Katika msimu wa kilimo wa mwaka huu kumekuwapo na ulanguzi wa mbolea ya ruzuku.
Mfano hai ulanguzi huu unafanyika katika Mtaa wa Lumumba hapa Mwanza ambapo mbolea ya kilo 50 ya CAN na UREA bei ya ulanguzi ni Tshs.130,000 mpaka 150,000 ambapo bei halisi ni Tshs. 70,000. Tujiulize hawa walanguzi...