mbuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Ni mikoa gani ambayo ina mbuzi wengi na ng'ombe wengi zaidi?

    Habari wakuu, kaa kichwa kinavyosema, swali langu ni hii, je ni mikoa gani ambayo unaweza pata mbuzi wengi zaidi, na ngombe wa kununua, yaani kwa ufupi ni mikoa a wilaga gani zina mbuzi na ngombe wengi zaidi? Natanguliza shukrani?
  2. JanguKamaJangu

    Madereva bodaboda walioiba mbuzi Morogoro wakamatiwa Iringa (vijana tunafeli wapi)

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Allan L. Bukumbi ameeleza kukamatwa kwa watuhumiwa wa wizi wa mbuzi. Amesema tukio hilo lilitokea 09/02/2022 majira ya Saa Saba Usiku, (01:00hrs) maeneo ya Shule ya Msingi Mlandege Kata ya Mlandege Manispaa na Mkoa wa Iringa, Jeshi la Polisi lilifanikiwa...
  3. R

    Tanga, Mwakidila: Kijana auawa baada ya kuiba Mbuzi

    Na huku Tanga Mwakidila/Mwahako, kijana mmoja amepigwa na kufa hapo hapo baada ya kuiba mbuzi. The other day, aliiba Ng'ombe mwenye mimba lakini akaponyoka. Jana akamuiba Mbuzi wa mkazi mmoja, akamnyonga mbuzi na kumla ndipo wananchi wenye hasira kali wakafanikiwa kumkamata na kumuua. Wenzake...
  4. J

    Mbuzi wa Kipanya amekata kamba kwahiyo anakula bila kipimo

    Nimeiona mahali katuni ya mbuzi wa Kipanya aliyekata kamba na kwahiyo anakula bila kuzingatia urefu wa kamba, nimecheka sana. Ngoja niitafute nitupie mjionee wenyewe. Maendeleo hayana vyama!
  5. Analogia Malenga

    Rais Samia: Mawaziri na Manaibu wenu, msigombane kisa safari

    Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Mawaziri wasiwe na ugomvi na Manaibu Waziri kwa kuwa kila mmoja ameteuliwa kwa vigezo tofauti. Ametaka kila mtu ajue nafasi yake. Amesema mara nyingi watu hugombana kwa sababu ya safari na maslahi ambayo mara nyingine huwa ni maslahi ya wananchi. Rais amesema...
  6. figganigga

    Matajiri Wamekodi Mbuzi wale Shamba la Mbigili na kulimaliza. Wamekeleka!

    Salaam Wakuu, Baada ya Kuvumilia kwa muda mrefu, sasa wameamua kuoneshana Makali. Mwenye pesa zake kakodi mbuzi washambulie shamba la Mbigili. Wanashindwa kujua Mbuzi anakula Majani, Mizizi ya Mbigili imejichimbia chini. Baada ya Mwenye shamba kuoneaha jeuri ya yasiyowezekana 2021,Sasa...
  7. O

    Mnada wa mbuzi bagamoyo.

    Naomba anayejua mnada was mbuzi maeneo ya bagamoyo anijulishe unakuwa siku gani. Naomba sana msaada wenu.
  8. MK254

    Juzi kati Mtanzania alikamatwa kwa kubaka mbuzi, haya mwingine amebaka nguruwe, kuna uhaba gani huko bandugu

    MKAZI wa Kijiji cha Mavanga kilichopo katika kata ya Mavanga wilayani Ludewa mkoani Njombe anayefahamika kwa jina la Afro Nyigu (31) anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma ya kumbaka mnyama aina ya Nguruwe. Afisa mtendaji wa kijiji hicho Ramadhani Kihanga amesema kuwa tukio hilo limetokea...
  9. N

    RC Makalla umeyamaliza ya wamachinga, lakini vipi kuhusu Mbuzi wazururaji wa Dar?

    Wote tumeona kwamba mkuu wa mkoa RC Makalla na serikali kwa ujumla wamewakomalia wamachinga waondoke maeneo ambayo hawatakiwi kisheria. Hiyo sawa; lakini kuna suala hili la mbuzi wa Dar ambao wanajichunga wenyewe Magomeni, Mbagala, Mbezi, Shekilango nk ambao nao wanaleta uchafuzi wa...
  10. M

    Mpishi wa Mbuzi Choma anaitajika-Bunju

    Natafuta Chef mwenye uzoefu mkubwa waapishi mbalimbali ya mbuzi, kuanzia choma, foil mpaka supu. Kama ni eneo lako naomba nitumie SMS kwa 0759 819 819. NB: Kituo cha kazi ni Bunju B na malipo ni maelewano. Ahsante
  11. tang'ana

    Serengeti: Ahukumiwa miaka mitatu jela kwa wizi wa mbuzi

    Mkazi wa kijiji cha Nyiboko, kata ya Kisaka, Mwita Karege (19) amehukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Serengeti kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kukiri kuiba mbuzi watatu wenye thamani ya Sh150,000. Hukumu hiyo katika kesi ya Jinai namba 326/2020 imesomwa leo Jumatatu Oktoba 25 na hakimu...
  12. Sky Eclat

    Mbuzi wa barafu wanaweza kuuzika Tanzania?

    Mbuzi ni mnyama anae lika sana Tanzania, kwa sherehe za kifamilia au hata social gatherings mfano birthdays, kutoa mahari, ubatizo nk. Pamoja na hayo mbuzi choma ni kitafunwa pendwa kwa wanaokunywa pombe na wasiokunywa pia. Wengi tunanunua mbuzi na kumtafuta mchinjaji. Anachinjwa mbuzi saa 11...
  13. Jebel

    Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Habarini Waungwana! Leo nimeona nitoe mchongo wa biashara ambayo binafsi nimewahifanya kabla sijapata ajira na natarajia kuendelea kufanya baada ya ajira kuisha. Uzuri wa biashara hii, pamoja na kuwa na faida nzuri, soko lake ni la uhakika sana na changamoto zake ni chache sana na zinakabilika...
  14. Second Lieutenant

    Biashara ya Kuuza Nyama (Butcher's Shop): Mambo Mbalimbali ya Kujifunza

    Habari za Mchana wana JF, Ndugu yenu hapa naomba info kuhusu biashara ya Nyama (Burchery), Bei wanazonunua Machinjioni inakuwa kiasi gani? wangapi wamefanikiwa through this business. WADAU WENGINE NAOHITAJI MUONGOZO WA BIASHARA HII MICHANGO NA MIONGOZO
  15. MkulimaAgriClinic

    Fursa ya ufugaji wa ng’ombe wa maziwa

    Fursa ya Ufugaji wa Ng'ombe wa maziwa ni kubwa sana nchini.Kwa wastani Tanzania huzalisha maziwa lita bilion 3 kwa mwaka huku karibu lita bilioni 1 pekee hutokana na ng'ombe wa kisasa. Hata hivyo mahitaji ya maziwa ni makubwa sana (zaidi ya lita bilioni 10), japo logistics mbaya za uhifadhi...
  16. A

    Ukiwa vegetarian ghafla unafika ukweni, unakuta wamechinja mbuzi na kuku kwa heshima yako

    Mchumba ulikutana nae kazini. Wazazi walisikia uwepo wako katika maisha ya binti yao. Kilichokupeleka ghafra ni taalifa ya ugonjwa wa mama yake. Mezani mnakuta vyakula vyote na kilichokosa nyama ni kachumbali tu. Unaishia kula wali na kachumbali.
  17. B

    Upatikanaji wa mbuzi aina ya Boer hapa Tanzania

    Nimekuwa nikipata maswali mengi kutoka kwa wadau wa ufugaji mbuzi ambao wanaotaka kujua kuhusu upatikanaji wa mbuzi aina ya Boer hapa Tanzania. Ili kujibu swali hili nimetengeneza video ambayo inatoa taarifa ya kutosha kuhusu upatikanaji wa mbuzi aina ya Boer hapa Tanzania . Hebu angalia video...
  18. 2019

    #COVID19 Kutahadharisha kuhusu wimbi la tatu la Covid-19 bila kuchukua hatua stahiki ni kumpigia mbuzi gitaa

    Kwa sasa wizara, mahospitali TVs na radio kelele ni kujikinga au kuchukua tahadhari za wimbi la tatu la Covid-19. Lakini tahadhari hizi sioni kama zina maana yeyote kwa mwananchi sababu watu wanaendelea na maisha kama kawaida inasaidia nini? Hutoi takwimu ili watu wajue kuwa mdudu kashaingia...
  19. Mac Alpho

    Nahitaji msaada wa mawazo juu ya biashara ya mifugo (ngombe & mbuzi)

    Habari zenu wana JamiiForums, mimi kama kijana mtafutaji na mwenye kiu ya mafanikio, nimeamua kuja kwenu Ili nipate ABC juu ya mada tajwa hapo juu. Nimejaribu kupitia maada mbalimbali za zamani juu ya hii maada ila sikufanikiwa kupata data nilizokuwa nazihitaji, hasa ukizingatia taarifa za...
Back
Top Bottom