mbowe

  1. A

    Mbowe atoboa mtumbwi, kifuatacho?

    *MBOWE ATOBOA MTUMBWI, UTANGULIZI Hatimaye ile habari iliyosubiriwa kwa kiu kubwa, imefikia tamati leo kwa Mwenyekiti Mbowe kutanganza kugombea Uenyekiti Chadema Taifa. Hii ni baada ya Lissu kutanganza na kuchukua form siku kadhaa zilizopita. Naaam.! Vyombo vya Habari kwa siku ya leo...
  2. L

    Kama Lissu Anakubalika CHADEMA Kwanini Sasa Wafuasi Wake Wanalialia Na kupiga Mayowe Baada ya Mwamba Mbowe kutangaza Kugombea?

    Ndugu zangu Watanzania, Kweli Dunia ina maajabu yake,kweli kuna watu wana matatizo sana vichwani Mwao,kweli kuna watu hawajitambui,kweli kuna watu wana uwezo mdogo sana wa kufikiri na kupambanua mambo. inasikitisha ,kushangaza na kufikirisha sana kwa mtu mwenye akili Timamu na anayejitambua...
  3. B

    Tathmini ya ndani ya aliyosema Mbowe: Mbivu na mbichi, nani malaika, nani kizingiti!

    Huu ndiyo ukweli mchungu na ndiyo maana labda hata TBC taifa ikawepo kuuhabarisha umma: Mbowe anaashiria maridhiano yalikwama kwa sababu ya negative energy kutoka Chadema “team Lissu.” Kwa sehemu kubwa ya hotuba ya Mbowe, Samia is just a pure soul. Anasema wamenunua ofisi 1.6b kutokana na...
  4. Bams

    Wana-CHADEMA waunganishe nguvu, wampumzishe Mbowe kisha waibadilishe na kurekebisha katiba ya chama

    Kwenye hotuba yake ya kutangaza kuendelea kuutaka uongozi wa CHADEMA, alisema kuwa kuna watu wanasema Mbowe amechoka, katika kulijibu hilo, akasema kuwa yeye bado ana nguvu, ana uwezo wa kufanya mikutano hadi 8 kwa siku, na kwamba, hao wanaosema amechoka, wamwambie ni nani anaweza kufanya hivyo...
  5. econonist

    Kwanini Mbowe anatetea sana maridhiano wakati alisema tumedanganywa?

    Katika hotuba yake ya Jana, Mwenyekiti wa CHADEMA alitumia muda kutetea maridhiano na kuonesha ya kwamba Kuna mafanikio tumepata baada ya kufanya maridhiano. Kwa mfano anadai tumeweza kujenga jengo la makao makuu baada ya kupokea Ruzuku, pia amedai kuwa tumeruhysiwa kufanya siasa na kufutiwa...
  6. K

    Mbowe Miaka Mitano ni Kipi Atakifanya Kilichoshindikana Kufanywa Miaka 20?

    Mbowe kaahidi ataachia uongozi baada ya miaka mitano ifuatayo endapo atachaguliwa. Inafahamika ahadi ya kuachia uongozi alisha ifanya huko siku za nyuma; lakini kadri miaka ilivyo songa, matokeo ya uongozi wake yanazidi kufifia na kuonyesha dalili za kuwa anaifanyia kazi CCM zaidi kuliko kazi ya...
  7. R

    Pre GE2025 Mbowe umechoka katika fikra zaidi kuliko mwili

    Hellow Tanganyika!! Uliyoyasikia kuhusu wewe kuchoka Si mwili pekee, Bali Fikra za kuleta uono Mwema wa chama na Nchi chini ya uongozi wako. 1. Kupoteza kumbukumbu ni kiashiria kikuu Cha Mkt Mbowe kuchoka, Ndugu Mbowe umeshasahau kuwa Mwaka 2014 chama chako kimekuwa mstari wa mbele kudai...
  8. Rozela

    Pre GE2025 Kilichomsukuma Mbowe kugombea ni kumkomoa Tundu Lissu?

    Alitoa saa 48 eti kutafakari na kuangalia mwenendo na akiona vipi ataingia kutetea CHAMA CHAKE, elewa kutetea chama chake. Je, kwanini asingewahimiza vijana wa BAVICHA kutetea chama chao kwa kugombea nafasi hiyo endapo anaona kuna hatari? Ni lazima agombee yeye? Ikitokea ameshindwa, (NA...
  9. Mwamuzi wa Tanzania

    Ili TBC wawe mubashara lazima wajue unachokwenda kuongea. Mbowe kapewa ya kuongea na waliolipia TBC

    Television ya Taifa au Radio ya Taifa hasa Taifa hili la Tanzania halirushi kitu live bila kuwa programmed. Mbowe alishapangwa na walishakubaliana nini akaongee. Hata Masheikh na Maaskofu ili Dua zao zirushwe live lazima waonyeshe kwanza hizo dua ndio waruhusiwe. Nikiwa jeshini nilikuwa mmoja...
  10. M

    Boniface Mwabukusi kamkosea nini Mbowe?

    Boniface Mwabukusi @Mwabuk2Boniface · 1h Walio dhihaki TLS kuhusu Samia Legal Aid? Vipi leo wamesema lolote kuhusu TBC LIVE Coverage?hawawezi kusema 🤣🤣🤣 Hivi huyu jamaa anapambana na Mbowe kamfanya nini? Hivi kweli TL kaihamishia ccm lumumba badala ya kwa wanasheria wenziwe?
  11. S

    Lissu akiitisha mkutano wa waandishi wa habari kumjibu Mbowe, TBC wataurusha live?

    Hili ndio swali ninalojiuliza baada ya Mbowe leo kuongea na waandishi wa habari. Tusisahau kuwa kwa sass Lissu hana tena cha kupoteza baada ya Mbowe kutangaza kugombea na kama kuna mambo hakuyasema, basi kwa sass tutarajie kuyasikia Swali ni je, TBC watarusha live mkutano wake iwapo ataitisha...
  12. Kabende Msakila

    ACT Wazalendo chini ya Zitto Kabwe nimeamini ni chama bora kuliko CDM ya Mbowe

    * Zitto amekaa muda mfupi na kupisha mwingine bila mabishano; * Mbowe wa CDM amekaa miaka mingi na hana utayari wa kuamini kuwa wapo wengine wawezao kuongoza CDM; CCM izidi kuwafundisha CDM ustarabu ktk chaguzi
  13. El Roi

    Mbowe sawa lakini siyo man of the hour.

    Moja ya mambo ambayo huwa ni ngumu kwa mwanadamu, " ni kujua muda na nyakati sahihi kwenye kutofanya au kufanya aina Fulani ya mambo. Nyakati au muda Fulani uamua kifanyike kipi na kipi kisitendeke. Bahati mbaya binadamu wengi huwa hawajui wakati upi ( season) unafaa au haufai. Kwa kawaida...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    CCM wanataka Mbowe aendelee, ikiwa wajumbe watamchague Mbowe itamanisha CCM na wajumbe wana-share maslahi yanayofanana

    Mpo Salama kabisa! Naona Team Lisu mmekwaza, mmekata tamaa lakini pia Wanachadema ambao sio team Lisu lakini mnahitaji mabadiliko mapya na uongozi wenye mawazo na mbinu Mpya. Poleni Sana. Ndivyo siasa zilivyo. Kwa mara ya Kwanza Historia itaandikwa, kiongozi anayeongoza CHADEMA kuwavutia CCM...
  15. Ezra cypher

    KIROHO, Mbowe sio mwenyekiti hata akishinda hivyo kama yupo na Baba wake wa kiroho amsaidie kumpatia haya mafunuo.

    Kikawaida kinachomweka MTU madarakani au kumpa kibali huwa ni nature . Na nature huwa inazungumza na watu Kwa majira tofauti , tofauti. Hivyo nature ilimchagua Lissu na kumpitisha kuwa Mwenyekiti. Endapo atalazimisha Kwa kuikataa sauti ya ndani , sio utawala wale utakumbwa na misukosuko bado...
  16. D

    Hivi Mbowe, Lema, Sugu na wenje mbali na siasq wanaweza kufanya kazi gani? Lisu naona yuko katika genge la wahuni na zero brains.

    Kwa vyovyote tulitegemea mbowe awe dictator ndani ya chama mana nje ya siasa hana cha kufanya mana hata form four hakumaliza vile vile mnyika alidisco pale udbs alipokuwa anasoma bba. Watanzania mjue hawa hawaki kwa maslahi yenu bali ni njia ya kujinufaisha wao wenyewe. Uzuri kwa hili...
  17. Manfried

    MBOWE , wewe ni mfanyabiashara na kawaida ya wafanyabiashara huwa wanatafuta favor kutoka serikalini , hivyo ni ngumu wewe kuitoa ccm madarakani.

    Mbowe , wewe ni mfanyabiashara mkubwa unamiliki Biashara kadhaa wewe na familia yako. Hivyo kuendelea kushirikiana na Ccm (serikali) inakufaidisha sio tu kisiasa bali hadi kiuchumi. Hivyo Tumeamua kukuachia Chama chako ili ufikie malengo uliyojiwekea.
  18. Bams

    Mbowe Haguswi Wala Kuumizwa na Walipoteza Maisha, Au na Yenyewe ni Mafanikio ya Mwafaka?

    Mbowe leo amemshangaza karibia kila mtu mwenye uwezo wa kutafakari. Mbowe ametumia muda mrefu sana kusifia mafanikio yaliyotokana na mwafaka uliofanywa kati yake na Rais Samia. Hakuthubutu kuzungumzia chochote kuhusiana na utekaji na mauaji ya viongozi na wanachama wa CHADEMA. Kwake yeye, baada...
  19. K

    MBOWE NI TUNU YA TAIFA

    Mheshimiwa MBOWE ni mkomavu na mwanasiasa aliyeweka maslahi ya Taifa mbele. Sisi wafia CHADEMS hatupaswi kutekwa na propaganda za mtu aliyeweka maslahi yake mbele badala ya nchi yake ya Asili. Mheshimiwa MBOWE pamoja na misukosuko ya kisiasa iliyomfika, bado alivaki nchini pomoja na familia...
  20. Bams

    Watakaogeuka Kuwa Maadui Wakubwa wa Mbowe na CHADEMA, ni Wanachama na Wapenzi wa CHADEMA wa Sasa

    Hakuna aliyetarajia kuwa Mbowe angekosa hekima katika kufikia maamuzi ya ama kugombea au kupumzika, mpaka iliposhuhudiwa leo. 1. Kwa kuzingatia misingi ya demokrasia, Lisu alistahili kushindani katika nafasi anayogombea, lakini mpinzani huyo hakustahili kuwa MBOWE. 2. Mbowe, kiuhalisia, hata...
Back
Top Bottom