Hi
Tabia mbovu mtu unaona watu wanacheka vizuri kisa wewe mlipishana kauli una amua kwenda kupandikiza chuki achukiwe sawa atachukiwa baada ya hapo? Acha kwenda pm kwa watu kuongea umbea ili achukiwe mambo kama hayakuhusu achana nayo kabisa
Mateso yanaendelea kwa sisi wana Msimbazi. Mpira unaochezwa na hii Simba U-20 ni kichefuchefu. Benchi la ufundi la timu hii pia liangaliwe. Timu ni Mbovu sana. Haijui kila kitu uwanjani. Wanarukaruka tu.
Salam ziwafikie
Hili basi lilipoanza huduma ya Luxury mara ya kwanza lilikuwa vizuri ila kadri siku zilivyoenda huduma zimegeuka kuwa za hovyo sijui tatizo ni nini, Usimamizi mbovu no customer care at all imagine na hii ni Luxury na imeidhinishwa kama gari la level ya Luxury na wanatambulika LATRA kama Luxury...
Nishaandika Nyuzi nyingi sana kuhusu Hawa Wanawake, nyuzi zangu nyingi kuwahusu Wanawake nimezielekeza kupitia kucheza na "Ubongo wa Wanawake ".
Ukijua hii Sanaa ya kucheza na Ubongo wao ,hawatakusumbua !!
Sasa Leo nazungumzia na nyie wanaume wenzangu ambao inawezekana, Umechoshwa na tabia...
Shirikisho la Watumiji Huduma la Kenya (COFEK) limetangaza kuchukua uamuzi baada ya kupokea malalamiko ya mashabiki walioonesha kutoridhishwa na kiwango cha tamasha hilo linalotajwa kukumbwa na hali ya mvua pamoja na sauti mbovu ya muziki.
Baadhi ya Mashabiki wametaka kuombwa radhi na waandaaji...
Baada ya kutazama mchezo wa fainali baina ya Wydad AC ambao walikuwa nyumbani dhidi ya Al ahly, Nimesikitika na kushangaa sana kwanini mpaka sasa Tanzania hatuna kombe la Afrika.Hawa Wydad kwa mpira waliocheza najaribu kufikiria endapo wangekutana hata na USM Algers hakika wangechezea nyingi...
Usiku wa leo ni fainali ya uefa champions league kati ya manchester city dhidi ya inter milan kuanzia milango ya saa 4:00 usiku
Ninapata mashaka pengine leo tunaweza kushuhudia fainali mbovu zaidi katika historia kwasababu mbalimbali.
Mosi, man city wapo katika fomu ya hatari sana anatoa dozi...
Picha: Nape Nnauye
Habarini JF GT!
Jana wakati Membe akirudishiwa kadi ya CCM, Mbunge wa Mtama na Wazari wa Habari nchini aliongea kauli mbaya Sana Na Yenye kufedhehesha kwa Marehemu.
Kwa tamaduni za kitanzia Sio sawa kumsema Marehemu, na hata Ukitaka kumsema Marehemu utamsema kwa Mazuri...
Habari,
Hata kama wanasema love is blind lakini hapa bro nahisi sio akili yake kwa ninavyomjua mimi nahisi kabisa ni juju limetumika hata Bi mkubwa nae alivyotambulishwa niliona kabisa hajaridhika sababu Bi Mkubwa ni mtu wa kiroho sana hata sister nae hivyo hivyo wanasema hawaendani lakini bro...
Mimi Huwa nikiwaambia, tuna Rais Kazi yake ni KUSAINI TU muwe mnanielewa, yaan tuna Rais akiletewa makaratasi hajishughulishi kwenda Ndani zaidi, ajiridhishe Kisha atoe ruksa.
Ebwana eeh Leo katika Kupitia majina ya UDED japo nione jina langu, kijana Mzalendo kama Mimi, nikakutana na hili jina...
Wakuu,
Nilijiunga kifurushi cha Airtel cha Uniofa ambacho unapata dakika 40, sms 10 na mb 350 kwa muda wa siku 7. Kilichonishangaza leo asbh nilipoangalia salio, ikaonyesha kifurushi changu zile dakika 40 na sms zinaisha tar 04 June. Lkn zile mb zinaisha leo tarehe 31 May saa 2 asbh...
Hii tume ya marekebisho ya mitaala ya elimu ukitazama mapendekezo yao ni wazi hawana uwezo wa kukwamua elimu ya Tanzania. ukitazama mapendekezo unaona kabisa ni watu ambao kwanza hawana taarifa kama elimu yetu ni mbovu, yawezekana ni watu walewale waliokuwa wakifundisha wakati hawajui kama...
Tafadhali kama huyo Mchezaji wako Nassoro Kapama kakupa Pesa ili Umfagilie na asiachwe na Simba SC acha mara moja au anzisha Timu yako ya Mpira wa Miguu kisha Msajili katika Timy yako akufanyie Kazi sawa?
Tena GENTAMYCINE nikuchane Mubashara hapa hapa JamiiForums kuwa kama kuna mchezaji mbovu...
Ni ajabu na kweli ya kwamba kuna mashabiki, viongozi na wanachama wa klabu moja hapa nchini wamefanya sherehe ya kufurahia baada ya Yanga kupoteza mchezo wa mkondo wa kwanza wa fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya USMA Alger ya Algeria.
Watu hao ambao chuki na wivu wa maendeleo...
I. Utangulizi
Elimu ni nguzo muhimu katika maendeleo ya taifa lolote, na taasisi za juu za elimu zina jukumu kubwa katika kutoa elimu bora na kuandaa wahitimu wenye ujuzi na uwezo wa kuchangia katika maendeleo ya nchi. Hata hivyo, nchini Tanzania, mbali na mtaala mbovu unaohitaji kuboreshwa...
Leo asubuhi nimeenda pale mliman city kusolve mambo yangu ya kibenki,nlichokutana nacho ni balaa.Kwanza wahudumu ni wachache sana hawakidhi mahitaji ukiangalia huu ni mwisho wa mwezi watu wamepokea mishahara yao.
Kingine hata viti tu vya kukalia pale kwa wateja wanaosubr customer care ni...
Hawa Mwakarobo x 4, aka Kilo moja ni katimu kamoja kadogo, na kanachojifanya ni katimu ka kimataifa.
Hii Timu ya Simba inatumia kivuli Cha Robo fainali nne kujiita wao wakubwa, kiuhalisia Simba imefuzu au kupita hatua za Makundi mara nne , wakati mwingine ikiwa ya pili au ya kwanza na kuishia...
Habari wakuu.
Ninauza Gari yangu Nissan Tilda Namba C.
Engine: cc1490
Gari haitembei Ina changamoto zifuatazo
- Badhi za sensa zimekifa nilimwita fundi akatazama na kubadili sensa, gari iliwaka vizuri na kutembea. Sikuwa na fedha ya kulipia hizo sensa hivyo fundi akarudishia zile Mbovu, jumla...
Kwanza, ninapenda kutoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, washikaji na wanaJF walioguswa na kifo cha William Malecella. Mungu awape faraja katika kipindi hichi kigumu cha majonzi.
Sasa, twende moja kwa moia kwenye mada, kupitia mada hii, bila kuficha wala kumumunya maneno, William...
Heshima kwenu wakuu.
Leo nimeona tuzungumzie kuhusu baadhi ya watoa huduma kwa wateja kutoka kwenye makampuni/biashara mbali mbali wanavyosababisha kero kubwa kwa wateja wao kutokana na uwajibikaji wao mbovu kabisa! Niliwahi kusikia malalmiko mengi sana kutoka kwa watu tofauti kuhusu kupewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.