mbunge wa kenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Shule ya diplomasia na heshima ya demokrasia-Kutoka kwa Mbunge wa Kenya

    Tuusikie huu ujumbe wa kiungwana kutoka Kenya Kuna jambo jingine linaendelea katika Kenya tukiwa hapa lazima tuwaeleze kuna ile siasa ya kila wakati, unaona juzi Wakenya wengi walienda Tanzania na mimi ni msomi kwa mambo ya kigeni. Naelewa sana, sisi Wakenya tupo hapa kwa sababu kuna Demokrasia...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majibu ya seneta wa Migori (Kenya) Hon : "Eddy Gicheru Oketch" kuhusu Bunge la Tanzania

    "Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge wa Juja George Koimburi aliyetekwa apatikana kwenye shamba la kahawa akiwa amejeruhiwa vibaya

    Mbunge wa Juja, George Koimburi, amepatikana akiwa amejeruhiwa vibaya kwenye shamba la kahawa Kaunti ya Kiambu. Koimburi,ambaye ni mtetezi mkubwa wa Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua, alitekwa nyara Jumapili, Mei 25, nje ya Kanisa la Full Gospel Mugutha akiwa na mkewe, Anne Koimburi...
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kenya Babu Owino ataka Rais Samia apigwe marufuku ya kuingia Kenya kwa udhalilishaji

    Wakuu, Mambo yameendelea kupamba moto. Mbunge wa Embakasi Mashariki, Babu Owino, ametaka Rais wa Tanzania Samia Suluhu apigwe marufuku kuingia nchini Kenya kwa sababu yoyote ile, kufuatia mvutano uliotokana na kuzuiliwa kwa mawakili watatu wa Kenya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…