Sisi wakulima wa ukanda wa Pwani tunateseka sana na mbolea , hakuna mbolea yoyote ya Ruzuku kwa sasa ilipo kwa mawakala , toka mwezi wa 11 mwishoni, kila wakala anasema serikali haijalipa wasambazaji hivyo mawakala wakichukua mbolea na kuuza kwa ruzuku hawatalipwa .
Tunaomba Waziri wa Kilimo...