ANAITAJIKA MCHOMA MBUZI NA MISHIKAKI MWENYE UZOEFU MZURI, KWAAJIRI YA BIASHARA BUNJU B. MARIPO NI TZS 5,000 KWA SIKU NA BONUS YA KILA MWEZI KUTOKANA NA MAUZO NA UBORA WA KAZI. KAMA UKO SAFI NA UZOEFU NITUMIE NAMBA YAKO DM.
mfumuko wa bei
doble taxation hapa anawakamua sana wananchi, madhara yake ni kupungua mzunguko wa pesa, uzalishaji
deni la taifa limeongezeka kwa zaidi ya asilimia 10
Ina maana kama Taifa hatuhitaji kujua hali ya ufugaji wa huu mfugo utupatiao kitimoto kilicho mkipenzi cha wengi?
Je, hakuna mpango wa kuendeleza ufugaji wa nguruwe? Je hakuna haja ya kujua tuna mbwa wengi kiasi gani?
Kama ni hivyo tutapangaje mpango wa kuwachanja mbwa dhidi ya kichaa cha mbwa...
Wachambuzi wanahoji kuhusu jezi mpya za Simba kuchelewa kutoka mpaka Simba day ikikaribia na jezi bado hazijatoka.
Wakati Yanga wanaanza msimu na kucheza mechi ya ligi msimu mpya na jezi ya zamani mbona mlikuwa kimya?
Nyasi za Juncao ni nyasi zilizofanyiwa utafiti nchini China, utafiti ulifanywa na Profesa Zin Zhanxi wa chuo kikuu cha Fujian Agriculture and Forestry.Ni hybrid ya aina tofauti za napier na yanafanana na majani tembo(elephant grass).Yanafahanika pia kwa majina ya Giant Juncao na majani ya...
Lack of wisdom
"Bavicha tunamtaka Mh. Rais @SuluhuSamia kupitia siku ya miaka 30 ya maadhimisho ya vyama vya siasa, afute zuio batili la vyama vya upinzani kufanya mikutano ya hadhara, asipofuta sisi kuanzia tar 30.7.2022 tutaanza kufanya mikutano ya hadhara kama noma acha iwe noma. Pambalu...
Tukio la Harmonize kumvisha Pete ya Uchumba Kajala na Tukio la Yanga kusherekea Ubingwa wa Ligi kuu yameenda sambamba sana.
Inadaiwa kwamba Tukio la Harmonize kumvisha pete Kajala limefunika Tukio la Yanga, maana yake ni kwamba Mtaani watu wanamjadili Harmonize na Kajala kuliko Ubingwa na...
Habari wanandg natumai hamjambo,
Nilkua nahitaji kujua na kujifunza kuhusu biashara ya kununua mbuzi na kupeleka viwandani.
Nilkua naomba mwenye uzoefu wa biashara hii ani Pm au anaweza kujibu hapa tukajifunza wengi.
Ahsanteni sana
Nipo kwa sister hapa naaangalia angalia michongo ya kazi hapa Town. Tulikuja Mjini kutafuta pesa siyo kuangalia magorofa. Mimi mtoto wa kiume lazima nijitume. Kama matunda yangu yapo basi lazima niyachume.
Kuna siku hapa nliandika namna ambavyo nlimsaidia shemeji kwenye issues zake za ndoa kwa...
Popote pale unapoenda lazima kuwe na wakubwa au watu wenye hadhi fulani zaidi ya wengine, ni kweli pia hata ‘treatment’ yao huwa inakuwa nzuri tofauti na wengine, japokuwa haitakiwi kuzidi na kuwafanya wale wa chini wajione kama wao ni takataka.
Ndiyo maana ‘treatment’ ya viongozi wa Serikali...
Mnataka kuleta uwongo kuwa kulikuwa na maridhiano? Acheni janja ya kishamba. Maridhiano gani sasa? Kwani Spika alikuwa na taarifa za uongo? Au ndio Mbowe aliingia makubariano ya kuacha harakati?
👇
Lissu anadai kutema cheche?
👇
JF,
Kwa kweli nimekuwa nikipata shida sana kuona mbuzi Hawa wanazagaa barabarani hovyo wakati Sheria za kutunza wanyama zipo wazi.
Je wale ni wa Serikali au? Kwasababu najua kabisa wangekuwa wa mtu binafsi wangeshakamatwa zamani na kutozwa faini.
Nani au Mamlaka gani ya Serikali inawajibika...
Wakuu habari ya Jioni.
.
Kuna pahala nimesoma na kuona picha mbalimbali kwamba Stendi ya dala² Mafiga Morogoro Imebadilishwa Matumizi na Kuwa Mnada utakaokuwa unachomwa mbuzi na Watu Kupata Kinywaji.
.
Nimesoma na Kuona Dc Msando akiwakaribisha Kesho wananchi wa Moro kufika Kwa Ajili ya...
Salaam wakuu,
Naomba kujua,maziwa ya mbuzi Yana sifa sawa na maziwa ya ngo'mbe?
Nasikia mbuzi wanakuwaga na magonjwa mengi zaidi ya ngo'mbe,Lina ukweli wowote?
Naomba kwa wenye uelewa mnisaidie,maziwa ya mbuzi Yana athari zozote kiafyaaa?
Ndio tumekubali tutakula kwa urefu wa kamba zetu,lakini unajua Kuna mbuzi wanakamba moja tu..?
Wewe unakamba nyingi na nyengine wawezakuwa umezisahau ila zipo!.. sikufundishi ila sijui umewawaza wenye kamba moja..?
Kula,kunywa,Kodi,usafiri na gharama zao zote za maisha hutegemea kamba hiyo...
Kwenu wataalamu wa kuchoma nyama za aina zote.
Naomba tips za kibabe kuhusu namna ya kumarinate nyama kabla ya kuichoma na baada. Viungo gani vitumike, kiasi gani, balancing ya moto haswa kwenye jiko la mkaa iweje.
Wadau,
Nimepata habari rifiji ni mgodi mpya wa upatikanaji wa ngombe na mbuzi kwa bei nzuri. Naomba yoyote mwenye ufahamu wa hili na connection anijuze!
Nataka nifanye biashara ya kuuza mbuzi Ila niuze viwandani na sio mnadani, ni viwanda gani wanalipa vizuri na hawasumbui ulipaji? Na utaratibu ikoje?
Naomba muongozo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.