mbowe

  1. Mindyou

    Pre GE2025 John Heche aliahidi kuwashughulikia team Mbowe kwa sababu hawakuwaunga mkono

    Salaama wakuu Katika pitapita zangu huko katika mtandao wa TikTok nimekutana na hii video ya Heche akisema watawashughulikia team Mbowe kwa sababu hawakuwaunga mkono. JamiiCheck naomba kupata uhalisia wa video hii kama ni ya kweli
  2. M

    Pre GE2025 Lissu ana hali ngumu kuliko hata mbowe

    1. Aliahidi hata kuwa legelege kama Mbowe 2. Alisema mbowe hakubaliki na watz hasa chadema, yeye ndie anakubalika, kwa hivyo akiitisha maandamano hatakaa mtu ndani chadema wote watatoka barabarani. 3. Hatakubali kufanya maridhiano na ccm bali ni mwendo wa ninja nginja Naona hili dogo la Dr...
  3. M

    Pre GE2025 Tundu Lissu amteua John Mnyika kuwa Katibu Mkuu. Ateua Manaibu Katibu Wakuu na Wajumbe wa Kamati Kuu

    Mwenyekiti Mpya wa CHADEMA, Tundu Lissu akiwa kwenye Mkutano wa Baraza Kuu la Chama ambalo limekutana leo Jumatano, Januari 22, 2025 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, ameanza kupanga safu yake ya uongozi kwa Kuteua Katibu Mkuu, Manaibu Katibu Wakuu pamoja na wajumbe wa Kamati...
  4. R

    Lissu, Leo Dkt. Slaa ni rafiki yako, unakuwa mwepesi wa kusahau au ni unafiki kwa vile alikuunga mkono dhidi ya Mbowe? Jikumbushe kidogo

    Unakumbuka kauli hii ya Slaa alipokuwa mpambe wa Magufuli? - Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida https://www.youtube.com/watch?v=ajFGQ0wQdOk
  5. Allen Kilewella

    Mbowe na Lissu watafanyakazi pamoja dhidi ya CCM

    Jana Mwenyekiti Mpya wa CHADEMA Tundu Lissu, alikwenda kwa mara ya kwanza makao Makuu ya CHADEMA kama Mwenyekiti wa chama hicho. Lakini tangu ashinde nafasi hiyo mambo mengi yamesemwa dhidi yake na pande mbili zilizokuwa kinyume chake. Upande wa kwanza ni watu wa CCM. Na ingekuwa ajabu kama...
  6. M

    Kwanini Lissu alikuwa na wagombea wake uchaguzi CHADEMA? Huu ndio ubaguzi aliompinga Mbowe?

    Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa BAWACHA. Kama unataka na wewe, au mwanamke mwenzako anayefaa nae apate fursa za uongozi bungeni au kwenye udiwani miaka ijayo, nakushauri upige kura ya mabadiliko kwenye Uchaguzi wa BAWACHA kesho na Uchaguzi Mkuu wa chama tarehe 21 Januari. Ni kura ya mabadiliko pekee...
  7. A

    Pre GE2025 Mbowe siyo mwanademokrasia, kwanini amesusa kuwakabidhi ofisi Lissu na Heche?

    Katika hali ya kushangaza, Mbowe hajatokea kabisa leo Katika tukio la kitaifa la kumkabidhi ofisi Lissu. Kwa hali ilivyo ni kama uongozi uliopita umekomba kila shumuni kutoka kwenye akaunti ya chama kabla ya kubwaga manyanga. Mbowe siyo mwanademokrasia kabisa, mnaomsifu mnampaka mafuta kwa...
  8. D

    Ingetokea mbowe angeshinda hivi ndivyo machawa wa mbowe walijipanga kutusimanga, Tungesimangwa tuchakae

    Ujue unafiki tuweke pembeni! Adui akikosa na wewe kama una mmudu malizana nae Laiti mbowe angeshinda wale watoto walikuwa wameandaa masimango makubwa hatari! Haya ni machache tu! 1. Wafuasi wa lissu tuliwaambia kura ni ujasusi wa namba mbowe ni alpha na omega 2. Lisu tulimuonya hakusikia...
  9. R

    Askofu Bagonza alonga ushindi wa Lissu na "ushindi" wa Mbowe: Ninaandika kupongeza. Sina pole za kutoa.

    ASKOFU wa Dayosisi ya Karagwe ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Benson Bagonza amechambua ushindi wa Tundu Lissu na kushindwa kwa Freeman Mbowe kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Juzi Kamati ya Uchaguzi wa CHADEMA ilimtangaza...
  10. The Watchman

    SI KWELI Mbowe asema baada ya kushauriana na familia yake, atawasilisha rufaa yake makao makuu ya CHADEMA

    Wakuu salama? Nimekutana na hii kwamba Mbowe ameshauriana na familia yake na ameahidi kukata rufaa, je ina ukweli wowote hii?
  11. M

    Msigwa ataongea nini baada ya Mbowe kuondoka CHADEMA na kuingia Lissu aliyekuwa anamsifu?

    Huyu mfa maji aliwekeza siasa zake katika kumshambulia Mbowe binafsi kupunguza maumivu yake badala ya kunadi sera za Chama chake.CCM walifurahia sana mambo hayo kiasi cha kuambatana nae katika Mikutano yao kwa ajili ya kufurahisha tu wafuasi wao kwa Matusi yake kwa Mbowe. Sasa Mbowe kaondoka...
  12. The Palm Beach

    Tujikumbushe: Majigambo ya waliojiita "wao ni wapiga kura halisi" wa Team Mbowe na eti Team Lissu ilikuwa na "wapiga kelele..."

    Huyu 👇👇jamaa anayejigamba hapa anajitambulisha kama Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Bagamoyo. Haina shaka kuwa alikuwa "Team Mbowe..." https://youtube.com/shorts/ozPk6U2P45k?si=SZQVYkHgEETLKsf0 Jamaa alikuwa anajigamba na kujitapa kweli kuwa yeye "ndiye mpiga kura halisi" na wale wa upande ule...
  13. chiembe

    Team Mbowe, sasa tuingie msituni kuhakikisha Lissu anakwama kuongoza chadema na hapati urais

    Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa. Hii Vita haijaisha mpaka iishe
  14. Judi wa Kishua

    Kamati kuu CHADEMA ina wajumbe wangapi? Wa Lissu na Wa Mbowe wangapi?

    Nimeuliza ili swali nipime utendaji kazi wa Lissu utakuwaje. Pia apart from idadi ya wajumbe wa kamati kuu ya chama. Je, kamati kuu ina nguvu gani kwenye chama? Naomba nifamishwe maana nilimsikia kwa Kikeke TAL anasema kuhusu reconciliation ameambiwa afanye hivyo na atafanya ila yeye anaamini...
  15. Boeing787-8

    Kina nani waliolia kilio cha kusaga meno baada ya Boni yai kurudi VIP room na kutoa kutoa matokeo ya kura za Mbowe

    Aisee hili jambo limenishangaza sana. Juzi Boni yai aliandika Tweeter kuwa alipoingia VIP room kutoa matokeo ya kura za nafasi ya mwenyekiti, eti baadhi ya watu waliokuwa na Mbowe VIP room, baada ya kusikia Mbowe kapigwa chini, walilia kilio cha kusaga meno. Mbowe ameongoza Kwa miaka 21, kitu...
  16. M24 Headquarters-Kigali

    Tetesi: Mbowe kupata uteuzi DC Mbozi

    Mheshimiwa anaenda Kula uteuzi DC Mbozi kupoza maumivu ya kushindwa uchaguzi
  17. F

    Lissu mtafute Mbowe haraka iwezekanavyo mjenge what called "The Tanganyika winning team"

    Lissu, Wewe ni msomi na unajua uchaguzi hakukuwa na mshindi bali ilikuwa ni pande mbili ambazo wewe ulimpita mwenzako wa 31 votes almost. Sisi tunaona ni muda sasa wa ushindi, mtafute Mbowe na timu yake mje na kitu kipya ambacho Watanganyika wanataka kukisikia ambacho mkikileta hata kiwete...
  18. R

    Tundu Lissu: CHADEMA haitakwama kwa kukosa pesa za Mbowe

    Amesema chama ni mali ya wanachama, inabidi wachange. Amesema wakae kama chama wajue huyu mtoto wanamleaje. Vema kabisa na si vema kama ulivyosema kutegemea fedha za Mbowe. LAKINI Kumbuka: 1. Hakuna wa kuchanga , linapokuja suala la kuchanga watanzania ni wagumu/watu ni wagumu generally...
  19. Waufukweni

    Pre GE2025 Mnyika ampongeza Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA

    Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amempongeza Freeman Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA
Back
Top Bottom