mbovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Huduma mbovu za Benki ya ABC unapoomba mkopo

    Kero Tafadhari husika na kichwa tajwa hapo juu, Mie ni mdau wa huduma za kifedha kutoka kwa makampuni mengi yanayotoa huduma hizo kila siku na ninafanya biashara. Naomba kufikisha/ kusema/ kuwasilisha kero yangu kutoka mojawapo ya kampuni ya kifedha (African corporation Bank,ABC) inayotoa...
  2. Tulimumu

    Huduma za Airtel Mobey ni mbovu sana

    Hii kampuni inatia hasara sana watu. Unatuma pesa inajibu UNFINISHED kwa maana ya jwamba haijakamilika kumbe pesa zimekwenda hivyo unajikuta unatuma mara ya pili. Unatuma pesa kwa mteja ujumbe hapati mpaka aanze kuangalia salio. Ni usumbufu mkubwa hasa kwa mawakala inabidi kampuni ifanyie kazi...
  3. C

    SoC04 Mfumo mbovu wa elimu

    Mfumo wa Elimu tulionao hapa Afrika hatukuutengeneza sisi wenyewe bali maadui zetu, hivyo kamwe usitegemee adui yako akupe elimu nzuri. Akupe elimu nzuri ili umpindue? Wazungu walipokuja kwa mara ya kwanza hapa Afrika, walitukuta tuna mfumo wa elimu wa ujuzi na badala yake wakauua na kutupa...
  4. mirindimo

    Video: Huduma kwa wateja Taasisi za Umma mbovu. Nimepiga simu Nest (PPRA) nusu saa hakuna anayepokea. Siasa zisiue huduma kwa jamii

  5. GENTAMYCINE

    Siioni Simba SC ikishika nafasi ya Pili japo jitihada za Airtel Money na Magumashi zinafanyika mno

    “Kikubwa kilichotuleta Arusha ni mechi ya Ligi Kuu dhidi ya KMC, mchezo ambao utachezwa tarehe 25 majira ya saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.” “Tangu nimekuwa msemaji wa timu yenu timu haijawahi kuja Arusha hivyo nikaona hii ni nafasi nzuri ya kuja tuonane. Nimefurahi kwa...
  6. peno hasegawa

    Orodha ya Barabara mbovu za Tanroads na ambazo hazina Lami na ziko kwenye uchumi mkubwa wa Nchi

    1. Kitunda (Tabora) - Rungwa - Kambi Katoto - Lupa tingatinga - Makongorosi (Chunya) 2. Rungwa - Kintanula - Itigi (Singida). 3. Mererani - Orkesmet - Kiteto (Manyara). 4. Geita - kwenda Kahama 5. Tarime kwenda Serengeti kupitia Mugumu. Cha kushangaza, serikali kwa miaka 60 ya uhuru, ina...
  7. A

    KERO Barabara ya Tabora Mjini hadi Igalula ni mbovu, inatutesa watumiaji

    Huu ndio muonekano wa Barabara ya kutoka Tabora Mjini kwenda kwenye Kata za Igalula, Goweko, Nsololo na Nyahua iliyo Wilaya jirani ya Sikonge. Barabara hii ndio kama kiungo kikubwa cha Huduma za Jamii kwa maeneo hayo lakini kwa sasa Wananchi wanapata adha ya usafiri kutokana na ubovu wa...
  8. Gotze Giyani

    Mfumo mbovu wa elimu ndio unazalisha ukosefu wa ajira kwa wasomi vijana wa kitanzania

    Wadau habari za muda poleni na majukumu ninaomba kuuliza kwa wazoefu kwa nini serikali aitaki kuona elimu yetu imepitwa na wakati wabadili mfumo wa elimu uliopo uwe kama nchi zilizoendelea ili nasisi tuweze kupunguza matatizo ya kukosa ajira kwa wahitimu wa chuo.Mfano unakuta ajira zimetangazwa...
  9. Ms Billionaire

    Changamoto ya barabara mbovu Goba Kulangwa/Tegeta a Serikali inapuuza?

    Habari wadau. Narudi tena kusisitiza shida za Barabara za Goba kulangwa! Leo tumenusurika tena kupoteza watoto kumi. Sijui tupige vipi kelele hizi barabara zitengenezwe kwa ubora. Sio kutupitishia magreda! Maana Mvua zikija zinasomba tena! Nasisitiza tena. 1. Kuna ile njia Goba kulangwa...
  10. Pdidy

    Hivi hizi simu wanazonunua mbovu zinaenda wapi??

    Nimejaribu sana kuwaza hilo swala wale watu wanapita na makelele majumbani tunanunua simu mbovu shida nini na zinaendaga wapi zikinunuliwa?? Tulishazoea chuma chakavu. Pesa mbovu. Hivi sasa wananunua na simu mbovu aisee. Majuzi niko bar naona mtu na mkewe wana sumaku mkononi wanaokotaaa...
  11. Magufuli 05

    Pre GE2025 Hii Serikali inayosifiwa kwenye mabango nchi nzima nini hasa dhumuni lake?

    "Siku mkisikia wazungu wananisifu tambueni nimewasaliti" ni maneno ya Samora Machel kwa wananchi wake. Tuje hapa kwetu sasa. Hii serikali inayosifiwa kwenye mabango nchi nzima Nini hasa dhumuni lake?. Kwanini imekimbilia kwenye mabango kujitangaza na si kuacha kazi ijitangaze yenyewe? Ukweli ni...
  12. A

    KERO Huduma mbovu NHIF Ilala

    Mwishoni mwa mwezi Aprili nimeandika hapa malalamiko yangu kuhusu changamoto za utoaji huduma katika ofisi za Bima ya afya ya Taifa (Tawi la Ilala). Hii changamoto imekwenda mbali zaidi na sababu kubwa ikiwa ni utashi wenye mashaka kwa watoa huduma walionipatia huduma. Baada ya kulalamika...
  13. R

    Kwa dhambi hii ya kuiacha katiba mbovu inayomfanya Rais kuwa "Mungu Mtu", Nyerere hapaswi kuwa Mtakatifu

    Dhambi kubwa aliyofanya Nyererew ni kuiacha katiba ambayo mwenyewe kwa kinywa chake alisema katiba hii akiipata dictator, ataumiza sana watu/ WATANZANIA/WATANGANYIKA. Kwa vile ilikuwa inampa mamlaka ya kidikiteita akaiacha hivyo hivyo. Sasa wamekuja madikiteita marais waliopita na kuitumia...
  14. proisra

    KERO Halmashauri ya Mji Kibaha amkeni, tatueni kero za barabara mbovu

    Kama kuna aibu inayoinyemelea Halmashauri ya Mji Kibaha ni ubovu wa miundombinu ya barabara zake, na hasa zilizopo katikati ya Mji (Kata ya Maili Moja). Hii ni kero ya muda mrefu sana, kwa Halmashauri ya Mji Kibaha kushindwa kuweka vipaumbele vya ujenzi wa barabara za pembezoni na hasa katika...
  15. Ghost MVP

    Magari ya Wanafunzi (SCHOOL BUS) yamekuwa na udereva mbovu na uvunjaji wa Sheria

    Hizi gari madereva wanajiona kama Viwete Kuwa wanahitaji Special Care, mara kadhaa nimeshuhudia Gari la shule likivuka taa za barabarani bila hata kuchukua tahadhar na ilikuwa inawaka Red. Madareva wamekuwa rafu sana wa wanafunzi hawa wadogo, magari yanakimbizwa mnoo, hawachukui tahadhari, na...
  16. B

    Sakata la mchele mbovu kutoka Tanzania, Rwanda

    Mchele Unaoingizwa nchini Rwanda walaumiwa kwa kukosa viwango vilivyo andikwa ktk vifungashio . .. Mwishoni mwa mwezi uliopita, habari za utapeli na uaminifu katika mamia ya tani za mchele kutoka Tanzania hadi Rwanda zilitawala vichwa vya habari vya vyombo vya habari vya ndani. Baadhi...
  17. D

    Madhara ya sera mbovu za awamu ya tano zimeanza kuonekana awamu hii

    Kipindi Cha Magufuli shule binafsi zilipata kibano sana na nyingi zilifunga biashara kwa kuwekewa mikodi kibao na wazazi wengi kuondoa watato wao kwa sababu ya vyuma kukaza kila kukicha mana watu walikuwa wanapoteza kazi daily kwenye sector binafsi. Sector binafsi ilikufa kabisa mfano mabank...
  18. GENTAMYCINE

    Hivi tulishindwa tu kununua Madafu ya kutosha Nje ya Ikulu hadi kuruhusu Wauza Madafu na Baiskeli zao Mbovu na Kongwe waingie nazo Ikulu kienyeji?

    Mnaacha kutumia muda wenu mwingi kufikiria kwa Akili Kubwa jinsi ya kutatua Changamoto lukuki zinazowakabili Watanzania na Taifa la Tanzania nyie Kutwa mpo katika kutengeneza Maigizo ya Kipumbavu na Kishamba (kama mlivyo) ili tu muonekane Mnapenda na kujali kila Mtu, Wanyenyekevu na mno Huruma...
  19. M

    KERO Huduma za Airtel Tanzania ni mbovu sana

    Habarin wadau, Naomba mwenye uelewa anijuze nawezaje kupata haki yangu, Tarehe 04 -03-2024 nilitumia Airtel Money kufanya muamala wa TZS 150,000 kwenda tigopesa hiyo pesa kwangu ilitoka lakin haikufika kwenda ilikotumwa. Nimejaribu kutafuta msaada mara kadhaa katika ofisi za Airtel bila...
Back
Top Bottom