Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya, amesema hakuna Mtanzania ambaye anatamani kuona matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Amesema matukio hayo yaliathiri na kujenga taswira mbaya kwa Watanzania kwa kuwa, haukuwa utamaduni huku wazee, wanawake na watoto...