mbunge wa bunda mjini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bulaya: CCM itatoka Madarakani kwa Kura siyo Mapinduzi, Tanzania haiko tayari kurudia ya Oktoba 29

    Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya, amesema hakuna Mtanzania ambaye anatamani kuona matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Amesema matukio hayo yaliathiri na kujenga taswira mbaya kwa Watanzania kwa kuwa, haukuwa utamaduni huku wazee, wanawake na watoto...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ester Bulaya: Mtu siyo mkurugenzi, unatumia V8 la nini? Ni hujuma ya kiuchumi

    Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya, amepongeza hatua za Serikali za kubana matumizi kupitia mapendekezo ya bajeti mpya, akieleza kuridhishwa na uamuzi wa kuondoa baadhi ya tozo kwa magari yanayotumia gesi na vifaa vya kielektroniki. Amesema hatua hiyo pamoja na mpango wa taasisi za umma kutumia...
Back
Top Bottom