Kaandika ifuatavyo kupitia mtandao wa x:
Sasa ni dhahiri kwamba boots will be on the ground kati ya nyie viongozi wawili ambao kimsingi ukisoma maoni ya wananchi wana hofu kubwa na huku wanachama wakiendelea minyukano. Mchakato huru/haki ktk safari hii kuelekea uchaguzi Mwezi January ni msingi...
Kuna dhana potofu inayojengwa kuwa kwa sababu Mbowe ameamua kushiriki uchaguzi kwa kugombea uenyekiti wa Taifa Chadema lazima atashinda na kwamba CCM watapata urahisi wa kushinda uchaguzi mkuu mwakani 2025! Eti Mbowe ni laini kwenye meza ya majadiliano!
Kwamba Lissu angeachiwa ashinde uenyekiti...
Zitto Zuberi Kabwe Mwami! Mtu wa watu kijana mkomavu ameamua kuwa mzee angali Bado ni kijana mdogo ili kuipa nafasi demokrasia.
Yeye ni Nyerere wa ACT Wazalendo muasisi wa chama mwenye umri mdogo zaidi.
Navutiwa na siasa zake japo akina freeman walijaribu kuizima hii nyota ikashindikana...
MBOWE wa CHADEMA ametangaza kuendelea kugombea nafasi ya uenyekiti Taifa CHADEMA.
Najaribu kujiuliza...
(1) Je, akikabidhiwa na wananchi kiti cha urais wa JMT kupitia chama chake atakubali kung'ooka ili kuwapisha wenzake?
(2) Je, kuanzia leo ni vibaya kama MBOWE tutampa jina la DIKTETA wa...
Kada maarufu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mdude Nyangali amesema nabii Musa alifanya mengi mazuri juu ya Taifa la Israel lakini baadaye Mungu akampunzisha ili ampishe nabii Joshua awaingize wana wa Israel nchi ya ahadi ya Kaanani
Mdude maarufu kama Mdude Chadema amesema Mbowe...
Katika mwanasiasa mwenye wafuasi wengi hapa tanzania ni lissu yaani kama itatokea Leo akaanzisha chama chake basi kitakua na fanbase kubwa sana kuzidi vyama vyote nashangaa anaendelea kupoteza mda Kwa diktekta mbowe ambaye chama amekifanya kama geto lake
Sabato Njema Wakuu!
Uamuzi wa Mbowe ni sahihi kwa HAKI yake ya kikatiba ila kwa heshima sio uamuzi sahihi. Kwani kushindwa kwake haitakuwa Jambo la kufurahisha na Jambo la heshima. Kustaafishwa kwa kuangukia pua haitakuwa historia nzuri kwa Mhe. Mbowe.
Nina uhakika Lisu atamshinda Mbowe kwa...
Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na maswali ya waandishi wa habari aliyoyajibu leo ni masterclass ya siasa za upinzani katika nchi yetu. Kuongoza upinzani sio oya oya kama wengi wanavyodhani, kunahitaji utulivu akili, uvumilivu, maturity na busara kubwa sana.
Baada ya...
Wanabodi,
Kumekucha, Chadema Kazi Imeanza!
Baada ya Mwenyekiti Mbowe kuamua kutetea Uenyekiti wake Chadema, kiukweli hatma ya Tundu Lissu ndani ya Chadema ndio imefika at the end of the road, Tundu Lissu ndio kwishney ndani ya Chadema! Je, ataendelea kugombea hadi atoswe kwa kupata kura moja...
Nayasema haya kwa uchungu mkubwa
Damu za Watanzania zilizomwagika kuanzia
Chacha wangwe, Mwangosi, Akwilina, Ben Saanane, Alphonce Mawazo, Ali Kibao, risasi alizopigwa na kuumizwa Tundu Lissu huku ukijua kabisa Chadema sio chama Cha upinzani nakuhakikishia you will pay.
Kuharibu maisha ya...
Habari ndio hiyo toka kwa mie Kagoshima. Tusichoshane. Japo nimewahi kuwa na kadi ya ccm chuoni kama fashion, Sijawahi kuunga mkono chama kingine zaidi ya chadema.. mwisho wangu itakua siku huyu kinga'nganizi wa Madaraka atakaposhinda uenyekiti. Naacha rasmi
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman A. Mbowe amesema hamuogopi Lissu ambaye anagombea nafasi ya kuwa mwenyekiti wa chama hicho. Amesema hakumuogopa Magufuli aliyekuwa na majeshi na dhamira ya kuua amesema Lissu hana cha kumtisha.
Anasema Lissu ni kuongozi mwenzake na wamepitia mengi, hawawezi...
Naomba kutamka rasimu kuwa sina imani tena na Mbowe na ni wakati sahihi wa mimi kuachana na CHADEMA ya Mbowe(labda Lissu ashinde).
Sitaraji uchaguzi wa haki katika kwa nafasi ya Mwenyekiti na ninaona kila dalili ya Mbowe kuwa mamlulki wa CCM kwenye hiyo nafasi.
No wonder tunasoma mitandaoni...
Hongera sana Mh Mbowe kwa msimamo wa kiume wa kubaki CHADEMA, tambua kua mpango wa kukuondoa wewe ilikuwa kuua chama nashkuru umegundua hilo.
Mh Mbowe hongera sana ufahamu wako umefunguka kama nilivyokuombea.
Mh Mbowe mpango wa kukuondoa CHADEMA ilikua kuua chama kwasababu Lissu ni mharibifu...
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo, Mbowe amesema kuwa mojawapo ya faida ya maridhiano ni chama hicho kununua jengo lao la Bilioni 1 na laki 6 ambalo liko Mikocheni.
Mbowe amesema kuwa kupitia maridhiano na Rais Samia, CHADEMA waliweza kuanza kuchukua ruzuku ambazo ndizo zilitumika kununua jengo...
Toka lini watu waliokuwa hawawezi hata kutangaza habari za chama miaka zaidi ya 20 nyuma Leo wanaratibu press ya Mbowe??
Hapa ndio naamini 100% mbowe ni tapeli na sio mpinzani kabisa
Poleni watanganyika.
Mwalimu Nyerere miaka ile 1995 alipoona sarakasi za siasa zenye lengo la kuidhoofisha Nchi, aliingia ulingoni na akawatamkia wapinzani kina Marehemu Mrema, maneno yafuatayo:-
" I cant go to sleep in Butiama and let my country go to dogs"
Ni wazi CHADEMA imekuwa hivi ilivyo kwa mchango wako...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda wake, Freeman Mbowe, ataongea na Wahariri wa Vyombo vya habari (si waandishi wa kawaida)
Mwamba ataongea na Wahariri hao nyumbani kwake Mikocheni, Dar es salaam.
Mimi Mtumishi wenu nitakuwepo ili kuwapa Taarifa ya kila...
Hellow!
Naona CHADEMA imeamua kutumia njia hii ya propaganda Ili kusababisha iteke tena mijadala yote kisiasa na vinywa vya watz baada ya kuepuka kifo Awamu ya Magu.
CHADEMA imefanikiwa Kwa wiki hizi chache kurudisha umaarufu wao haraka kuelekea uchaguzi.
Na propaganda hii inaenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.