Nawashangaa sana mashabiki wasiojitambua wala kujielewa na wasioitambua sayansi ya mpira wa miguu. Simba kapigwa 3 mzuka na Raja nongwa na jumba bovu wanaangushiwa Onyango, Mkude, Manula na Nyoni, ni mpuuzi tu anaweza kuongea utumbo kama huo!
Wachezaji wa Simba ndio hao hao wa siku zote na...
Mwanza Bwana ni Jiji linalokua kwa kasi sana, hilo linatokana na watu kuongezeka na Serikali imeweka miradi mingi ya kimkakati katika jiji hilo, lakini cha ajabu ni kwamba Mwanza ni mji unaoongoza kwa kuwa na mbuzi (wanyama) ambao hawana mwenyewe.
Mara nyingi nimekuwa nikishuhudia mbuzi...
Mkulima na mkazi wa Kijiji cha Naibili wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro, Emmanuel Kilenga ( 22) amefikishwa katika mahakama ya Wilaya ya Siha Machi 17, 2023 akikabiliwa na shtaka la kuandama wanyama kesi iliyosajiriwa kwa namba CC 35/2023.
Akisoma mashtaka mahakamani hapo Mwendesha Mashtaka wa...
"Mwanamke mwenye Maadili na mwenye Kujitambua ukipigwa na Mumeo hutakiwi Kutangaza kwa Majirani au hata kwenda Kushtaki Kwenu au Ukweni bali unavumilia na unamsubiria Mumeo Hasira zikipungua unamuomba Radhi hata kama unajua kabisa kuwa Mkosaji ni Yeye kwani kwa kufanya hivi utamjengea Kitu Mumeo...
Sijui kama umewahi kuexperience jambo kama hili,
Wazee wa zamani waliweza kutumia viungo vya ndani vya mnyama kupredict yajayo ama jambo lolote BAYA lijalo.
Mnyama kama mbuzi angechinjwa na wajuzi wangetumia viungo vyake vya ndani kufanya utabiri wa mambo yajayo, sijui kama wewe umewahi...
Habari wakuu?
Mimi nipo mkoani Mtwara, nimefikiria kuanza biashara ya bucha ya mbuzi, changamoto ni upatikanaji wake! Na utaratibu wa kuanza hii biashara upoje! Naomba kwa mwenye uzoefu anisaidie! Namna ya kuwasafirisha, lakini vibali vyake, na mpaka kupata leseni! Naweza kuanza halafu...
Acha niandike kimipasho. Yaani ronaldo analipwa pesa nyingi na kashindwa kuipa ushindi timu yake jana...wakafungwa 3-1 na Al Ittihad wakiwa nusu fainali ya Saudi Super Cup. Huyu sio mbuzi wangu tena..nilimuamini na nilikuwa nimemuwekea dau sehemu...kaniuzi. Kama mwisho wa career yake ndio huu...
Kwenye mechi ya kirafiki kati ya PSG na wachezaji wa Al Nassr & Al Hilal Messi na Ronaldo wameonyesha ni namna gani mgawano wao wa ushabiki upo kwa ajili ya kutengeneza pesa na sio uadui. Kama Ronaldo kaanza vizuri namna hii basi ligi ya uarabuni itakuwa moto na kawaaminisha waarabu kuwa mzigo...
KARIBU, Tunauza Mbuzi na Kondoo kwa bei nafuu kwa ajili ya nyama na kufuga tunazo aina za mabeberu wenye uwezo wa kuzalisha Mapacha. Tuko Dar tupige au whatapp no 0713318671.
Furahia Maisha.
awamu
baada
bahati
bahati mbaya
ccm
chama
chama cha mapinduzi
ethiopia
hii
kondoo
kufuata
kutamka
kutoka
maelekezo
mapinduzi
mbaya
mbuzi
mgeni
nafuu
rais
rais samia
samia
video
wapi
Akizungumzia haki na uhuru wa watu kuzungumza, Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amesema viongozi wanatakiwa kuthamini utu wa watu, hivyo wana haki ya kulinda uhuru na haki ya kila mtu.
“Kwangu mimi viongozi anatakiwa kutamba kuwa anaongoza watu na siyo Mbuzi, Ng’ombe au...
Wadau mbalimbali wa kilimo na ufugaji, ninaomba muongozo wa namna bora ya kutumia Samadi ya asili shambani. Kwa kuanzia, nilitaka kufahamu, Samadi ipi ya asili inafaa shambani kwa kilimo cha mboga mboga, matunda au mahindi?
Je, kati ya kinyesi cha ng'ombe, mbuzi, Kuku, Nguruwe, Sungura ipi ni...
Urusi ilialika watu au taasisi zinazohitaji kuwa waangalizi kwenye kura ya maoni iliyohusu majimbo manne ya ukraine kukubali kujiunga na Urusi au kubaki kwenye himaya ya Ukraine. Urusi ilikuwa na uhakika kabisa kuwa zoezi la kura litaendeshwa kwa uhuru na uwazi. Wapo watu wengi toka nchi za...
Sio hadithi ni ukweli na sio Ulaya ni Tanzania iliyojaa vivutio na neema za kufurahisha na kuogofya. Ukitoka Mbeya mjini panda gari zinazoelekea mkoa wa Songwe wilaya ya Ileje, bila shaka utachukua gari ya Moja Kwa Moja mpaka Isongole kupitia Mpemba.
Ukifika hapo Isongole panda gari inayoelekea...
Mesoni Kashiro (15) Mkazi wa kijiji cha Gelailumbwa, kata ya Gelailumbwa, tarafa ya Ketumbeine wilayani Longido mkoani Arusha, ameshambuliwa na mume wake Namendea Lesiria kwa kushirikiana na rafiki yake ambaye jina halijafahamika kwa kosa la kumwaga dawa ya mfugo aina ya mbuzi.
Ofisa Ustawi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.