabu sana, yaani natumia muda mrefu sana kuwaza mboga na wakati mwingine nakosa najikuta kila nayowaza nimekula siku za karibu. Yaani kujua mbga ya kupika kwa upande wangu ni tatizo sana natamani hata ningekuwa naambiwa tu pika mboga hii leo...
  6. NetMaster

    Je, mboga za majani zinazolimwa Dar zina sumu inayochangia matatizo ya nguvu za kiume, cancer, bawasiri, vidonda vya tumbo, n.k?

    Unaweza ukawa unakula ugali na mboga za majani na ukajiona unakula chakula chenye afya kumbe uhalisia ni kwamba unajiongezea sumu zaidi mwilini. Sehemu kubwa ya mboga za Darisalama zinatoka mabonde ya Mto Msimbazi, Mandela road bonde lililoko kituo cha garage, Jangwani, Kigogo sambusa na maeneo...
  7. N

    Ukiondoa Dagaa na Maharage wanyonge watakula mboga gani?

    Tanzania hii ukitoa Maharage na dagaa unaweza kusababisha sintofahamu.
  8. I

    Biashara ya kuuza mboga ya kisamvu

    Habari Nimewaza kuanza biashara ya kuuza mboga ya kisamvu Naombeni mawazo yenu juu ya changamoto zabiashara hii,..mfano kujua tofauti ya kisamvu na kisamvu-mpira, uhifadhi wa kisamvu, uaandaaji, uuzaji, n.k nitashukuru sana kwa mawazo yenu Asanteni
  9. Equation x

    Ni sahihi kwenda kula nyama choma, huku familia ikishindia mboga za majani?

    Kwenda bar nakuagiza; mbuzi, kuku, kitimoto, nyama choma, pamoja na kumwagilia moyo na marafiki; huku familia umeiacha ikila mboga za majani, sio uungwana. Itapendeza zaidi, kama utakuwa na familia yako; wote mkiwa mnatumia kwa pamoja, na si wewe na marafiki wakati huko nyumbani kwako...
  10. YinYang

    NADHARIA Mwanamke kuwa katika Hedhi inasababisha kunyauka kwa mboga na matunda

    Kuna madai mengi mtaani yanayosema kuwa mwanamke akiwa kwenye hedhi husababisha kunyauka kwa mboga na matunda ikitokea amechuma. Mdau mmoja wa JamiiForums amendika pia kuhusu suala hili. Baadhi ya tamaduni huwazuia kabisa wanawake wasichume vitu hivyo. Kisayansi, madai haya yana ukweli?
  11. Satisfy

    Mwanamke akiwa hedhi na kuchuma mboga za matunda

    Kuna huu msemo . Mwanamke akiwa kwenye hedhi haruhusiwi kuchuma mboga za matunda kama vile nyanya maji,nyanya chungu,pilipili washa na hoho. Pia vilevle haruhusiwi kupita au kushika majani ya hizo mboga akiwa kwenye siku zake. Kwa hiyo kama ni kweli ndo ivo kuna uhusiano gani kati ya hedhi...
  12. L

    Beijing: Kituo cha mbegu za kutoka anga ya juu chazalisha mbegu zilizoboreshwa za mboga na matunda

    Tarehe 22 Juni katika kituo elekezi cha kuzalisha mbegu za kutoka anga ya juu kilichoko wilayani Tongzhou mjini Beijing, China, aina mbalimbali za matunda na mboga zilipandwa kwa kutumia mbegu zilizopelekwa kwenye anga ya juu. Ikilinganishwa na mbegu za ardhini, mbegu kutoka anga ya juu...
  13. Nyamwage

    Mabinti wengi wa sasa hawajui kununua mboga sokoni

    Fikilia mwanamke unapimiwa samaki ambae kaisha haribika sawa hukuona sababu uko bize unachezea simu yako sasa tuseme hata harufu ya kuoza huisikii kweli. Aisee mwenzenu leo usiku nalala njaa sa ntafanyaje?
  14. Terrible Teen

    Mdee na Wenzake leo kumwaga mboga kwenye Baraza Kuu

    Leo Kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA kitafanyika ambapo pamoja na mambo engine kitajadili rufaa za Wabunge maarufu kama COVID 19. Ila tu watu wajiandae maana COVID nao wamejiandaa kumwaga mboga. Iko hivi, wakati wa kuandaa orodha ya Wabunge wa Viti Maalumu, kuliandaliwa orodha rasmi ikiwa na...
  15. Sky Eclat

    Kupanda kwa bei ya mafuta kumevuruga biashara yetu ya mbogamboga

    Kijana wangu alitafuta ajira kwa miezi sita baada ya kumaliza chuo. Mwisho tuliamua kuingia katika kilimo cha mboga mboga. Shamba ni la urithi la ekari tatu, tulikodi trekta kung’oa visiki. Tulichimba kisima na kununua simtank la litre 3,000 pamoja na pump yake. Ilibidi kujenga kibanda na...
  16. GENTAMYCINE

    Aamua 'Kukojolea' Kitoweo (Mboga) baada ya Kunyimwa Ugali (Chakula) makusudi na wana Familia wake

    Huwa napenda sana Watu ( Binadamu ) wenye Maamuzi magumu na ya papo kwa hapo kama huyu Baba na ningemjua ningempa Zawadi ya Mbuzi au Ng'ombe kama ambavyo hata Mshambuliaji Hatari wa Yanga SC Fiston GENTAMYCINE Mayele amekuwa akizawadiwa kwa Kutekeleza vyema Majukumu yake. Yaani Mimi ndiyo Baba...
  17. NITAKUKAMATA TU

    Mayele anatafuta mboga, viongozi Yanga jitahidini kutafuta mchele

    Baada ya hapo jana mshambuliaji wa kimataifa wa Yanga kutoka DRC, Fiston Kalala Mayele kuzawadiwa ng'ombe mwingine na mashabiki huko Mwanza, ni wazi sasa viongozi waanze kutafuta mchele, kwani Mayele anaendelea kutafuta mboga hili siku ya mwananchi day mashabiki wakale uwanjani, mpaka ligi...
  18. Lububi

    Waboreshaj saidia: kuuza mboga za majan packed!

    Tunakubaliana kuwa watu weng baada ya corona wamejua thaman ya kula kwa afya ikiambatana na kula zaid vyakula vya asili vyenye virutubisho muhim na kwa wingi. Sasa mimi nina ndoto ya kufunga mkusanyiko wa mboga za majan na mitishamba -dawa, kwa kuzicompress zikawa katika mfumo sausage kubwa...
  19. Cannabis

    James Mbatia amkingia kifua Spika Ndugai, kwenda mahakamani kuzuia mchakato wa kutafuta Spika mpya

    Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mhe.James Mbatia amesema atakwenda Mahakamani kuzuia mchakato wa kumpata Spika mpya wa Bunge kwa sababu Mhe.Job Ndugai hakufuata taratibu za kisheria na kikatiba kujiuzulu nafasi ya Spika wa Bunge.
  20. M

    Waliomwagiwa ugali nao kumwaga Mboga, mambo mengi yatawekwa hadharani, wanaCcm kuumbuana

    Sasa watanzania wanaenda kufahamu mambo mengi. Kuna tetesi kuwa kuna siri nyingi sana kuwa ufisadi mwingi unafanyika ila wanaCcm wanalinda chama chao kwa kuficha huu uovu, sasa inakwenda kuwekwa wazi. Zipo tetesi kuwa hata yaliyosababisha taifa likapata msiba mkubwa yatawekwa hadharani na...
Back
Top Bottom