mbowe

  1. USSR

    Tundu lisu akarudia makosa ya Freeman Mbowe

    Taarifa za kuaminika toka ndani ya CC ya Chadema zinadai kwamba miongoni mwa majina yalikua shortlisted kwa ajili ya Kurugenzi ya Habari ni pamoja na; 1. Gervas Lyenda 2. Liberatus Mwang’ombe Na kwamba Terms of Reference (ToRs) zilikua pamoja na mambo mengine Candidate wa nafasi hiyo ya...
  2. Mganguzi

    Ikiwa Leo freeman mbowe ataanzisha chama kipya Cha siasa maelfu ya wanachadema wataungana nae na huo utakuwa mwisho wa chadema

    Kauli zinazoendelea kutolewa na viongozi wa chadema waliopo madarakani kwa sasa ni kana kwamba waligombea ili kumkomoa freeman mbowe kisiasa ,waliingia kwenye kinyang'anyiro kwa visasi na si kwenda kuongoza ! Kauli za kudhalilisha zinaendelea kutolewa mpaka sasa ! Na viongozi wapya hawana wisdom...
  3. chiembe

    Kiatu cha Mbowe ni kikubwa kwa Lissu? "No refom, No election" fupa gumu kwa Lissu, aanza kujitoa na kusema liliamuliwa na uongozi uliopita wa chadema

    Nimesikia hotuba ya Lissu katika sherehe za siku ya wanawake duniani iliyoandaliwa na BAWACHA. Hotuba hiyo ilidhihirisha kwamba hakuna mpango kazi wowote wa "no reform no election". Tundu Lissu alionekana kujivua lawama kuhusu kauli hiyo na kusema iliasisiwa na uongozi uliotangulia. Kwa...
  4. The Watchman

    Peter Msigwa: Nilijua Mbowe hatashinda uenyekiti CHADEMA

    Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa amesema alishiriki wazi kumpinga Freeman Mbowe wakati akiwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, akisisitiza kuwa hakufaa kuendelea kuongoza chama hicho. Akizungumza katika mahojiano na kituo cha redio cha...
  5. technically

    Tetesi: Mbowe kutimuka CHADEMA

    Nimezidaka ili kuendelea kula pesa za Abdul mbowe ataondoka chadema na kwenda kwenye tawi moja la chama chakavu ili avute pesa ya mama Abdul. Unaambiwa kapangwa ili kupewa wabunge kadhaa ili awe mwenyekiti wa kambi ya upinzani bungeni Soon movie zinaanza wacha maji yajitenge na mafuta...
  6. M

    Hii CHADEMA ya Dkt Slaa pale, huku Tundu Lissu kule Freeman Mbowe pale John Heche na John Mnyika katikati Godbless Lemma CCM kwisha kabisa

    Kama Kuna mziki CCM itapitia tangu kuanza kwa vyama vingi basi ni huu wa CHADEMA ya sasa. Najaribu kufikiria kama watakuwa na chopa tatu na wakawa na root tatu zitakazoongozwa na Dkt Slaa, Lissu, Mbowe na Heche naamini hii No reform No Election itakuwa ni kama kusukuma mlevi.
  7. R

    Kesi ya Mbowe vs Msigwa imefikia wapi?

    Kesi ya defarmation ya Mbowe vs Msigwa iliishaje?/imefikia wapi? Mwenye taarifa atujuze Mbowe amgeuzia kibao Msigwa, ataka amlipe fidia bil. 5/- madai kumkashfu By Grace Gurisha , Nipashe Published at 07:46 AM Sep 07 2024
  8. Idugunde

    Pre GE2025 No reform no election Kauli mbiu inayothibitisha kuwa Chadema ya Mbowe sio sawa na Chairman Lissu. Lissu yupo kwa maslahi ya taifa

    Haina ubishi. Mfumo wa uchaguzi wa Tanzania upo kwa ajili ya kuhakikisha CCM inabaki madarakani. Hata Anthony Diallo aliyewahi kuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza alishathibitisha. Nape ndio aliweka wazi kabisa. Sasa kwa nini mabadiliko yasifanyike ili tupate Chama ambacho kitawakomboa...
  9. Waufukweni

    Pre GE2025 Esther Bulaya: Nilishangaa watu kusema Mbowe anang'ang'ania Madaraka, huwezi kumzuia yeyote asigombee

    Mbunge wa Viti Maalum Esther Bulaya akizungumza siku ya Jumatatu Februari 24, 2025 kupitia kipindi cha Power Breakfast cha kituo cha habari cha Clouds FM. "Uchaguzi ni demokrasia, kachukua fomu Tundu Lissu (Mwenyekiti wa CHADEMA taifa), kachukua fomu Freeman Mbowe (Aliyekuwa Mwenyekiti CHADEMA...
  10. Stuxnet

    Pre GE2025 Mwezi mmoja baada ya uchaguzi, Mbowe yuko kimya lakini CHADEMA wanakanyagana

    Baada ya kushindwa uchaguzi Freeman Mbowe hajaongea lolote. Akina Lissu na timu yake walitumia nguvu nyingi kumbomoa ili washinde uchaguzi kwa hila. Kumbe walikuwa hawana mkakati wa kukiongoza chama. Sasa wanakanyagana kumtukana Mwenyekiti mstaafu...
  11. M

    Kumekucha ,Barua ya Mzee Mbowe yatua kwa msajili wa vyama

    Ofisi ya msajili wa Vyma vya siasa ,imesema barua ya malalamiko kubusu uteuzi wa viongozi watendaji wa juu na wajumbe wa kamati kuu ya CDM iliyowasilishwa katika ofisi na kama wa chama hicho,imewafikia. Ikumbukwe kwamba aliewasilisha barua ni CHAWA wa mzee Mbowe ambae anaitwa MCHOME.
  12. Kinjekitile Jr

    Lissu nakusihi tena kwa Mara nyingine fukuza hawa Wapambe wa Mbowe na CCM,Usiwe na akili za Magufuli

    Ni majuzi tu hapa nilitoa angalizo kuhusu hawa Mabwana waliojifanya ni Wana CHADEMA kwa muda mrefu kumbe ni mapindikizi ya CCM ndani ya CHADEMA Nahisi kwa hali inayo endelea hawa vibaraka wanapswa kufukuzwa Uanachama wawe wanapenda au hawapendi Kuna hawa watu wakiendelea kuwa ndani ya chama...
  13. M

    Pre GE2025 Team Mbowe wajidhatiti kumkwamisha LISSU, wapinga uteuzi wa Wajumbe watano wa kamati kuu aloufanya Lissu, waandika Barua kwa msajili wa Vyama

    Katika kile kinachoonekana kuendelea kwa mivutano ya makundi ndani ya Chadema, kada mmoja wa chama hicho, amepinga uteuzi wa viongozi watendaji wa juu wa sekretarieti na wajumbe wa kamati kuu ya chama hicho uliofanywa na Mwenyekiti Tundu Lissu Januari 22, 2025, akidai umekiuka katiba ya chama...
  14. sinza pazuri

    Lissu na Heche achaneni na sherehe za kumtoa Mbowe madarakani. Mjue mpaka leo Soka hajapatikana nyie mnafanya tafrija

    Tunaona bado mpo mnasherekea kumtoa Mbowe madarakani. Heche kachinja ng'ombe 20 na kapikiq wakurya sefuria 68 za ubwabwa. Lissu alifanya kufuru Ikungi watu wamekunywa komoni, wameitwa watambikaji kumzindika asiguswe kwenye kiti cha chairman, ni mwendo wa sherehe back to back za kumng'oa...
  15. G Sam

    Hawa vijana ambao walikuwa "Team Mbowe" kwa kweli wanahuzunisha

    Nawazungumzia watu kama Godlisten Malisa ambaye ajira yake ya kwanza aliipata ndani ya ofisi ya KUB baada ya Chadema kushinda kura nyingi na kuwa chama kikuu cha upinzani kwa mara ya kwanza. Anasahau kuwa fadhila hazikutoka kwa Mbowe bali zilitoka kwetu sisi tulioipigia kura Chadema na...
  16. Mikopo Consultant

    Kwa ujio wa Tundu Lissu, CCM na Samia itafika mahali wajutie kushindwa kwao kutekeleza maridhiano na Mbowe

    Siasa ni mazungumzo kati ya pande mbili zenye mirengo inayokinzana, kwa lengo la kutafuta masuala kadhaa ya kuwaunganisha pamoja na hivyo kutatua migogoro. Tanzania hakuna vikundi vya watu wanaobeba silaha (waasi) kukabiliana na serikali, bali kuna vyama vya kisiasa. Hii maana yake ni kwamba...
  17. M

    CHADEMA HII YA LISSU NI NYEPESI SANA KWA CCM KULIKO HATA YA MBOWE

    Angalikuwa mwenyekiti Mbowe Muda kama huu tungalikuwa tunaona bony yai akiichangamsha maada zakd za utekaji ktk X. Hata mdude angalikuwa yupo active muda huu, lkn hivi sasa mada zake zinamtetea Dr slaa tu hivi sasa wengi wa vijana wa cdm muda wote wanamsifia mwenyekiti wao tu badala ya kuja...
  18. Subira the princess

    Mbowe waombe radhi wana CHADEMA, bado wana makovu moyoni

    Wasalaam. Ni kawaida katka nchi yoyote ile duniani kuwa na majasusi wa kufanikisha mikakati na malengo ya nchi husika. Halikadhalika katika vyama vya siasa vyenye malengo ya kushika dola kuna majasusi kuhakikisha malengo yanatimia. Inasikitisha kwa miaka 20 mh mbowe amekua jasusi wa ccm ndani...
  19. Rula ya Mafisadi

    Ezekiah Wenje ana sifa zote za kuendelea kuwa Mwanachama wa CHADEMA, akifukuzwa na Mbowe afukuzwe

    Si Lissu, Heche Wala Mbowe wote walipata baadhi ya fedha zao toka kwa wadau mbalimbali ikiwemo Viongozi wa CCM, Hivyo Wenje pia alipata ufadhili hivyo hivyo kwa hiyo kama ni kosa wengi wametenda kosa hilo hivyo asamehewe na kazi iendelee Mambo ya Uchaguzi yaachwe hivyo hivyo na yabaki kuwa ni...
  20. T

    Pre GE2025 Wakili Mwabukusi aeleza kuwa Tanganyika Lawyers' Society (TLS) hawajalamba asali

    Wakati akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya sheria nchini rais wa chama cha wanasheria Tanganyika Boniface Mwabukusi amesema kuwa; "Tunaposhirikiana na Serikali hatulambi asali, tunapata changamoto watu wanapoona tunashirikiana na serikali wanafikiri tunalamba asali. TLS siyo kikundi cha...
Back
Top Bottom