Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Watanzania wengi huwa niwakurupukia mambo utadhani wana matatizo ya kiakili!
Huyo jamaa aliyeonekana ameua Mamba aliyesadikika kuwa mkubwa nchi Tanzania analindwa na sheria mbovu za uwindaji zilizopitishwa na kutungwa na kina Musukuma na wenzie...
Madebe Lidai tunakudai utuombe msamaha sisi wakristo kwa kauli yako hii uliyoitoa kwenye instastory yako;
"Mtu kaenda Maka akirudi anaacha mke anachukua mke wa mtu aliyeachwa akaanza Kuzini hadharani hapo ndipo utaamini hata maka wakristo wapo 🤣🤣"
Kauli hii ni ya kichochezi na inamaanisha...
Mnaacha Kuwahimiza Watoto wenu wajikite na Masomo ( Taaluma ) ili waje kuwa Msaada kwa Taifa nyie mko busy Kuwapigania waanze kuwa Viongozi huko CCM Chipukizi kama mlivyo nyie Wazazi wao Serikalini.
Na kuna Mtoto Mmoja nae nimemwona ameshaanza kuwa Tapeli na Muongo Muongo kama alivyo Baba yake...
Wakuu nimeona kutokana na malalamiko ya wateja kutamkiwa kauli mbovu na watoa huduma kwenye sekta mbalimbali ni vema tukataja majina ya wahusika ili tuwaandalie ligi yao maalum. Wadhamini watapatikana.
Makonda wa daladala wao wanaingia fainali moja kwa moja kutokana na kiwango chao kuwa juu...
Anaesema Simba ilicheza vizuri dhidi ya Wydad ninamshangaa sana tena sana.
Wydad kufungwa na kila timu kwenye mechi mbili za kundi lake kuliwapa matumaini wachezaji wa Simba kuwa hata wao wangeweza kuifunga Wydad, hivyo walijitahidi tu kucheza mbele ya kocha wao mpya ili wapate matokeo pia kama...
Tunajua
Ndani ya chama cha Mapinduzi CCM kunatofauti nyingi mno zinazotokana na uchu wa madaraka,makundi mengi yanazuka kulingana na nani ananipa nini pia nitapata nini?
unazani kwa mtu kama Samia Suluhu afanye kitu gani ili kudhibiti mwendendo huu mbaya ambao unatishia kukiangusha chama cha...
Ero sobhai.
Takwenya kokoo wote humu?
Mwangaruka wabhabha na mamayo
Enewei kama salaam haijawachangamsha haya changamkeni na hii.
Serikali ya Tanzania imefunga ndoa isiyo ya kawaida na Chama Cha Mapinduzi ili kukisaidia kisalie madarakani na kuwafanya Watanzania kuwa manamba wa kudumu wa...
Ukiondoa hizi international Schools ISM, Braeburn, IST, St. Constantine.
Shule zilizo baki Tanzania zinatoa elimu mbovu utofauti ni mazingira ya upokeaji wa vilivyo vibovu.
St. Kayumba na hizi English medium/private wote wale wale wanaendelea kutoa yale yaliyo mabovu yaliyo andaliwa na wizara...
Hii kampuni ya SuperFeo ruti tajwa hapo juu mabasi yake yamechoka. Yutong ya tangia mwaka 2020 mpaka leo tunaelekea 2024 unategemea nini.
Halafu hawa mabasi ya kutosha, fikiria basi lililotoka jana Moshi saa 12 na kufika Songea saa 8 usiku, saa 10 leo igeuze tena kwenda Moshi. Kweli tuko...
Kuanzia mapokezi, Dirisha la Malipo - hapa ndo pana shida mnooo😭😭, unayezilipa shida ni kurudi tena ili risiti iingizwe kwenye mfumo. Unaeza kaa hata masaa ma tatu hafi 10.na ukirudi tena siku nyingine unaambiwa risiti imetumika imeisha muda wake so that you must pay it again 😭.
Mtandao wao...
Anonymous
Thread
hospitali
hospitali ya rufaa
huduma
huduma mbovumbovu
mtwara
rufaa
Kituo cha Afya Zamzam kilichopo Manispaa ya Bukoba huku Mkoani Kagera kinatoa huduma mbovu sana upande wa afya, hasa kwa Wanawake Wajawazito.
Haijalishi kama una kadi ya Bima au la, bado huduma zao ni mbovu hasa upande wa Wodi ya Wajawazito.
Watumishi wa Kituo hicho cha Serikali ambacho pia...
Anonymous
Thread
afya
bukoba
huduma
huduma mbovu
kituo
kituo cha afya
mazingira
mbovu
rushwa
watumishi
Ni kama vile huwa wanaambiana au wanapeana semina.
Hii imenitokea mara nyingi mpaka nilipo anza kuchukua tahadhari. Hii inawahusu zaidi wanao toa kuanzia laki 2, 3 na kuendelea lakini pia hata wanao toa chini ya hapo inawahusu pia. Ni hivi ukienda kutoa hela kuanzia lets say laki 2 au 3...
Sandaland katengeneza jezi nzuri kwa Taifa stars. Huku kwa Simba huwa analipua tu. Leo zimezinduliwa jezi za kutumika kwa ajili ya ligi ya mabingwa Africa, jezi hazina ubunifu zipo zipo tu. Hovyo kabisa.
TFF wamekua wazembe sana kwenye suala la muda wa mechi za TAIFA stars. Hii ni mechi ya pili wanapangiwa muda mbovu na CAF wanakubali bila hata kuhoji.
Mechi saa nne usiku ni rafiki kweli kwa nchi yetu na usafiri wa Dar Es Salam? Hawaoni kuwa sio rafiki kwa mashabiki na kwa ushangiliaji wa mechi...
Wametafuta mzungu asiye na timu anayezulula tu mtaani wakaongea nae. Ifikie sehemu tuheshimu wazawa. Dili la viongozi kupiga Pesa ndefu kwa Mo limekaribia kutiki.
Huyu kocha hajawahi kuongoza timu yoyote ile kwa miaka miwili mfululizo. Anaishiaga nusu msimu.
Viongozi wanaweka siri ili watu...
" Mashabiki Simba walinipenda na nawapenda sana lakini lazima waambiwe ukweli kwamba Simba ina safari ndefu kwa sasa kwa aina ya usajili uliofanyika. Waliosajiliwa msimu huu ni Che Malone na Ngoma ndio wenye ubora na viwango, wengine wanajitafuta."
Robertinho via @MwanaspotiTZ
Mheshimiwa JAJI KIONGOZI, kuna TATIZO la KUSAJILI KESI katika Mahakama Kuu ya Tanzania (Mbeya) linalosababishwa na UBOVU wa MFUMO wa MALIPO (Control Number). Ili HAKI isicheleweshwe KINYUME na ibara ya 107A(2)(b) ya KATIBA ya Tanzania, NAOMBA kesi hiyo ISAJILIWE kwa DHARURA.
Nini kinaendelea Mbeya kuhusu Maandaano? Watu wa Mbeya tuambieni kinachoendelea kama hizi picha ni za kweli
===============
UPDATES...
Hofu na wasiwasi vimetanda kwa wananchi jijini Mbeya kufuatia askari polisi kuzagaa kwa makundi maeneo mbalimbali tofauti na siku nyingine.
Hata hivyo hakuna...
Ndugu zangu watanzania, sisi wajasiriamali tunaojaribu kufuata sheria na kuwa complied na sheria za Nchi tunapitia mengi sana.
Wakati wa JPM ulikuwa ukifanya returns BRELA au mabadiliko yoyote kwenye kampuni yako ulikuwa unapata huduma kwa haraka sana.
Nina miezi mitatu nimefile BRELA returns...