mbolea

Tanzania Mbolea and Petrochemical Company (TMPC), a Tanzanian company that was specifically formed to design, build and operate a fertilizer-manufacturing factory in the Mtwara Region of Tanzania, using natural gas as raw material.When completed, the plant will be the largest fertilizer-manufacturing factory in Africa, with capacity of 3.8 million metric tonnes of product annually.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    Viongozi mnaudhi sana! Mbolea ya ruzuku inakaeje Dar na hamnaga mashamba huko!?

    Niko pwani, eti nikitaka mbolea ya Ruzuku niifate Dar? Na unatonywa kisiri siri? Mbolea inakaaje kwenye magodauni ya Dares alam ili hali inapaswa ikatumike Kwa wakulima waliolo Pwani? Mh msatasfu Rais Kikwete ni mkulima mwenzangu, Je yeye kweli anachukulia mbolea Dar badala ya huku kwetu...
  2. saidoo25

    Mzee wa miaka 70 afariki akisubiri mbolea ya Ruzuku

    Mzee wa miaka 70, Bw.Seif Mwangaeka mkazi wa Kijiji cha Mkurumusi, wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, amefariki dunia akiwa kwenye kituo cha kuuzia mbolea ya Ruzuku cha Kigonsera na kusababisha kituo hicho kufungwa kwa siku moja kuomboleza kifo hicho. CHANZO: ITV
  3. J

    Hivi Kigoma kukoje? Wakulima wanakaa foleni wiki nzima kusubiri mbolea ya Ruzuku

    Kigoma wanaishije lakini? Nimeshuhudia kupitia ITV habari Wakulima wanalalamikia mbolea ya Ruzuku wanaifuata mjini na wakifika wanakaa foleni zaidi ya Siku tatu ndio unauziwa Ndio najiuliza Kigoma ni Tanzania kweli?
  4. saidoo25

    Anguko la Bashe ni ruzuku ya Mbolea

    Wabunge wanaendelea kujadili ripoti ya CAG Bungeni wabunge wengi wmeonekana kulalamikia ubabaishaji mkubwa uliopo kwenye mfumo wa utoaji wa ruzuku ya mbolea huku wengi wakidai utaratibu huo unawanufaisha matajiri huku wakulima wakiendelea kulia. Mbunge Condescha Sichalwe na Vita Kawawa...
  5. L

    Kuna uhitaji mkubwa wa elimu ya uandaaji wa mbolea ya asili

    Habari za wakati huu watanzania wenzangu. Kuna makala niliweka humu juu ya uandaji wa mbolea ya samadi ya maji kwa ajili ya matumizi ya bustani na shamba kiujumla. Kulingana na watu walionitafuta kuhitaji kujua zaidi na mrejesho ninaoupata kwa walioanza kutumia hakika ninapata faraja kubwa...
  6. S

    Mbolea ya CAN inawekwa baada ya muda gani katika mmea?

    Mbolea ya CAN inawekwa baada ya muda gani katika mmea?
  7. E

    Upatikanaji wa mbolea ya mboji

    Mboji ni aina ya mbolea ya asili yenye rangi nyeusi kahawia na harufu nzuri ya kidongo ambayo hutokana na kuoza kwa mchanganyiko wa masalia ya mimea,mazao au matunda, kunakosababishwa na vijidudu na wadudu rafiki wa mazao. Mbolea ya mboji unaweza kutengeneza mwenyewe kwa kukusanya mabaki ya...
  8. Titicomb

    Rais Samia, mbolea ya ruzuku ikichelewa wakulima wa kutotegemea mvua tutapata hasara kubwa

    Ombi kwa mheshimiwa Raisi Mama Samia. Mpango wa mbolea ya ruzuku ni mzuri sana na wenye tija kama utatekelezwa kwa wakati. Serikali yako imesikiliza kilio cha wakulima cha muda mrefu. Hongera sana. Pongezi pia ziwafikie washauri wako na wazira ya kilimo kwa ujumla. Mpango huu umeanza kuwa...
  9. Kamgomoli

    Changamoto kubwa kwenye mfumo mbolea za ruzuku

    Msimu wa kilimo 2022/2023, serikali imekuja na mfumo wa mbolea za ruzuku, ambapo mkulima ni lazima ajisajili kwenye madaftari ya wakulima yaliyosambazwa kote vijijini. Changamoto kubwa iliyojitokeza ni wakulima wengi kutopata namba ambayo wanatakiwa kwenda nayo kwa wakala ili wakamilishe malipo...
  10. S

    Urusi nafaka kwenda nchi masikini, kutoa mbolea ya bure

    Rais Putin ameahidi kumimina nafaka kwenda nchi masikini. Ameahidi kusupply tani milioni 30 mpaka mwisho wa December. Na pia Urusi ipo tayari kuongeza kiwango hicho na kufikia tani milioni 50. Sambamba na hilo Putin amesema atamimina mbolea ya kumwaga ya bureee kwenda nchi masikini. Kamuamuru...
  11. Bushmamy

    Mbolea bei juu, maagizo ya Waziri wa Kilimo kuhusiana na kushushwa kwa bei ya mbolea yamepuuzwa?

    Mbali na tamko la waziri la waziri wa kilimo Mh. Hussein Bashe kutoa bei elekezi ya mbolea kuwa ifikapo tarehe 15/08/22 maduka yote nchini yanayouza pembejeo za kilimo yawe yameshusha bei ya mbolea na kuuza kwa bei elekezi ya serikali ili kumpatia nafuu mkulima. Lakini hadi sasa...
  12. L

    SoC02 Namna nilivyoweza kupunguza gharama za kilimo kwa kutengeneza mbolea yenye uwezo mkubwa wa ajabu

    Kilimo tangu nyakati za uhuru mpaka leo hii ndiyo sekta pekee inayoajiri asilimia kubwa ya watanzania. Inakadiriwa kuwa zaidi ya 60% ya watanzania wamejiajiri au kuajiriwa katika sekta ya kilimo. Na kilimo imekuwa mhimili mkubwa wa maisha ya kila siku ya watanzania wengi. Pamoja na kuwa kilimo...
  13. Peramiho yetu

    Mbolea ya ruzuku ipo au haipo?

    Leo nilienda kujiandikisha ili na mimi niwekatika ule mpango wa mbolea hiyo ya RUZUKU Maajabu afisa mtendaji akaniambia mimi sistahili kuwa katika mpango huo kwani najiweza sababu namiliki ekari 20 Hivyo waliolengwa ni wale wanaomiliki ekari 3 kushuka chini Swali langu kwa Waziri wa Kilimo...
  14. Mganguzi

    Waziri Bashe masharti ya kupata mbolea yanaashiria mbolea hamna. Nimeanza kukosa imani

    Kijiji cha Ilembo kata ya Mpui wilayani Sumbawanga, nimekutana na kioja kama si kihoja! Ati ukijiandikisha inatakiwa wakapime mashamba yako, wakishayapima ndio upatiwe hiyo mbolea. Nauliza kijiji kimoja kinawakulima mpaka 10,000' na Kila mkulima ana heka kumi, mtapima mashamba yote ndio mgawe...
  15. P

    SoC02 Mirathi ilivyo mbolea ya umasikini na upoteaji wa asilia ya vizazi

    Moja ya majukumu yangu ni kuwasaidia wafiwa kuandaa nyaraka muhimu za mirathi na kuwapa ushauri ni namna gani wanaweza kulinda mali za wapendwa wao marehemu na haki za warithi wao kisheria pindi wanapokuwa wamefiwa ikiwemo ufunguaji na uteuzi wa wasimamizi wa mirathi. Katika utendaji wangu huu...
  16. Kyara Atufigwe

    Ruzuku kwenye mbolea na mustakabali wa uchumi wa taifa letu

    Jitihada kadhaa zenye lengo la kuiinua sekta ya kilimo zimewahi kufanywa na serikali za awamu zilizopita lakini bado hazikufanikiwa kwa kiasi kikubwa. Moja ya iliyokuwa changamoto kubwa katika sekta ya kilimo ni mfumuko wa bei za mbolea nchini. Bei ya mbolea imekuwa ikipanda maradufu na...
  17. N

    Hizi ndio bei za mbolea ambazo wakulima watanunulia kuanzia Agosti 15, 2022 baada ya bilioni 150

    Utashangaa kiukweli hii inaonyesha ni Kwa namna gani serikali inawasikiliza watu wake hasa katika kuhakikisha inawapunguzia makali wakulima kutokana na hali ya kupanda kwa bei za mbolea katika soko la dunia si Tanzania pekee bali ni ulimwenguni kote. Zipo sababu kadhaa zilizosababisha bei...
  18. Sildenafil Citrate

    Bashe: Hata usiposajiliwa, utapata mbolea kwa bei ya ruzuku

    Ziara ya Rais Samia Suluh Hassan Mkoani Njombe, kijiji cha Mtwango. Waziri wa Kilimo Mh. Hussein Bashe ametoa uhakika wa upatikanaji wa mbolea kwa bei ya ruzuku hata kwa wakulima ambao hawatakuwa wamesajiliwa baada ya muda huo kufika. Hii inatoa ahueni kwa wakulima waliokuwa na wasiwasi juu ya...
  19. Jidu La Mabambasi

    Rais Samia, fufua kiwanda cha mbolea Tanga (Tanga Fertilizer Company)

    Mwalimu Nyerere aliona mbali sana baada ya kujua kuwa nchi hii ya Tanzania ni ya Wakulima na Wafanya kazi. Kati ya viwanda vingi alijenga ni kile cha Tanga Fertirlizer Company iliyokuwa inatengeneza mbolea ya NPK na nyingine kama sikosei. Wajanja wakakiuza na hata ukigoogle leo hakipo kwenye...
  20. BARA BARA YA 5

    Bei mpya elekezi ya mbolea

    Serikali imetoa mbei mpya ya mbolea yenye ruzuku. DAO kutoka 131,676 hadi 70,000 Urea..................124,724 ...........70,000 CAN ...................108,156............60,000 SA...........................82,852............50,000 NPK.......................122,695...........70,000 MAMA SAMIA...
Back
Top Bottom