Usiku wa kuamkia Leo, muda ya saa Saba usiku, nikiwa na mwanangu wa chuo kikuu cha UDSM, mke wangu, Binti wangu wa sekondari na mtoto wa kaka yangu tulikiwa tunatoka hotelini, tunalisogelea gari letu lililokuwepo maeneo ya maegesho ya Golden Tulip, Oyster Bay.
Mwanga wa eneo la maegesho...
Alinifata akiniomba msaada nimpe sehemu ya kujihifadhi, ndani ya siku 5 jasusi nilikuwa nimeishausoma mchezo, Manka anasoma game jinsi atakavyonipiga tukio, ilinibidi nipindue meza haraka sana .....
Step alizokuwa anazipitia Manka ili anipige tukio...
Wananzengo hamjambo?
Humu kuna watu huwa wanakula panya, mbwa, punda, mende, mijusi, kenge na viumbe wengine wa ajabu ajabu.
Ebu tuambieni, mnavyokuwa mnawala huwa mnahisi ladha gani?
Inawezekana sisi tunawaogopa bure, huku nyie mkifaidi peke yenu kula vitu vyenye ladha nzuri.
Tushawishini...
Kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu kufuga mbwa kwa ajili ya ulinzi majumbani, hii inapelekea watu kununua mbwa tu bila kujifunza tabia za mbwa kama unavyojua kuna aina mbali mbali za mbwa na wote wana tabia tofauti
Mbwa wengine siyo mahsusi kwa ulinzi wa majumbani. Ni vyema ukajifunza tabia...
sio mimi wa kwangu ila mimi ninkama mtu wa kati tu kuna rasi mmoja anavyo anauza 20000 tu ila naye cha juu changu hapo tufanye 30000 GO AWAY.
Nakutumia kutokea Mtwara wewe kazi yako kuwapokea dar tu ni wazuri sana mimi nimekachukua kamoja kadume bado sijakatungia jina.
Any suggestions?
Bilionea wa India, Ratan Tata, aliyefariki mapema mwezi huu akiwa na umri wa miaka 86, ameacha kiasi "kikubwa" cha utajiri wake wa pauni milioni £91 kwa mbwa wake mpendwa, Tito.
Ratan Tata, magnate wa biashara anayesimamia chapa za Jaguar, Land Rover, na Tetley, kupitia wosia wake amemwacha...
Nlisema siku ile kuwa kile kimya cha Israel ni kibaya kuliko kujibu kwake kwa haraka.nikamwambia mtu mmoja humu Ritz na ile ID yake nyingine na madogo Adiosamigo na Webabu kuwa waombee Israel ajibu kwa haraka. Itakuwa afadhali.
Nliwaambia kukaa kimya kwa Israel baada ya kuchokozwa ni kubaya...
Nimefuga mbwa wawili, kuanzia mwaka Jana, mbwa wangu hawabweki, hawana utisho, na wakiona mgeni huuficha mkia kwenye uvungu wa paja na kisha kakimbia kwenda kujificha.
Tabia ya mbwa hawa inanisikitisha sana na kunifedhehesha sana mtaani kwetu. Msaada tafadhali
Wakuu nisaidieni kujua kuhusu hili.
Ila pia kama ni kweli nisaidie kujua, masega hayo unayapikia pamoja na nyama ya umbwa au baada ya kuandaa chakula ndio unaweka masega hayo.
Karibuni.
Kichaa cha Mbwa ni ugonjwa hatari unaosababishwa na kundi la virusi waitwao Lyssa (kuna virusi wa Rabies na virusi wa Australian bat wote hawa huleta ugonjwa huu).
Ugonjwa huu huwapata binadamu kwa kuumwa na mnyama Kama Mbwa, Mbwa mwitu, paka, Fisi, popo na wengineo wa jamii hiyo mwenye virusi...
Mojawapo ya mjadala mkubwa jana katika mdahalo wa wagombea urais wa Marekani ni tuhuma za Donald Trump ambazo zinaungwa mkono na wanachama wengi wa Republicans kwamba wahamiaji wanawinda/wanaiba na kula pets(paka, mbwa na bata wa urembo) wa wenyeji huko Marekani.
Je tuhuma hizi ni za kweli?
Mara nyingi binadamu anaongea ya moyoni wakati wa utani, akiwa ana hasira, amelewa au akiwa na furaha sana.
Hivi karibuni kuna sentensi tata imetoka kwa mkuu akisema mbwa mpumbavu anabwekea maendeleo yeti. Bila kumtaja jina, watu wengi wanabaki wanajiuliza, ni nani? Wengi tunadhani ni TAL...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.