mbwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Content

    INAUZWA Mbwa anauzwa

    Habari zenu wadau, mbwa anauzwa sh 350,000 . Nipo mikocheni dar es salaam . Kwa anae hitaji Karibu pm kwa maelezo zaidi
  2. BARD AI

    Usipochanja Mbwa, Paka faini Tsh. Milioni 10 au jela mwaka mmoja

    Ili kudhibiti kuenea na kusambaa kwa ugonjwa wa kichaa cha Mbwa sheria inasema kila mfuga mbwa au paka kumchanja ili kuzuia kichaa cha mbwa na endapo hatozingatia basi adhabu yake ni faini ya kati ya Shilingi 500,000 hadi Shilingi milioni 10 au kifungo cha mwaka mmoja jela. Mkurugenzi wa...
  3. JanguKamaJangu

    Kichaa cha mbwa hakitibiwi kwa jadi

    JAMII imeaswa kwenda kupata huduma za tiba ya kichaa cha mbwa kwenye vituo vya kutolea huduma za Afya badala ya kwenda kwa waganga wa jadi, hali inayoweza kusababisha vifo visivyokuwa vya lazima. Hayo yamebainishwa na Ofisa mifugo kata ya Sofu,Grory Amos,wakati akitoa elimu ya umuhimu wa chanjo...
  4. BARD AI

    Mbwa 20 wenye gharama zaidi duniani

    1. Tibetan Mastiff - $3,000–$5,000 2. Black Russian Terrier - $3,000–$5,000 3. Samoyed - $2,500–$5,000 4. French Bulldog - $2,500–$4,000 5. Löwchen - $2,500–$4,000 6. Cavalier King Charles Spaniel - $2,500–$3,500 7. Bernese Mountain Dog - $2,500–$3,500 8. Biewer Terrier -...
  5. N

    Siyo kila misemo ya kurukia,hakuna mbwa albino

    Haijawahi kuthibitishwa kuwepo na mbwa albino So unapokuwepo kwenye papatupapatu zako za kutukana na kudhalilisha watu ambazo ndizo zinakuweka mjini elewa hilo Siyo kila mtu wa kusema niite mbwa nimekaaa pale,wako mbwa wanene wenye kilo 800 ila hamna albino na mbwa wote wana uwezo wa kukaa...
  6. M

    Sensa ya Watu na Makazi: Tuliulizwa kama unafuga ng'ombe, mbuzi, kuku. Lakini kwanini hatukuulizwa kama unafuga Nguruwe na Mbwa?

    Ina maana kama Taifa hatuhitaji kujua hali ya ufugaji wa huu mfugo utupatiao kitimoto kilicho mkipenzi cha wengi? Je, hakuna mpango wa kuendeleza ufugaji wa nguruwe? Je hakuna haja ya kujua tuna mbwa wengi kiasi gani? Kama ni hivyo tutapangaje mpango wa kuwachanja mbwa dhidi ya kichaa cha mbwa...
  7. Sildenafil Citrate

    WHO: Hatushangai kuona maambukizi ya kwanza ya homa ya nyani (Monkeypox) kutoka kwa binadamu kwenda kwa mbwa

    Shirika la Afya Ulimwenguni limesema kuwa halijashangazwa na ripoti ya kwanza iliyotolewa hivi karibuni inayoonesha kuwa mbwa ameambukizwa ugonjwa wa homa ya nyani kutoka kwa binadamu aliyekuwa anaishi naye. Kwa mujibu wa Dr. Rosamund Lewis, kiongozi wa jopo linalofuatilia kwa ukaribu ugonjwa...
  8. Da Vinci XV

    Werewolves, binadamu wanaoweza kujibadilisha na kuwa mbwa mwitu

    SEHEMU YA I (Vitu vyote visivyo vya kawaida vina maelezo yake ya kisayansi, maana kufanya hivyo huondoa fumbo lilipo juu yake.) NB: Makala haya yanaweza kwenda tofauti na unakiamini au Unachokifahamu si mbaya kuongeza kitu KILA KUNDI KATIKA JAMII TOFAUTUTOFAUTU, LINAAMINI KWA NAMNA YAKE, wako...
  9. C

    SoC02 Tutoe elimu ya kupinga mbwa kabla hawajawa wengi

    MAANA YA MBWA KIBIBLIA. Katika maandiko matakatifu neno Mbwa limetumika likiwa na maana mbalimbali, kama Mbwa mmnyama(marko 7;28) na Mbwa binadamu (ufunuo 22:15) na kadhalika. Neno la mungu linatuambia tujihadhari na mbwa! Wafilipi 3:2 . Je Mbwa ni watu gani kwa mujibu wa maandiko...
  10. Abdideol

    SoC02 Hata Mbwa Mwitu Pekee Kama Mimi Anahitaji Jumuiya

    Watu werevu na waliofanikiwa zaidi ninaowajua wanatafuta jumuiya kwa bidii. Wanaajiri makocha, wanajiunga na vikundi vya mitandao rika, huchukua likizo na marafiki na wafanyakazi wenzao, na kujenga jumuiya yao kikamilifu. Ninasema hivi kama mtu ambaye kijamii amefanya machache kati ya haya...
  11. Akilihuru

    Picha: Jamaa anaswa akichinja mbwa kwa ajili ya kuwauzia watu mishikaki

    Habari zenu wana JF. Pichani hapo jamaa aliekamatwa akichinja mbwa, akiwa na mbwa huyo, ameshamchinja tayari. Akijiandaa kwenda kumchuna na kumkatakata mishikaki. Wazee wa kupenda mishikaki pili pili, muwe makini na wauzaji wenu. Kuna siku watu wataanza kulishwa na paka aisee.
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    Upendo ni lugha ya vitendo sio ya maneno matupu, kama huamini mwambie mbwa I LOVE YOU kama atakuelewa

    Upendo ni jambo adhimu sana ambalo sisi wanadamu ni lazima tulifanye, sio tuliongelee tu. Mbwa ukimwambia I LOVE YOU hawezi kukuelewa. Ila ukimuonyesha upendo atakuelewa sana, na atakupenda pia. Je, huyo unayemwambia unampenda, je unamuoneshaje huo upendo? 1 KOR 13 Karama ya Upendo...
  13. gimmy's

    Waziri Ummy Mwalimu, waeleze wananchi kwamba ugonjwa uliogundulika Lindi ni rahisi zaidi kusambazwa na mbwa pia

    Salaam, Hivi majuzi kulitokea taharuki ya ugonjwa uliosababisha sintofahamu kwa wakazi wa Lindi baada ya kusababisha vifo vya watu kadhaa. Dalili zilizoonekana kwa wagonjwa ilikua ni pamoja na homa kali,kuumwa viungo vya mwili pamoja na kutokwa na damu puani. Mwanzoni ugonjwa huu haukuweza...
  14. Tulip22

    Elimu ya magonjwa ya mbwa (LEPTOSPIROSIS) 01

    Habari wa kuu, naomba kushea pamoja nanyi maarifa juu ya ugonjwa wa mbwa ambao hua haupewi kipaombele sana na wafugaji wengi. Lakini unaweza pelekea kupoteza maisha ya mbwa endapo hatua stahiki hazitachukuliwa. Aidha nitakua nikitumia jukwaa hili kushea nanyi taarifa mbali mbali zinazo husu...
  15. sinza pazuri

    Zuchu ataweka rekodi mpya kwenye project yake mpya ya 4-4-2

    Zuchu anaenda kuachia project mpya ya 4-4-2. Kama kawaida queen huyu wa bongofleva na msanii namba moja wa kike Africa mashariki na kati anaenda kuandika rekodi mpya kama kawaida yake. Huyu mtoto ni wamoto sana na anaubeba kwa mikono miwili muziki wetu wa Africa mashariki ndio maana sina shaka...
  16. More Chances

    Nikiomba tena ajira niiteni mbwa nimekaa paleee

    Nimekosa tena ajira ya ualimu kipindi ambacho naiihitaji mno, Pdf zima limejaa certificate na diploma sisi bachelor sjui tukale wapi? Kungekuwa kuna namna ya kuibadilisha degree kuwa certificate ningefanya hivo ili mradi nizame ajirani. Nimeamua kuachana kabisa na huu ujinga wa kuifikiria...
  17. L

    “Mgahawa wa Mbwa" huko Dubai

    Tarehe 30 mwezi Mei, 2022, huko Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), kuna mgahawa ambao hutoa vitafunio, keki na vyakula vingine kwa mbwa wanaofugwa. Wamiliki wa mbwa hupeleka wanyama wao vipenzi na kufurahia chai ya alasiri.
  18. Ofsa Kidali

    Mbwa kujisalimisha kwa chatu

    Habari za muda huu wakuu, hongereni kwa mapambano ya usiku na mchana kuendelea kuifanya nchi yetu na dunia kwa ujumla kuwa sehemu bora na salama. Iko hivi, nina mpango wa kufuga mbwa shambani kwa sababu sio siku nyingi nitaweka mifugo mingi kiasi lakini bado hakuna uzio(fence), sasa kuna jamaa...
  19. Kiokotee

    Msaada: Mbwa akilishwa Sumu huduma ya kwanza ni kufanya nini?

    Jirani yangu Mbwa wake Vibaka wamemuwekea sumu, amekufa anamuangalia hajui afanyeje! Nahofia na mimi hawa wa kwangu, maana wananisaidia sana na Hawa panya road wa kitaa.
  20. gimmy's

    Naomba kuuziwa mbwa kwa bei ya kawaida

    Salaam wanabodi, Ndugu zangu hasa kwa wale wapenda mbwa wenzangu watanielewa uchungu wakupoteza mbwa. Leo ni siku ngumu sana kwangu kwani nimefiwa na mbwa watatu kwa mpigo ndani ya siku mbili nikahisi kuchanganyikiwa. Mbwa walionesha mwenendo usioridhisha kiafya kwa takribani kama wiki moja...
Back
Top Bottom