mbovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Tuachane na matokeo, Camera za CAF Champions League mbona ni mbovu kiasi hiki?

    Kwa mlioangalia mechi za Simba na Yanga kwenye Champions league mliona jinsi picha za mchezo ule zilivyokuwa za hovyo, mara nyingi mpira ulikuwa hauonekani. Yaani hata Camera za Azam kwenye mechi za kwa Mkapa zinakuwa na quality kuliko za CAF. Utafikiri wanatumia camera za simu za Tecno
  2. Deogratias Mutungi

    Ajali za barabarani ni matokeo ya nidhamu mbovu ya madereva

    Nianze kwa kutoa salaam na heri za mwaka mpya kwa jamii ya wanajamii forum wote. Baada ya Salaam nirejee kwenye mada husika, Kwa siku za hivi karibuni ajali za barabarani zimekuwa tatizo na kichwa cha mwendawazimu, tumepoteza ndugu, Jamaa na marafiki kwa sababu ya ajali ambazo pengine...
  3. Idugunde

    Bashe umefeli juu ya suala la chakula

    Acha porojo mbovu. Kama mnakusanya tani laki tano ya vyakula mbona mfumuko wa bei za vyakula upo juu? ==== Waziri wa kilimo Mhe.Hussein Bashe amesema uwezo wa kuhifadhi chakula umeongezeka kutoka tani laki 200,000 mpaka laki 500,000 hivyo wakati wa msimu wa kuvuna watanunua mahindi na mpunga...
  4. S

    Watanzania bado tuna akili mbovu ya kuona uteuzi ni kuula na sio kutumikia taifa, huku tukibariki ufisadi

    Nimewahi kulizungumzia hili, na nitalizungumza tena. Watanzania bado tuna akili mbovu sana ya kuuona uteuzi kama fursa ya "kuula" au kufaidika kibinafsi. Tunalaumu ufisadi, huku mtu anaefanya kazi TRA asiponunua gari miaka miwili baada ya kuanza kazi tunamwona mjinga! Ni wazi kwamba kama jumuia...
  5. The Burning Spear

    DAR Performance ya shule nyingi ni Mbovu kupindukia

    DAR kuna Tatizo Mahali. Katika mkoa ambao wanafunzi wame fail Zaidí ni DAR. Kwa sasa DAR Siyo sehemu salama Kwa elimu ya mtoto. Pamoja na facilities kibao lakini performance ni Mbovu sana kupita mikoa yote. Huenda Tatizo la malezi, strarehe na mazingira ya shule ni Tatizo kubwa. Ni aibu jiji...
  6. Trab na Trat

    Vodacom Tanzania ni kielelezo cha huduma mbovu za mawasiliano

    Hawa watu hawajali kabisa wateja wao hasa wanaoishi kwenye maeneo ya kipato cha chini. Kuanzia Jumamosi Jioni, huduma za internet zilishuka ghafla katika eneo la Chigongwe - Halmashauri ya Dodoma Jiji. Mpaka hivi leo huduma za internet zinasua sua na taarifa wanazo ila wameamua kupuuza...
  7. BigTall

    Kabla ya kupandisha nauli ya Mwendokasi, DART zingatieni uchafu na huduma mbovu vituo vya Mwendokasi

    Mkiwa mbioni kupandisha nauli,uchafu umekithiri vituoni kwenu hapo ni Kimara na huduma imezorota madirishani kwa cashiers kila muda kujifanya hawana change #badilikeni
  8. Analogia Malenga

    Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

    Huyu ni Muhudumu wa Afya Tabora na Mtaalamu wa Maabara. Washkakaji wanaonekana wanajua wanachokifanya ila mtumishi anajibu full jeuri. Mamlaka ziangalie jambo hili
  9. Dj Aiman

    Kuna ukweli juu ya kauli kuwa nchi nyingi za Kiafrika haziendelei kutokana na kuridhishwa na mfumo mbovu wa elimu?

    Kabla ya ujio wa Wazungu barani Afrika,Waafrika walikua na mfumo wao wa elimu kwa vitendo kulingana na mazingira. Elimu kama ya Uvuvi,madawa,kilimo,ufugaji,maadili zilikua zikitolewa na uchumi ulikua ukikua kwa kasi. Ujio wa Wazungu barani Afrika ukasababisha ukoloni na baada ya miaka ya...
  10. Analyse

    Kukosekana kwa ushindani kunafanya tuwe na huduma nyingi mbovu

    Kwa muda mrefu nimekuwa najiuliza maswali kadhaa, ambayo mengi sikuwahi kuyapitia majibu. Kwa mtazamo wangu, nadhani kukosekana kwa ushindani kwenye sekta kadhaa, kunafanya hata upatikanaji wa huduma hasa za kijamii ziwe mbovu/hafifu. Ushindani ni nyenzo kuu linapokuja swala la huduma bora...
  11. Naanto Mushi

    Mimi ni mmojawapo wa wanaune wenye shoo mbovu na wala siogopi chochote. Bado najiamini sana

    Huo ndo ukweli jamani ambao natamani kuusema... Nahisi mimi ntakuwa ni kati ya wale watanzania ambao tunashika mkia kwenye suala zima la kupiga show. Niseme tu ukweli mimi ni mbovu sana, tena sanaa.. Sitaki kusema ni mbovu kiasi gani.. Ila nahisi ntakuwa nashika mkia. Ila kizuri ni kwamba...
  12. sanalii

    Wasambaa ni moja ya watu wenye lafudhi mbovu zaidi Tanzania

    Wako kienyeji enyeji sana, kile Kiswahili mnachokisikia cha watu wa Tanga, ni Wabondei na w Wadigo, Wasamba hamna kitu
  13. Roving Journalist

    Miaka 61 ya uhuru, Je Mabadiliko ya tabianchi bado ni kichaka cha huduma mbovu za maji nchini?

    Kutokana na tatizo la Upatikanaji wa huduma Bora za Maji safi Nchini baadhi ya Wadau wamekuwa na mawazo tofauti. Kwa haya na mengine mengi, ungana nasi katika Mjadala unaoendelea kwenye mtandao wa Twitter. Bonyeza kwenye Kiunganishi hiki kushiriki mjadala: >>> JF SPACES Baadhi ya hoja...
  14. Nazjaz

    Wanawake huwa hatuna shoo mbovu

    Sisi wanawake tuko werevu kuliko wanaume. Mwanamke akiwa na lake jambo, lazima litimie kwa gharama na njia yoyote. Halali au haramu. Mwanamke akiwa mchawi anakuwa mchawi wa kutisha. Mwanamke akishaamua ashike mtutu wa bunduki asonge mbele, hakuna cha kumzuia. Mwanamke akiamua kuuza "Papa"...
  15. Mwamuzi wa Tanzania

    Serikali ijiuzulu kwa kushindwa kutumia rasilimali asilia za nchi hii

    Habari wananchi wenzangu! Serikali ijiuzulu kwa kushindwa kutumia rasilimali mito, maziwa na bahari kukimesha tatizo la upatikanaji wa maji kwa wananchi. Dar es salaam sehemu zenye miundombinu ya maji safi na salama ni chache tena hizo sehemu chache sasa hawapati kabisa. Huku Chanika hakuna...
  16. NetMaster

    kuna watu wana tabia zinakera bila wao kuzijua, ukiwapa ushauri wanakuona umewadhihaki, njia zipi za kidiplomasia zinafaa kuwaokoa bila kuzaa uadui ?

    sizungumzii wale waliokaza mafuvu wanafanya tabia kwa kujielewa na walishakataa ushauri, hapa ni wale ambao tabia wanazofanya zinakera wengine ila hawana hatia kamili kwenye tabia zao aidha wao hawajui kwamba wanachofanya ni tabia mbaya, wameishi na watu au sehem flan kwa mda mrefu iliyowafanya...
  17. P

    Saa mbovu Chalamila wakati mwingine inapatia majira

    Hotuba za mkuu wa Mkoa wa Kagera zinajaa aina fulani ya ucheshi na ni wa kipekee. Huwa ni wa kwake mwenyewe haufanani na wa mwanasiasa mwingine yoyote. Maongezi yake yanafikirisha lakini yanawekwa hadharani kwa njia ya kuchekesha. Wapo wanaodhani kuwa ameupata ukuu wa Mkoa kama bahati tu, kama...
  18. BARD AI

    Tanga: Mkuu wa Mkoa awasimamisha kazi watumishi 4 Halmashauri ya Muheza, ubadhirifu na utendaji mbovu vyatajwa

    Waliosimamishwa ni Ramadhani Mtingi (Idara ya ujenzi), Zainabu Mzindakaya (Mweka Hazina wa Halmashauri), Furaha Sarakikya (Idara ya Manunuzi) na Serapion Basgange (Afisa Elimu Sekondari). Mkuu wa Mkoa Omary Mgumba amewatuhumu watumishi hao kutumia vibaya Fedha za Serikali na Usimamizi Mbovu wa...
  19. Allen Kilewella

    Kila Rais toka CCM humuachia mwingine Serikali mbovu?

    Mbali ya kwamba ni tabia ya wana CCM kuwatukuza viongozi wa chama chao au wale wanaoongoza Serikali kutokea kwenye chama hicho, lakini imekuwa ni kawaida ya Marais ama wasaidizi/wapambe wao toka chama hicho, kuongea maneno kuashiria kwamba Rais aliyetangulia amemuachia mzigo mzito wa kurekebisha...
  20. chiembe

    Wakati Jenerali Ulimwengu akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Wilaya ilikuwa chafu sana, dampo Kila mahali, barabara mbovu na uhalifu mwingi

    Nakumbuka wakati Jenerali akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Wilaya hii iliongoza kwa uchafu Tanzania nzima, malundo ya taka, madampo, barabara chafu, zenye mashimo, usimamizi wa hovyo kabisa wa shughuli za umma na ufisadi ulitamalaki. Katika utawala wake, hakuna mradi wowote wa maendeleo...
Back
Top Bottom