mboga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maleven

    Nani atawasemea hawa wamama wauza mboga na matunda wanaoitwa wamachinga?

    Mwanzoni tulijua wamachinga wako katikati ya mji, wakiuza vitu mtkononi au kwa kutandika chini, vitu hivi vingi ni vitu vya kiwandani kama nguo, nk, lakini huu uongozi wa Bi Samia, unatuambia hata mama anaeuza maembe dodo muda wa usiku pale Kibaha Maili moja nae ni mahinga anachafua mazingira...
  2. M

    Suala la Maji: Utawala corrupt unatuletea shida, Mchina akamatwa akichepusha maji mto Ruvu kumwagilia mboga

    Nataka niongee kwa hasira kali na leo Mod naomba mnivumilie lugha yangu. Hapa bongo kuna mambo ya kikhanithi yanaendelea sana na matokeo yake wananchi tunapata shida kwa sababu ya ukhanithi wa watu wachache. Leo Nipashe wametoa taarifa kuwa kuna mchina amekamatwa anachepusha maji ya mto ruvu...
  3. Idugunde

    Pwani: Mtambo wa kuvuna maji lita milioni moja kwa Saa, wakamatwa katika chanzo cha maji cha mto Ruvu

    #HABARI BODI ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imemkamata mkulima mkubwa raia wa China anayefanya kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Kidogozelo Kitongoji cha Migudeni wilayani Chalinze akivuta Maji katika Mto Ruvu kwa kutumia mashine yenye uwezo wa kuvuta maji Lita milioni moja kwa saa. =====...
  4. Idugunde

    Hivi wakazi wa Dar huwa hamuoni kinyaa kula mboga za majani zilizomwagiliwa maji machafu?

    Mnakula sana bamia na mboga za majani maana ndio chakula kikuu. Sio kama mikoani kuna vitoeo kibao. Lakini mboga za majani mnazokula zinalimwa mabondeni na humwagiliwa maji machafu ya kinyesi. Mimi nikiwa zangu Igunga ni kula kuku,nyama ya ng'ombe na mbuzi. Mboga za majani zinakuwepo kama...
  5. M

    Wanawake mmepata mtu wa kuwasemea na kuwainua, sasa achaneni na ajenda za pesa mboga, njooni na ajenda muhimu!

    Kheri kwenu kina mama wote! Niende moja kwa moja kwenye mada. Natumaini sote tunatambua Rais na kiongozi wan chi yetu kwa sasa ni Mwanamke, kama jinsi alivyojipambanua mara baada ta kula kiapo kuwa Yeye ndiye Rais wa JMT ambaye kimaumbile ni mwanamke, nasi tulimpokea na tunaendelea kumuunga...
  6. Ramon Abbas

    Hii mboga gani jamani?

    anaeijua aniambie😅😅😅 mapishi yake yakoje 😋😋
  7. F

    Vita ya mboga

    Nyanja: Mahusiano (Siyo tukio halisi) Wateja wa mgahawa mmoja wa chakula unaoitwa Kowak 4 Star Motel ulioko Ingri-Juu Wilayani Rorya wamefikishwa kituo cha Polisi baada ya kupigana vibaya sana na kuharibu mali za mfanyabiashara wa mgahawa huo ndugu Mahende Koroso mzaliwa wa Bumera. Kwenye...
  8. Analogia Malenga

    Teksi zageuka kuwa shamba la mboga Thailand

    Katika maegesho ya gari nchini Thailand katika mji mkuu wa Bangkok, utaona mbogamboga zikiwa zimeota katika paa ya magari ya kukodi ambayo yana rangi mbalimbali za kung'aa. Vizuizi vikali vilivyowekwa nchini Thailand dhidi ya Covid-19 vimesababisha mji huo ambao ulikuwa na hekaheka nyingi kuwa...
  9. J

    Umuhimu wa mboga mboga & Matunda

    Kutokana na tafiti ambazo zimefanywa na watu mbalimbali wanasayansi mbalimbali duniani (ndani ya Africa na nje ya Africa) wamekuja kugundua kuna umuhimu mkubwa sana wa mboga mboga hasa mboga mboga asilia kama mchicha ,ngogwe ,mgagani. Kwanini zina umuhimu kwasababu zimebeba virutubisho muhimu...
  10. Reginald L. Ishala

    Hizi mboga na nafaka kiingereza chake ni kipi?

    Habari za muda huu wa wanaJF! Kama yalivyo maelezo hapo juu. Naomba kufahamu kwa Kiingereza majina ya mboga na nafaka zifuatazo:- Mlenda, Bamia, Nyanyamshumaa, Mchicha, Kunde, Mbaazi, Dengu, Majani ya Kunde, Matembele, Bilinganya, Msusa, Figiri, Choroko, na Pilipili Hoho. Natanguliza...
  11. A

    Hii ni mboga iliyopikwa na mke wa ndoa kwa mume wake

    Kuna watu wanaishi maisha magumu duniani.
  12. M

    Unahitaji mbogamboga?

    Habari waungwana Hongereni kwa pilika pilika za kutwa nzima za kupambania maisha, natafuta wateja wa kununua mboga mboga aina ya chainizi shamba lipo morogoro berega na linafikika kwa urahisi sana na hasa kwa wale wa kibaigwa, Dodoma Mjini, Morogoro Mjini na hata kwa Dar pia Shambani nina...
  13. Mboka man

    Ukweli mchungu: Mwanaume anayejitegemea na mwenye vijihela vya kubadilisha mboga hawezi kuachwa na mwanamke

    Wanaume wenzangu tafuteni pesa tengenezeni maisha yenu hakikisha kwa umri wako, Una gheto lako liko fresh Lina kila kitu. Lakini pia hela ya kubadilisha mboga haikupigi chenga. Nakuhakikishia hakuna mwanamke atayekuacha ukiona umeachwa ujue una tatizo.
Back
Top Bottom