Klabu ya Paris Saint-Germain imeanza mazungumzo na Manchester United kwa nia ya kumsajili mshambuliaji wa timu hiyo, Marcus Rashford.
Licha ya taarifa hizo inadaiwa kuwa Rashford mwenyewe ana furaha kuendelea kubaki Manchester United, lakini bado PSG mpango wao ni kukamilisha usajili huo kabla...