mbovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Kama una simu yoyote mbovu inahitaji repair DM

    Nicheki dm kwa simu yoyote mbovu kama inahitaji software au hardware 1. Umesahau password 2. Simu yako imevunjika kioo 3. Unahitaji update kwa ajili ya simu yako 4. Matatizo ya network 5. Ulizi wa simu yako 6. Kuongeza storage iphone au android phone
  2. Kwa hali ilivyo sasa, Serikali itagombana sana na Watanzania kwa Mkataba mbovu wa Bandari

    Hawa ndo wanyakyusa katika ubora wao hawapendangi ujinga. Hizi nyimbo unaweza kuzibeza lakini kuna la kujifunza hapa kama wenye mamlaka wana akili. .
  3. Simba timu yenye wachezaji wabovu na kipa mzuri. Yanga ina wachezaji wazuri na kipa mbovu

    Mechi ya jana simba walielemewa kila upande dakika zote tisini Kipa wa simba alikuwa busy dakika zote tisini hakuna kupumzika Kipa wa Yanga muda mwingi hakuwa na kazi a relax muda wote wa dakika 90.Sababu yanga timu ilikuwa muda wote msitari wa mbele kuhakikisha simba haipeleki mpira golini...
  4. Upatikanaji mbovu wa taarifa kwa wanafunzi wanapokua vyuo vikuu

    Hoja: Upatikanaji Mbovu wa Taarifa na Ufanisi wa Mifumo ya Uwakilishi:Wanafunzi wanapata changamoto katika kupata taarifa muhimu vyuoni kutokana na mfumo dhaifu wa mawasiliano. Mifumo ya wanafunzi wanaowakilisha (CRs) inaweza kusaidia, lakini matokeo yake hayana uhakika kwa sababu ya muda...
  5. Rais Samia aitumie Simba Day kutuambia kwanini alisaini Mkataba mbovu wa Bandari

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Rais Samia kajificha siku nyingi sana pamoja na sakata hili la bandari. Simba day itaonekana mubashara Tanzania na dunia nzima na mamilioni ya watu watakuwa wanafutilia tukio hilo. Kabla ya Utambulisho wa wachezaji Rais atumie siku hiyo kutuambia nini kimemsukuma...
  6. S

    Sababu kwanini ACT Wazalendo hawazungumzii mkataba mbovu wa bandari

    Leo nilikuwa na kiongozi mmoja wa kitaifa wa ACT ambaye amenitonya haya kuhusu ukimya wao kuhusu issue ya makataba wa bandari na DP World. 1. Mapema June walikuwa na mikutano ya chama wakizinguka maeneo mbalimbali ya nchi. Ni katika kipindi hicho suala la bandari lilikuwa linaanza kushika...
  7. Sijawahi kuona CCM dhaifu na nyepesi kama ya awamu hii si katika kufikiri, kutatua na kujibu hoja. Sekretariati mbovu na dhaifu

    Wasalaam JF, Hila sakata la Bandari limeletwa kwa kusudi la Mungu. CCM dhaifu sana awamu hii, sekretariati imejaa wasio na uwezo wa kufikiri, kutatua wala kujibu hoja kwa data na facts. Mihadhara yao ni kama uzurulaji wa nyuki. Awamu hii tutaona CCM utopolo toka tupate uhuru. Sekretariati...
  8. Beno alitaka tu Tsh 65M na Mshahara wa Tsh 10M mkakataa, ila Mbrazili mbovu mmempa Tsh 400M na Mshahara wa Tsh 14M

    Hivi Uongozi wangu wa Simba SC kwa huu Upuuzi na Upumbavu Watani zetu wakubwa Yanga SC wakitucheka na Kutuita Mbumbumbu FC tutakataa na Kuwanunia? Beno Kakolanya aliipenda sana Simba SC na Kaondoka kwa Maumivu makubwa Moyoni kwani alichukiwa na Viongozi Wawili kwakuwa tu alikataa kuwapa 10% ya...
  9. Je, mtu akiandika comment mbovu mtandaoni akiwa amelewa, anawajibika kisheria?

    Mfano mtu akaweka comment ya kumdhalilisha Rais akiwa katika hali ya kulewa, anakuwa responsible au anakuwa exempt?, sheria inasemaje?
  10. Tuwaze mrejereo: Hivi DP World ingeletwa na Magufuli ingepingwa?

    Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar. Je tatizo hapa ni mkataba au namna Serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi...
  11. Akili mbovu ya vijana wa kizazi hiki kufikiria wakatapa teuzi kwa kusifia viongozi

    Kuna tabia ya vijana bila hata kupewa chochote huibuka na kusifia viongozi hata ambavyo hastahili. Hii imekuwa kero kwa baadhi ya viongozi ambao hawana hulka ya kutaka sifa wamekuwa wakijitenga nao. Katika kitabu kimoja cha uongozi nilikisoma kwa uzuri sana. Kinasema kiongozi mzuri hujipambanua...
  12. Sitafanya utetezi wa mkataba mbovu kwa nchi yangu kisa mimi ni Muislam

    TUENDELEE KUJADILI MAPUNGUFU YA MKATABA. Baina ya Tanzania na Dubai wa uwekezaji wa Kampuni ya DPW katika bandari zetu zote. Tusitolewe kwenye mstari na kukubali Kujadili Udini. Naomba nitumie muda huu kuwakumbusha Watanzania na watu wengine Duniani kuwa ni jukumu la Muislam kujenga...
  13. Prof Kitila unataka Jeshi lipindue nchi ndio tujue kuwa Mkataba wa Dp world ni mbovu?

    Impliedly
  14. Makabila haya, yanaweza kuwa na makando kando mengine lakini suala la uchawi ni nadra kwao

    MUHIMU: Hakuna kabila lisilo na Tambiko, HAKUNA !! matambiko mpaka leo hii hufanywa na kila kabila na sanasana ni zile koo za kichifu lakini bado ni tofauti kabisa na uchawi huu tunaozungumzia hapa wa kurogana, kutupiana majini, malimbwata, kuwanga usiku, n.k. Uchawi umekuwa ukisumbua jamii...
  15. Habari ya Kenya na waarabu sio justification

    Rais wa Kenya, William Ruto leo Jumamosi ametangaza kuwa amefanya mazungumzo Ikulu ya Nairobi na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Sheikh Shakhboot bin Nahyan Al Nahyan, kujadili fursa za uwekezaji nchini humo.
  16. Katiba mbovu, sheria mbovu, mikataba mibovu. Leo tumetozwa zaidi ya Tsh. Bilioni 260. Kufanywa kichwa cha Mwendawazimu hadi lini?

    Wanabodi, Hizi kelele za wanasheria manguli wabobezi na wabobevu kuhusu hii IGA ya DPW na Bandari zetu, sio za kuzipuuzia!. Katiba hii mbovu tuliyonayo!, Sheria zetu mbovu tuliyonayo, mikataba mibovu ya kimataifa tunayoingia, mwisho wa siku tunajikuta tumepigwa!, tunafunguliwa mashitaka...
  17. USM ALGER almanisura ishuke Daraja kama Malumo Giant. Kweli yanga ilicheza na timu mbovu ndio maana ilifungwa na Simba 2 -0

    Kombe la shirikisho limetawaliwa na Timu mbovu. Almanusura BINGWA wa Looser Ashuke Daraja kwenye League KUU hoko Algeria.
  18. Morogoro: Zima moto waenda kuzima moto kwa mikono gari zote mbovu

    Kikosi cha Zimamoto mkoani Morogoro leo kimeenda kuzima moto kwa ndoo na mikono ikielezwa gari zao zote ni mbovu. Moto huo umeua mzee mmoja aliyeshindwa kujiokoa. Ikumbukwe, pesa za kina Profesa Zembelwa, Dk Kitenge na Mwanasheria nguli wa sheria za MIKATABA ndugu Hando zipo ila za kuwezesha...
  19. Yanga SC bwana yaani Beki huyu Mbovu Gift Fred wa Uganda ni wa Kumsajili kwa Tsh Milioni 115 Kweli?

    Yaani ni Free Agent baada ya Mkataba wake Kuisha huko SC Villa na aliyekuwa Kocha Wenu Micho Kawadanganyeni mumchukue mmeingia Mkenge kweli na Kumsajili. Uganda ni my Second Home na nina Rafiki zangu wengi sana huko na kila ninayemuulizia kuhusu Uwezo wa huyu Mchezaji jibu la haraka ninalopewa...
  20. T

    SoC03 Mawasiliano ya viongozi yawekwe wazi kurahisisha utoaji wa taarifa, uovu kutoka kwa wananchi

    Mawasiliano njia ya kupashana habari, kufikishiana jumbe na taarifa kati mtu na mtu au mtu na shirika, mwananchi na kiongozi/viongozi, mashirika kwa mashirika au viongozi kwa viongozi. Kukuwa kwa teknolojia kumerahisisha mawasiliano kufanyika kwa haraka hasa pale njia ya ana kwa ana inapokuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…