SHIRIKA la World Wildlife Fund (WWF), limepeleka kwa wananchi wa vijiji vinne vya Alaililai, Gelai Lumbwa, Noondoto na Orpurkeri katika Wilaya ya Longido, mkoani Arusha, miradi ya kiuchumi ya unenepeshaji wa mbuzi, ili kuwasaidia wananchi hao kuwa na kipato mbadala,kitakachowasukuma kuachana na...
Nawasalimuni kwa jina la Mungu naomba niwataarifuni kwa wanao penda kufuga Mbuzi Bora wa kisasa Boer, sasa ASAS iringa wametangaza wanazo mbegu zakutosha wanauza ni Madume tu.
Naomba niweke mawasiliano yao hapa ili muweze kupata maelekezo zaidi na njia ya kuweza kuagiza.
0717 405 073 Frank...
Mwezi uliopita nilienda kutafuta pasi dukani, pasi yangu pendwa ni PHILLIPS, nilipoambiwa bei ni elfu 45 nikawa na imani kitu nachonunua ni original kumbe nimuziwa chambi, nashukuru alieniuzia ni mwelewa alinitafutia nyingine duka lingine
Nafika nyumbani nikalinganisha pasi yangu ya zamani na...
Habari
Naomba wazoefu mnisaidie , nikifingua Bucha yq Nyama ya Mbuzi itanilipa?
Naona mabucha mengi ni Ng'ombe.
Naomba wazoefu mnisaidie, je inalipa location ni Dar
Wazalendo,wale militia wa DRC, wanasema kila mbuzi anakula kwa kufuata urefu wa kamba yake.
Wanasema wanataka kuiteka Kigali. Wanasema hawatapora mali ya mtu yeyote,au kufanya uovu wowote dhidi ya raia. Watawalenga tu RDF Isipokuwa wamesema ikumbukwe kwamba kila mbuzi anakula urefu wa kamba...
Hivi kwa jua hili, mbuzi au ng'ombe anafungwa juani kuanzia asubuhi hadi jioni. Hii sio sawa kabisa, kama mtu hawezi mkatia majani basi aende akachunge.
Unakuta mnyama anahema mpaka unamuonea huruma. Na pengine hata maji hawapewi hadi hio jioni. Hili suala ni la kuliangalia, hawaviumbe nao...
NImeamka saa kumi kasoro 20 muda huu usiku.
Nikawasha Data naona bando limeisha.
Nikajiunga bando. Nikaaingia mtandaoni nikaona Web browsee zinagoma kufunguka.
Nikawasha VPN ikagoma.
Nikasema moyoni mbona kama yale ya 2020 ndio kama haya?
Nikazima simu, nikawasha bado shida iko pale pale...
Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana...
https://www.jamiiforums.com/threads/nauza-maziwa-ya-ngombe-wa-kienyeji-na-ya-mbuzi.1865163/#post-52214680
Miaka ya nyuma nilikuwa nafanya biashara hii, lakini kwa sasa nimeachana nayo.
Nimejaribu kuwaambia JamiiForums waufute Uzi wa mwaka 2021 lakini hajaufuta, Na kuleta hali ya sintofahamu...
Salaam, shalom!!
Nitaeleza Kwa ufupi.
Siku Moja mpendwa wetu mmoja alifiwa na ndugu yake Kijiji fulani, tukalazimika kusafiri Toka Kijiji kimoja kwenda Kijiji kingine Kwa ajili ya maziko.
Tulipofika, kilikaa kikao na kuazimia mbuzi wawili wachinjwe Ili ipatikane nyama ya kulika msibani Kwa...
Yeeeerrrrreeeeh!
Soko la korosho duniani limechanganya balaa. Na hapa nchini bei imepanda kwa hadi 4k huko.
Sasa yale yele ya mbuzi kunyweshwa soda kipindi kile soko lilipochanganya baada ya wakulima na wafanyabiashara kupiga hela ndefu na kukosa pa kuzoeleka na kuanza kukufuru kwa kuwanywesha...
Bunge limehoji kuhusu Sh7.4M ( dola 2000 ) & Shs400,000 ( dola 109) zilizotumiwa na Wizara ya Kilimo katika ununuzi wa kila mbuzi wa kigeni na wa kienyeji mtawalia,
Mbuzi 409 kati ya 850 waliosambazwa kwa wakulima walikufa ndani ya wiki ya kwanza .
Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Kamati ya...
Imagine leo nimezunguka hadi Shuu Butchers zote hakuna nyama ya mbuzi. Nimezunguka kwenye Bucha zote za MBASHA Meat Supply kote hakuna nyama ya mbuzi. Hadi MBASHA Butcher Meat Suppy ya pale VINGUNGUTI Machinjioni hakuna nyama ya mbuzi.
Ni aibu na fedheha kubwa sana kwa jiji zima la Dar es...
Habari wanajamvi
Ninatafuta dalali/mfanyabiashara wa mbuzi mkoani Tabora kwa yeyote anayeweza kunisaidia kwa hilo nitashukuru sana.
Tuwasiliane 0788303079
Mnaowekeza mifugo ukoo maeneo ya mbugani. Vijijini mjipange bora mnunue mbwaa muanze kuuzaa
Leo naangalia TV mwananchi kaliwa mbuzi zake na chui mmoja
Serikali wakaja kumkamata wakamrudisha alipotoroka
Mwenyee mbuzii anaulizwaa anambiwaa 25000 ndioo malipo stahili kila mbuzii jamani angalieni...
Nimesoma bandiko la Martin Maranja Masese kada wa CHADEMA, akitudorishia minyama na idadi ya mbuzi waliochinjwa kwenye uzinduzi wa nyumba au kasri ya Jacob kama wao wanavyotanabaisha.
Ni ushamba tu Karne hii mtu mzima kukaa mtandaoni kujivunia nyumba ya aliyojenga mwenzako. Kila mtu anaweza...
Napenda kufahamu jinsi wafanyabiashara wanavyonunua mbuzi toka kwenye minada mbalimbali eneo la Gairo, Kilindi, Handeni , Kilosa na Dodoma.
Kisha kuwasafirishq kupeleka kwenye kiwanda cha Nyama pale Kibaha na malipo yao ikihusisha mchakato mzima.
Kwa kiasi fulani nimejikuta kuvutiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.