Bonobo!
Canis Lupus Familiaris ndiyo jina la hii specie tunayoijua na kuipenda..Almaaruf kama Mbwa!!
Wengi mkiulizwa mbwa wametokea wapi kwa haraka haraka mtasema waliumbwa na Mungu.
Lakini kama maswali mengi kwenye hii dunia, majibu yake huwa sio rahisi kihivyo. Leo tuingie deep zaidi ya...
Huyu mbwa maarufu kama Basenji(Mshenzi) ni mbwa mwenye asili ya africa ya kati. Wazungu walipomuona kwa mara ya kwanza walisema ni mbwa wa wenyeji na wenyeji waliitwa washenzi ni mbwa ambaye habweki, anatoa tu sauti tofauti. nyingine ni ile analia kama king'ora usiku. wabongo wanasema huwa...
Karibu sana mgeni! Usiogope Mbwa wangu hawang'ati!
Hii kauli huwa unaiamini asilimia ngapi ? Kuwa tu mkweli kabla sijakwambia jambo!
Usisahau!
Kuna wanaong'atwa na mbwa wao wenyewe! Mfano kingunge, na mwingine south!
Offcourse tunajua kuna tofauti kubwa kati yao na sisi hasa linapokuja suala la asili yao, Lakini kweli wakatae hata undugu wa kiafrika kwamba wapo nasi ndani ya bara la Africa?
Morocco wametukataa, yaani wanaona wao siyo ndugu zetu ni kwamba tunajipendekeza. Basi ndiyo tumekoma hatujipendekezi...
Siku moja mbwa wa uswazi akiwa kakonda na manyoya yamenyonyoka kwa kukosa matunzo, alianza kukatiza mitaa akitafuta msosi.
Mbwa huyo alizunguka sana ghafla akajikuta ushuani. Akamuona mbwa wa ushuani akiwa kanona kweli kweli. Shingo shongo na manyoya yake yana afya nzuri na masafi haswa lkn...
Habari za wakati huu waungwana!
Mbwa ni mfugo safi, muhimu sana, askari mbadala.
kila mtu yampasa afuge mbwa..
Mimi napenda sana mifugo,
Huyu mnyama mlinzi bora (mbwa) nampa kipaumbele sana!
sasa, sitaki mbwa wangu awe kama wale wengine wa mtaani, nataka mbwa bora.
-asiwe mjinga mjinga
-hali...
Hiki kituko kilinitokea miaka kadhaa iliyopita, nilikuwa dingi tayari sema ujana ulikuwa mwingi sana hadi kujisahau🤣 lakini kwa sasa mimi ni ustaadh hizi zimebaki hadithi tu.
Kuna sehemu nilikuwa na project kwenye kampuni moja hivi. Kila siku kabla ya kuingia lango kuu nilikuwa na utaratibu wa...
Tupate habari kamili. Katika jambo ambalo limeonesha kushangaza baadhi ya watu na wenyeji kutoshangaa sana ni tukio la kisayansi ambalo limetokea baada ya mtoto mmoja kurusha jiwe kwa mbwa na hatimaye mkono huo kuganda.
Tukio hilo limetoka Katika Kijiji cha Nansio Wilaya ya Ukere Mkoa wa Mara...
Kijana huyo ambae hajafahamika majina alimponda mbwa na jiwe jana usiku majira ya saa 2 usiku.
Tukio hilo la kustaajabisha liliyokea/limetokea Ukerewe Nansio maeneo ya Bakwata (Musoma road) mwisho wa lami.
Picha kukujia punde
Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja.
Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa.
Asubuhi ya leo akaenda...
Kwa kuwa sisi ni wakristo ni kwamba sisi tunafata nyayo za Yesu Kristo. Ni vipi kitu ambacho hakusema Yesu Kristo kinawekewa mabano ya kuweka uchambuzi wa maono ya waliotafsiri biblia? mbaya zaidi kuna biblia hata hayo mabano hayamo, uchambuzi umeunganishwa kuonekana ni maandiko matakatifu...
Na. M. M. Mwanakijiji
Unaweza ukakuta mbwa asiyebweka; unaweza kukuta mbwa anayebwekabweka tu lakini hang'ati. Kuna mbwa mwingine ukimtazama tu unajua huyu "shughuli". Na unaweza kukuta mbwa wanaopenda kucheza cheza; hawafoki, hawabweki, wapo wapo tu ila wanaona raha kuita "puppy, puppy"!
Siyo...
Wasalaam ndugu wana JF
Kwa almost miaka 12 iliyopita, ninaishi katika eneo ambalo inasemekana lina mauza uza japo binafsi sikuwahi kuyaona kwa macho, ingawa nishaua wanyama ambao wamekuja kiajabu ajabu mara nyingi sana kama nyoka, ndege n.k
Katika eneo langu, ninafuga Mbwa, ninao mbwa 5...
Nataka nifuge pet ikiwa ni kama kiumbe alieumbwa kutoka kwa muumba alietuumba hata sisi wanadamu na vingine vilivyomo ndani ya dunia.
Nao ni viumbe kama sisi wala si wa kuchukiwa, kunyanyaswa, kudharauliwa, n.k. kufanya matendo haya mabaya kwao ni sawa na kumdharau muumba aliyewaumba...
Habari za leo, bila shaka utakuwa umeshuhudia ongezeko la vijana wanaojiita mbwa wamekaa paleee.
Nini kifanyike kuwapunguza? Wizara inayohusiana na mifugo ina taarifa ya ongezeko la aina hii mpya ya mbwa?
Hii nchi Ina vijana wa hovyo sana.
Mbwa mmoja wa Polisi aitwaye Zanjeev amekuwa mbwa wa polisi nchini India kwa miaka mingi.
Amewasaidia polisi kutatua kesi nyingi za jinai ambazo bila yeye wangeshindwa kuwatia hatiani wahalifu.
Lakini tukio lililompa umaarufu mkubwa ni wakati magaidi toka Pakistan walipotega mabomu mjini...
Kufuatia kadhia mbalimbali zinazoendelea kwa wakazi wa ukanda wa Afrika mashariki kutoka nchi za kiarabu.
Bunge la kenya linategenea kupitisha azimia ka kupiga marufuku raia wao kwenda nchi za kiarabu kufanya kazi za ndani.
Majuzi hapo kuna video ilitapakaa kwenye mitandao ya kijamii...
Naam, Njaakalihatari nakuletea habari mpasuko kwamba Young Africa ya Jangwani na Salamander imepigwa faini ya USD 148,000 kwa kumuachisha kazi Kocha Luc Eymael bila kufata taratibu.
Faini hiyo inatakiwa ilipwe siku 45 kuanzia leo la sivyo watafungiwa kusajili kwa misimu 3!
Yanga instructed...
Wakuu
Nimekuja hapa nina andika kwa ghadhabu kidogo 🙁
Kuna watu wanasema Uchawi haupo ila upo na unakera haswa hatukatazi watu kufanya mambo yao ila si mambo ya kuchezeana miili ni jambo linalokera sana.
Kuna mambo unafanyiwa usiku ya ajabu ajabu sawa unaamka ila unakuta mwili wako unafanyiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.