Safi sana Algeria kwa kipigo cha mbwa koko dhidi ya Niger, mmepiga pira la kiume mammae kama kawaida yenu, mpira mnaujuwa adi mnakera 😄,, hawa washkaji wanapiga soka acha kabisa bandugu, wanacheza kwa akili nyingi na kwa ushirikiano, unaweza sema hawaishi afrika hawa njemba. Soka lao lakipekee...
Gari ni Yutong nzuri, gari inasimama kila kituo, inachukua hadi abiria wa buku 2. Wanaenda wanavyotaka, wanaweza wakasimama tu bila sababu ya msingi. Kahama tumetoka saa 12 ndo tunaingia Dodoma hapa.
Hakuna abiria ametoka Kahama na hii gari anaweza kuipanda tena hata kwa bure.
Bondia Hassan Mwakinyo amesema Kwamba hawezi kupigana kugombania gari kwasababu hana shida ya gari kwani ana magari matatu na kati ya hayo kuna moja anatumia kupeleka Mbwa wake Baharini kuogeshwa.
Huyo ndo Mwakinyo bwana Mdigo mwenye maneno yake.
Bado mnataka apigane na Twaha Kiduku?
Leo hii mimi mwenye akili timamu namshangiliaje Haji Manara? Huyu mshenzi ambaye alitutukana kwa kila tusi aliloweza kututukana leo hii sisi wenye akili tubebane naye?
Haya ni matusi. Na kutuaminisha alichosema Luc Eymael kuwa ni sahihi...Sisi ni Nyani au Mbwa. Na hili sitokubaliana nalo.
Kuna...
Nimesikitishwa na kitendo cha Polisi kutumia mbwa dhidi ya Chadema.
Kwa sisi wenye umri mkubwa kidogo tunakumbuka picha za Polisi wa makaburu wa Afrika Kusini.
Friends and Enemies,
Kuna msemo unasema kwamba kumrushia jiwe kila mbwa anayebweka barabaran huwezi kufika safari yako,
Vipo vitu vya msingi vya kulumbana na Serikali,kama hivi ongezeko la gharama za tozo za miamala, kupanda mafuta na gesi,labda Tume Huru ya Uchaguzi na kadhalika.
Lakini kukaa...
Samahani naomba mnisaidie ni sumu ipi inaua mbwa maana wanakula vifaranga na wanaingia ndani kula mayai, nilimtega kwa sumu ya panya anapeta tu mtaani
Nahitaji msaada wenu maana nikimuacha atamaliza kuku wangu.
1. ufugaji wa kuku. Ufugaji wa kuku wa kienyeji ama kuku wa kisasa. Faida zake zinatokana na uuzaji wa mayai, nyama ya kuku, kuku wenyewe, vifaranga, mbolea n.k
_ Ndege wengine wenye faida kama za kuku ni kanga, bata wa aina tofauti, njiwa, kware n.k
2. Ufugaji wa mbuzi. Mbuzi faida zake...
Kituo Cha Marekani cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimetangaza marufuku ya mwaka mmoja ya kuagiza mbwa kutoka nchi 113 kwa kuhofia ugonjwa wa kichaa cha mbwa.
Marufuku hiyo inahusisha mbwa wote, pamoja na wale wanaotumika kutoa msaada wa kifikra kwa wanaohitaji usaidizi wa wanyama hao na...
Mwanzo, hatukuwatambua tulijua ni washirika wenzetu wazuri tunaosafiri kwenye safina moja kuelekea nchi ya maziwa na asali, Kaanani yetu. Kwa jinsi walivyokuwa wanasifu na kuabudu pamoja na kupanda kwenye madhabahu mbalimbali kutoa mahubiri ya kutujaza imani, kweli tulijua ni kondoo wazuri...
Mzee Muroto nakukumbusha muda wa kutoa amri umekwisha rasmi umeingia kupokea amri. Umestaafu ukiwa umejikita zaidi kutetea chama kuliko Jeshi, nikuombe uwasiliane na chama kione wataweka utaratibu gani wakukuwezesha kuwahi kuamka kwenda sehemu kujikeep busy.
Nakukumbusha pia kwamba maisha mapya...
Wakuu uzi huu nimewaletea kwa kuwa na uhakika jibu nitalipata kwenye hadhra hii ya JF kwa vile yenyewe ni JUMUISHO la FIKRA(JF).
Bila kupoteza mda suali langu ni hivi 1)badala ya mbwa kuna viumbe wengine wanaochelewa kutoa shahawa wakati wa kuingiliana?
2) Kitu gani kinachosababisha mbwa...
Rwanda na Ujerumani wamesaini makubaliano ya ushirikiano katika mradi wa kutumia mbwa kuwatambua walioambukia virusi vya Corona.
Makubaliano hayo yamesainiwa kati ya Balozi wa Rwanda nchini Ujerumani Dkt. Thomas Kurz na Mkuu wa kituo cha kitaifa cha utambuzi wa utambulisha wa watu (RBC) Dkt...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.