Baada ya kupoteza pambano lake dhidi ya Mzambia Mbachi Kaonga, Dullah mbabe alifanya mahojiano mafupi na vyombo vya habari.
Mwandishi: Ulilionaje Pambano?
Dullah: Lilikuwa gumu, siko sawa, siko fit nina 'hogo' (Akaonesha picha katika simu), nilikuwa kwenye matibabu kwa miezi sita. Tunapigana...