mbowe

  1. JamiiCheck

    SI KWELI Mbowe amuonya Lissu adai kuhusu uenyekiti asema Lissu anatunza Fedha zake Ubelgiji

  2. Mr Why

    CHADEMA haina heshima kwa viongozi wake, inataka kumwondoa Mbowe kihuni bila kujali mchango wake, Mbowe alitakiwa kustaafishwa kwa heshima kubwa

    Chama cha Chadema hakina heshima kwa viongozi wake, kinataka kumwondoa Mh Mbowe kihuni bila kujali mchango wake mkubwa ndani ya Chama hiki, Mbowe alitakiwa kustaafishwa kwa heshima kubwa Mh Mbowe amejenga Chama kwa gharama kubwa ya fedha na Wanachama kwa zaidi ya miaka 30 historia hii ni kubwa...
  3. Z

    Kama ni kweli kuwa CHADEMA bila Mbowe haiwezi kwenda, basi chama bado kina safari ndefu sana

    Kuna baadhi ya wanachama wanafikiria kuwa bila Mzee Mbowe kuwa mwenyekiti eti chama kitakufa/ kupoteza mwelekeo hiyo ni dalili kuwa Chama cha chadema bado hakijakua wala hakijafanya maandal
  4. jingalao

    Mbowe na Lissu wamekiuka katiba ya chama chao

    Hivi vikao wanavyoitisha ni kinyume na katiba ya chama chao. 6.2.1 Kutakuwa na vikao vya aina nne; (a) Vikao vikuu vya maamuzi ya kisera. Hii ni Mikutano Mikuu ya kila ngazi ya muundo wa Chama (b) Vikao vya uongozi vinavyosimamia utekelezaji wa maamuzi ya kisera ya vikao vikuu. Kamati za...
  5. Poppy Hatonn

    Mbowe anasema anatazama kampeni inakwenda vipi wakati yeye ndiye anasubiriwa ili kampeni ianze

    Sikuelewa Mbowe ana maana gani aliposema atautazama mwenendo wa kampeni kabla ya kuamua kugombea uenyekiti. Lakini sasa hivi kinachosubiriwa ni Mbowe tu aseme ameamua nini. Kwa jinsi ilivyo sasa inaweza kuleta uvunjifu wa amani. Na hapa sijui kama ndipo mahali pa kuuliza. Yule Abdul Nondo...
  6. Q

    Baada ya kuona Mbowe anapigiwa kampeni na machawa wa CCM, naona Lissu ni mgombea sahihi kwa sasa

    Sisemi Mbowe hafai la hasha bali wasiwasi wangu umekuja baada ya kuona wana CCM wengi na members humu JF wakiongozwa na chawa wao mkuu Lucas Mwashambwa, ChoiceVariable,Tlaatlaah, chiembe na wengine wakitaka Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti, nikajiuliza kuna nini. Nimegundua CCM inahofu kubwa...
  7. MamaSamia2025

    Kumtetea Mbowe ni vigumu. Igizo lake alilofanya leo lina makosa mengi sana ya kiufundi

    Aisee kumtetea huyu mmiliki wa CHADEMA ni kazi ngumu sana. Haina tofauti na kuwatetea single maza na polisi. Igizo lake alilofanya leo lina makosa mengi sana ya kiufundi kiasi kwamba wapinzani wake wamepata nafasi ya kumdhihaki. Nawatupia lawama timu yake yote kwa kushindwa kuweka jambo la leo...
  8. G Sam

    Pre GE2025 Nitaenda kwa Mbowe kumshauri aachane na mambo ya uenyekiti safari hii. Bado tunaipenda CHADEMA tusingependa kuvuka mwaka vibaya

    Nitaenda kwa Mbowe ndani ya siku mbili hizi kumshauri asifanye dhambi kutufanya wafuasi wake tukafarakana kwa kipindi hiki muhimu kuliko nyakati zozote zile. Nitamsihi kuiona mbele ya CHADEMA. Mimi nikiri wazi kuwa nimehuzunishwa sana na mambo ambayo baadhi ya wafuasi wa Mbowe ambao kiukweli...
  9. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Masaa 48 ya Mbowe kuamua hatma na uelekeo wa chadema kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Ni wazi kauli ya mbowe inayosubiriwa kwa hamu na gamu kubwa sana na wana chadema na taifa kwa ujumla, atakayoitoa mbele ya waandishi wa habari, ndani ya masaa 48 yajayo, itaamua mustakabali, uelekeo na myukano wa kisiasa wa aina ya kitofauti mno ndani ya chadema kuelekea uchaguzi wa ndani ya...
  10. econonist

    Pre GE2025 Mbowe: Nikiona chama changu kinaenda kuzamishwa, Kamanda naingia mzigoni

    Mwenyekiti anaye maliza muda wake, Freeman Mbowe amesema ya kwamba iwapo ataona chama chake Cha CHADEMA kinataka kuzamishwa basi ataingia mzigoni. Kwa maana nyingine atagombea uenyekiti wa CHADEMA. Je nani anataka kugombea uenyekiti akizamishe chama. Kwa kauli hii ya Mbowe Ina maana atagombea...
  11. Yoda

    Pre GE2025 Ni wazi CHADEMA sasa imegawanyika, kuirudisha kuwa pamoja ni Mbowe kutogombea uenyekiti tu

    Maneno aliyozungumza Lissu leo wakati anarudisha fomu ni mazito sana, anasema mtu aliyemleta Abdul kwake ampe pesa na akamwambia hata wengine wameshapewa pesa ndiye anagombea kuwa makamu mwenyekiti wa CHADEMA na anamuunga mkono Mbowe kuwa mwenyekiti! Katika hili jambo kama ni kweli ni baya...
  12. T

    Ni kwanini baada ya miaka 20 bado CHADEMA wengi wanaona Mbowe hana mbadala?

    Kipindi cha miaka 20 ni kipindi kirefu sana kwa kwa maisha ya binadamu yaani mtoto akizaliwa kufikia kipindi hicho wengine huwa wanajitegemea kabisa. Jambo hili humaanisha kwamba tuna kizazi kingine chenye mtazamo mpya kabisa wa kifikra. Sasa kwa chadema inaonekana hali ni tofauti kabisa...
  13. OKW BOBAN SUNZU

    Nasikitika kumuona Freeman Mbowe akielekea walipo Prof.Lipumba na Cheyo

    Kumbuka heshima aliyokuwa nayo Prof.Lipumba kipindi hicho CUF kikiwa Chama kikuu cha upinzani. Tazama heshima ya John Cheyo kipindi hicho akiwa ni moja ya wabunge wa upinzani wakihoji serikali. Baadae akaja Mbowe. Akajijengea heshima kubwa. Mimi na wenzangu tulikuwa tunapuuza kumsikiliza Rais...
  14. chiembe

    Kama viongozi wa mikoa yote wa chama cha chadema wamehudhuria mkutano wa Mbowe, na Lissu anazurura peke yake, uchaguzi umekwisha!

    Nimeona viongozi wote wa mikoa wa chama cha demokrasia na maendeleo wamepiga kambi kwa Mbowe wakijiapiza kumuunga mkono, naona Mbowe kafunga hesabu, uchaguzi umekwisha. Lissu anazurura peke yake tu na makaratasi mkononi
  15. Mindyou

    Pre GE2025 Freeman Mbowe: Tangu jana nimehifadhiwa ndani kama mwali. Wanaodhani mimi nimepanga mkusanyiko huu sio kweli

    Wakuu, Naona kuna nyuzi humu zilikuwa zinasema kuwa Mbowe ndio amepanga hili tukio la wanachama kumlazimisha kugombea Uenyekiti, leo Mbowe ameamua kuwajibu. Mbowe amesema kuwa hayo maturubai na viti mnavyoviona ni wanachama wake ndio wameandaa na kwamba yeye aliambiwa akae ndani
  16. Mganguzi

    Mbowe kakodi muziki ,kafunga matenti ,kajaza viti nyumbani ili wanachadema wakamuombe kugombea Tena ! Anafikirisha sana

    Mtu anayeenda kulazimishwa anaandaje mazingira ya kwenda kulazimishwa? Anakodisha muziki kabisa na kujaza viti nyumbani kwake ili watu waende kumuomba agombee kweli tumekuwa watoto kiasi hicho ?
  17. L

    Mbowe Aendelee Kung'ang'aniwa Agombee Uenyekiti.BAWACHA Kumchangia Pesa Yote ya Kuchukulia Fomu.

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Mbowe Mwamba Mwenyewe na jabali la siasa za Upinzani katika ukanda huu wa Afrika mashariki aliyejitoa kwa jasho na Damu kuijenga na kuiimarisha CHADEMA mpaka ilipofikia leo hii Ameendelea kung'ang'aniwa na wana CHADEMA ili aweze kugombea nafasi ya uenyekiti wa...
  18. S

    Hela ya Mama Abdul bila shaka inaendelea kufanya kazi, ni swala la muda tu kabla Lissu hajamlipua Mbowe

    Kwa mtazamo wangu, aliyokuwa anayasema Lissu sasa tunaanza. kuyaona wazi wazi na hivyo ni swala la muda tu kabla Lissu hamjamuumbua Mbowe.
Back
Top Bottom