Mbowe ili uendelee kuwa Greatest of all time , usigombee Cheo chochote hapo Chadema.
Taifa litakukumbuka Kwa Mambo mengi.
Linda heshima yako usikubali kudanganyika .
Umri wako
Heshima yako
Financial status
Haya mambo yote yapo vizuri Sana kwako jaribu kuruhusu akili Mpya kuiongoza Chadema...
Ulitafakari kwa makini baadhi ya sentwsi na sababu za Lissu kuamua kuachana na umakamu hoja ya msingi kaificha.
Lakini ukweli uliojificha ni hasira zake dhidi analoamini lina kiburi cha fedha za Abdul na mama yake kutaka kumpora cheo ndani ya chama. Lissu aliamini kabisa akishindana na Wenje...
Inasemekana chimbuko la yote hayo ni joto la uchaguzi wa ndani ya Chama Cha ha Demokrasia na Maendeleo Chadema, ilogawanyika, na kutokuwapo kabisa uwezekano wa wengine kushinda nafasi hiyo.
Bado haijajulikana ni zipi hasa sababu za hali hiyo ambayo inayodaiwa kuchochewa na influence na access...
Bila shaka umewahi sikia kuhusu msemo Pyrrhic Victory. Msemo huo unamaanisha ushindi uliopatikana kwa gharama kubwa kiasi kwamba umekuwa sawa na kushindwa. Miaka kama 300 kabla ya Yesu mfalme mmoja wa ufalme mdogo wa Kigiriki aliyeitwa Pyrrhus alipigana na Waroma. Alishinda vita ila alipoteza...
Nimesikiliza maelezo ya Ezekiel Wenje aliyetuhumiwa na Lissu kumpeleka Abdul kumuhonga pesa, ukiniuliza mimi naona maelezo ya Wenje yamenyooka sana kuliko tuhuma alizokuwa anarusha Lissu dhidi ya watu anaodai wamehongwa.
Swali ambalo limebaki sasa ni kwamba Lissu anafanya mambo haya kwa sababu...
Wakuu,
Akiwa anazungumza hivi karibuni kwenye mahojiano na wanahabari Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria Ezekiel Wenje alimvaa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu kwa uchonganishi na kumsingizia Freeman Mbowe kuhongwa magari mawili
Wenje amedokeza Mbowe alinunua magari...
Nimepata maono ya ajabu sana ya kimungu kuhusu Mh Mbowe.
Nimeotehswa Mbowe kavaa jezi namba 17 sijajua maana yake kwa undani lakini nimeona ni share hapa
Wakuu habari ya muda.
Kuna msemo kuwa Duniani hakuna jipya mengi yamisha fanyika ni muda tu ndio unafanya tuone mapya.
Tutakumbuka hili swala la Lissu linaendana kabisa na issue ya Seif Sharif Hamad alipokuwa CUF.Ni ukweli ambao haukipingika kuwa CUF ilikufa baada ya Seif Sharif Hamad...
CHADEMA msimchukulie Mh Mbowe kirahisi, alijitoa sana sadaka kwa kuuza mali zake nyingi ili ajenge chama, msidhani CHADEMA imefika hapa ilipo kirahisi
Tundu Lisu ni kivuruge ni mwanasiasa mzuri sana lakini tatizo lake ana mdomo mrefu sana
Kuweni na Heshima na Adabu mnapomzungumzia Mbowe
Nani...
Huo ndiwo UKWELI!
Bwana Mbowe nenda kapumzike salama kaka, ulichokifanyia Chama kwa wakati wako kinatosha na ASANTE!
Binafsi nitakukumbuka kwa namna jioni ya giza changa pale Bungeni ulivyovurugana na Profesa Kapuya kuhusu hoja ya maadili ya wanafunzi hali iliyopelekea mkafukunyuana vibaya...
Zamani Chadema ilikuwa imesheheni vichwa makini, walikuwa watu kama profesa Safari, Profesa Baregu. Hawa ndo walikuwa thinktanks na washauri wa Chama.
Leo inasikitisha chama kimebaki na wahuni kama Ntobi, kijana anayetukana matusi ya wazi viongozi wa chama. Yeye mtu mwenye thamani kwake ni...
Kwa mara hii tumepishana njiani kitofauti kabisa. Sisi miaka ya nyuma tulimhitaji Mbowe kuwa mwenyekiti wa Chadema taifa kwenye kila chaguzi na CCM walikuwa wanawahitaji zaidi wapinzani wake kwenye kinyang'anyiro hicho kuwa wenyeviti. Awamu hii hali ni tofauti kabisa.
Sisi awamu hii kama...
Huyu kiongozi chama chake Kila siku kinaongelea habari za demokrasia ila yeye hataki kutoka hapo miaka zaidi ya 20 anakula ruzuku za chama, na ndio maana Lissu kamshtukia kaamua agombee uenyekiti na hili swala nilishalizungumza humu anafanya hiki chama kama chama chake.
Wanabodi,
Kwa Tundu Lissu na Freeman Mbowe uwenyekiti wa CHADEMA ni title na umaarufu na wala hauta badilisha sana majukumu ya wote kwenye chama. Mjumbe ambaye anataka kuwa mwenyekiti na hayupo kwenye kamati kuu ya chama, anaweza kupata mabadiliko makubwa ya ushawishi na uwezo wa kutekeleza...
Lojiki ya kufikiria ya Watanzania wenzengu mara nyingine inaniacha nashindwa kuwaelewa. Sielewi kwa nini suala la Mbowe na Lissu kugombea uenyekiti liwe jambo linalotishia uhai wa Chadema.
Tukirudi nyuma, hatuwezi kusema Nyerere aliacha uongozi kwa sababu aliishiwa fikra sahihi na ghafla Mwinyi...
Mwaka 2015 wakati Lowassa anaenguliwa kugombea urais ndani ya CCM ukumbi mzima ulilipuka na kuanza kuimba 'Tunaimani na Lowassa' maana 80% ya Wenyeviti wa mikoa CCM walikuwa upande wake.
Lakini baada ya Magufuli kuteuliwa kugombea wote waliokuwa upande wa Lowassa walitangaza kuvunja kambi na...
Watu wengi tulimwamini sana Mbowe kama anaweza kuendesha chama na hana maslahi yanyoambatana na CCM lakini huu uchaguzi wa mwenyekiti wa CHADEMA umemprove wrong kuwa haaminiki.
Hebu angalia woote walikubali Lissu agombee uraisi hii ikiwa na maana anaweza kuongoza nchi yetu vyema lakini jambo...
Wasalaam
Habari za uhakika kabisa kutoka ndani ya familia ya Freeman Mbowe ni kwamba amekubali ushauri wa wanafamilia na wazee wa CHADEMA kutogombea uenyekiti wa CHADEMA na badala yake atakikabidhi chama kwa Lissu.
Habari zaidi zinasema mh Mbowe ataelekeza nguvu zake zote kuunganisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.