Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawashikilia Watu wanne kwa tuhuma za kufurahia kifo cha hayati John Magufuli kwa kupika supu na kununua ndoo ya lita 20 ya pombe ya kienyeji ya Ulanzi.
Pia soma > Manyara: 8 mbaroni kwa kushangilia kifo cha Magufuli
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawashikilia...
Kila nikienda vingunguti kutafta nyama ya mbuzi; huwa nakuta haina matumbo; ukiuliza unaambiwa Wachina wameyanunua kwa oda!
Je, Wachina wanakazi gani spesho na Yale matumbo ya mbuzi?
Maana inavyoelekea yatakuja kuwa adimu kama Mabondo ya samaki huko Mwanza!
Ni Kwa vile sisi wenyewe tumeizoea hali hii, lakini Kwa kweli nchi yetu ina mambo mengi ya kushangaza.
Fikiria, Kwenye kipindi hiki cha maombolezo, watu wanaweza kukamatwa kwa kukutana na kuchoma mbuzi Kwa kosa la kusherehekea lakini wakawa huru kuagiza mbuzi-choma na bia kwenye baa zilizo wazi...
Mbuzi wa masikini hazai na akizaa ni dume usemi huu umedhijilika leo.
Wiki iliyopita nilibahatika kupata kazi kama revenue officer ofisi za halmashauri ya jiji baada ya kupitia mchakato mrefu na kupata shavu hapo.
Na leo ilikuwa ndio tarehe ya kurepoti hapo na kupangiwa kazi ya kunisaidia mimi...
Zaman ilikuwa ngumu sana kukuta mwanadada ana watoto wawil, watatu wana baba tofaut tofaut. Mimi sikuwa nikikutana sana na matukio ya hivi.
Naumwa toka last week. Sometimes nakuwa fresh then nakuta kichwa kinawaka moto mpaka kizunguzungu.
Ninepima Typhoid, Malaria, UTI, Pressure, kiwango cha...
Nimeshuhudia jana mbuzi anachinjwa huku amezibwa mdomo ili asilie.
Kwa ushinjaji huu hamu ya nyama ya mbuzi imeniishia kabisa bora kesho nirudi Dar.
Happy New Year!
Heri ya mwaka wa 2021
Wadau mwaka jana panapo mwezi wa saba rafiki yangu mmoja alifunga pingu za maisha na msichana ambae walianzisha mahusiano kutokea mtandaoni IG, ila walisomana kidogo kama miezi 8 hivi.
Sasa jamaa kapatwa na janga ambalo linamchanganya psychological, yule mrembo aliyemuona...
Mbuzi ni mnyama anaeliwa na madhehebu ya dini nyingi, ni rahisi kununua mbuzi wa kula na familia kuliko ng’ombe, kwanza gharama pili mnaweza kula na kumaliza.
Andaa samaki kidogo kwa wasio kula nyama.
Andaa bakuli la kachum
Acha moto ukolee wote kabla ya kuweka nyama jikoni.
Nyama ya mbuzi...
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia Boshu Kulwa (60) kwa tuhuma za kumuua mke wake, Magdalena Lunguya (45) baada ya kumhoji kuhusu fedha za mauzo ya mbuzi.
Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Debora Magiligimba alithibitisha kutokea kwa tukio hilo akisema kuwa amemuagiza mkuu wa polisi...
Katika tukio linalofananishwa na lililotokea jijini Dar es Salaam katika jimbo la kawe, kuna mbuzi ameonekana akiharibu mabango ya mgombea wa ubunge wa jimbo la Morogoro Mjini Mh. Abdul-Aziz Abood.
Ndg wana jf hope sote tu wa afya njema baada ya hekaheka za wiki nzima.
Naomba mwenye EXPERIENCE ya kutosha na hii biashara ya Mifugo hasahasa Ng'ombe kuwaleta Dar kutoka Mikoani kama inalipa
coz nimewahi enda pale PUGU Mnadani wakati wa Christmas angalau nijitafutie Mbuzi wa kumtafuna na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.