mbwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    Mussa: Mwakinyo alifungulia Mbwa wakanishambulia kwa zaidi ya Saa 1, nilikataa tamaa nikisubiri kufa

    Kijana Mussa Ally (21), Mvuvi na Mkazi wa Sahare Jijini Tanga anaendelea na matibabu Hospitali ya Mkoa wa Tanga Bombo na kwa sasa amepata nafuu baada ya kushambuliwa nyumbani kwa Bondia Hassan Mwakinyo alfajiri March 04,2025 na kufikishwa Hospitali akiwa mahututi na majeraha mwilini. Akiongea...
  2. O

    Riziki ya mbwa ipo miguuni mwake

    Baada ya kupoteza pambano lake dhidi ya Mzambia Mbachi Kaonga, Dullah mbabe alifanya mahojiano mafupi na vyombo vya habari. Mwandishi: Ulilionaje Pambano? Dullah: Lilikuwa gumu, siko sawa, siko fit nina 'hogo' (Akaonesha picha katika simu), nilikuwa kwenye matibabu kwa miezi sita. Tunapigana...
  3. Gautten Potten

    Mbwa huwa na Furaha wawapo wenyewe

  4. Eli Cohen

    Kisa tu ulitoka familia duni halafu haukusoma then ukapata vijisenti sasa huko mitandaoni unabwekea watu "eti kwanini mnasoma?"

    Hii yote ni kujitafutia acceptance katika dunia inayoongozwa na literates. Kuna wajinga maarufu bongo hii wakisha shiba vihela vya kupaisha majina ya wanaume wenzao wengine baada ya kusambaza yas zao huwa wanatukana watu waliosoma eti wanapoteza muda. Utafikiri kila mtu ambaye hakusoma sasa...
  5. BigTall

    Mamlaka zinazohusika ziangalie Mbwa wanaozagaa Mitaani bila uangalizi maalum, wanaweza kuwahatarishi kwa Watu

    Imekuwa kawaida kuona wanyama mbalimbali hasa wale ambao wanaonekana hawana madhara ya mara kwa mara kwa Watu wakiwa mitaani hawana muelekeo, lakini inapotokea Wanyama hao wanaanza kusababisha madhara ndipo ambapo Mamlaka zinaibuka kuanza kuchukua hatua. Mfano huku mitaa ya kwetu huku Dodoma...
  6. Damaso

    Utafiti wa The Kennel Club unaonyesha asilimia kubwa ya wanawake walio-single wanapendelea urafiki wao mkubwa na Mbwa kuliko kuwa na mahusiano ya kima

    Utafiti wa The Kennel Club unaonyesha asilimia kubwa ya wanawake walio-single wanapendelea urafiki wao mkubwa na Mbwa kuliko kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume. Kwa mujibu huo wa The Kennel Club inayotambulika duniani kwa jukumu la kusimamia shughuli mbalimbali za mbwa zinasema...
  7. Setfree

    Duuh! Amepigwa kipigo cha mbwa koko!

    Majigambo yake yameisha. Amepigwa kipigo cha mbwa koko! Amepigwa na Bwana Mkubwa! Loo, aibu yake! Alivyoona amefaulu kuwaingiza mtegoni ndugu zetu, kwa hila zake, alifikiri atadumu kuwa mwerevu. Sasa ameshushwa chini kabisa. Kila mtu anamzomea, hata watoto wadogo wanambeza! Alijiinua juu kwa...
  8. ngara23

    Azam FC yaiokoa Simba na mashindano ya Shirikisho

    Leo Azam fc- imekubali kipigo kutoka Kwa Pamba Jiji Hiki kipigo kinamaanisha kuwa ametoa nafasi ya Simba kushika nafasi ya pili Kwa maana hiyo Simba hatacheza tena shirikisho msimu ujao Karibu tena Simba CAFCL tokeni huko shirikisho kwenye mashindano ya akina mama
  9. L

    Tanzania Tumepoteza Wanajeshi Wawili Nchini Congo Katika Mapambano na M23

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa masikitiko makubwa na uchungu mkubwa taarifa zinadai kuwa tumepoteza mashujaa wetu wawili wa JWTZ waliokuwa wakilinda amani Nchini Congo. Vifo hivyo vimetokea kutokana na mashambulizi yaliyofanywa na M23. Tutawajibu kikomandoo na watajuta . askari wetu wamekufa...
  10. Manfried

    Hawa Mbwa wakizungu wana akili sana kumzidi hata binadamu

    Just watch this video
  11. Eli Cohen

    Utamsikia anasema "Wanaume wote ni mbwa. Kama hawezi kunidekeza kama mtoto, kwendraaaaa!!"

  12. Carlos The Jackal

    Ni Mkutano kisiasa wa CCM , ila Waandishi wa habari wanamuhoji WEMA SEPETU masuala ya yeye Kutokuzaa, na masuala ya Mbwa wake "Manunu"

    Wakuu hivi hii Generation ya Waandishi wa habari imetokea wapi 🤣🤣 https://youtu.be/aS5a0j4pvTk?si=S4cjS7qxzOIZSn8N
  13. The Palm Beach

    Rose Mayemba: Nimefukuzwa Makao Makuu kama mbwa na walinzi wa Mbowe. Aeleza Rushwa ya Freeman Mbowe ilivyokwamisha Uchaguzi Mkoa wa Njombe usifanyike

    https://youtu.be/pfMrZF7ISCc?si=WHSR_MisNg9yIa0e Sikuwahi kufikiri wala kumuona huyu dada kuwa kumbe ni jembe kiasi hiki... Cha ajabu eti Freeman Mbowe anamfanyia figisu figisu asiwe mwenyekiti wa chama mkoa wa Njombe - CHADEMA.. Honestly, simulizi yake hii kumhusu Freeman Mbowe inachukiza na...
  14. Waufukweni

    Vipigo vikubwa vya Mbwa Mwizi katika hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika tangu 1998-2025

    Katika historia ya Hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika, kumekuwa na matokeo ya kushangaza yaliyoweka rekodi za ushindi wa mabao mengi. Hapa ni baadhi ya ushindi wa tofauti kubwa zaidi katika historia ya mashindano haya: Mwaka 2019: • TP Mazembe 8-0 Club Africain Mwaka 2023: •...
  15. K

    Busara za kondoo kwa mbwa mwitu!

    Busara ya Mbowe kwa Samia ni sawa na busara ya kondoo kwa mbwa mwitu. Ambayo kondoo ameishia kuliwa na Mbwa mwitu. Mbowe na siada za ukondoo kwa watu na mafisadi wa nchi hii haziwezekani. Nchi inahitaji Mbwa mwitu wengine kupigania kondoo sio vinginevyo. Hili ni fundisho kuna wakati hutakiwi...
  16. Magical power

    Taja jina moja la mbwa hapo 😂

    Taja jina ya mbwa Moja hapo 😂
  17. Yoda

    Wamiliki mbwa mijini huwa wanawapeleka wapi wanapozeeka?

    Wamiliki mbwa hasa wa mjini wanaofuga mbwa kama pets au kwa ajili ya ulinzi ndani ya mageti katika nyumba zao huwa wanawapeleka wapi hao mbwa wanapozeeka? Huwa sioni mbwa wazee katika nyumba za watu!
  18. M

    Mbona Wenje anatoa siri za Kamati upande wa pili wanamwona shujaa akisema Lissu mnasema mropokaji kweli Mbwa akipoteza uwezo wa kunusa anaelekea kufa

    Mhe Tundu Lissu akisema mambo ya Kamati kuu kwenye media anaitwa mropokaji, Mjumbe wa Kamati Mhe Ezekiah Wenje akitoa siri hizo hizo anaoneka shujaa Siku zote Mbwa akipoteza uwezo wa kunusa jueni kabisa anaelekea kufa.
  19. CARIFONIA

    Maajabu ya Mbwa Mwitu

    🐺 Mbwa mwitu hali mizoga, iwe ya wanyama au ya binadamu huishi maisha yake yote na mwenzi mmoja, na hafanyi mapenzi na mama yake au dada yake. Ni mnyama anayejitoa kwa mwenzi mmoja (monogamous) na hacheat. Ikiwa mwenzi wake anakufa, mbwa mwitu hubaki peke yake. Anawajua vizuri watoto wake...
  20. Pang Fung Mi

    Tetesi ya kibabe: Katavi kimewaka inasemekana Mkuu wa kituo kachezea kichapo Cha mbwa koko

    Kasongo mbona wewoo, mobali Nangaa, habari za tetesi huko Katavi inasemekana hivyo Mkuu wa kituo cha POLICE kapigwa kama zote na wananchi wenye hasira Kali na machungu kama yote. Baada ya uthibisho neno tetesi litaondoka. Habari ndio hivyo Pang Fung Mi
Back
Top Bottom