mchakato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. adriz

    Mchakato wa kubadilisha combination na shule kwa waliomaliza kidato cha Nne mwaka huu umeanza tayari

    Habari za mchana Wana Jf. Kuna mdogo wangu amefaulu kidato cha Nne nataka nimbadilishie shule na combination alizochagua awali huko Shuleni baada ya yeye kuja na mapendekezo mapya Muda sasa tokea mwaka 2018 umekuja utaratibu mpya wa online unao muwezesha mwanafunzi kubadilisha shule ...
  2. Just Distinctions

    Mliopangiwa kazi Serikalini kupitia Mchakato wa 'Database' ya Utumishi, njooni mtoe Experience yenu

    Habari za wakati huu, suala la kusaka ajira za serikali haijawahi kuwa jambo rahisi kwa wale ambao hawana kazi hata wale ambao wapo kwenye private ila wanataka kuingia serikalini kwa ajili ya security na vitu kama hivyo. Uchache wa nafasi hufanya wengi wafunge safari hivyo hivyo kwenda Dodoma...
  3. S

    Hatua ya Pili ya Mchakato wa Ajira ni Kuandaa Tangazo la Kazi

    - Tangazo la kazi huandaliwa kwa kuzingatia sifa kwa mujibu wa Muundo wa kada husika uliowasilishwa na Mamlaka ya ajira husika. - Tangazo pia huzingatia masharti ya jumla yanayotolewa na Sekretarieti ya Ajira ambayo yanatafsiri Sera, Sheria Kanuni na Miongozi mbalimbali inayohusu michakato ya...
  4. S

    Nini maana ya mchakato wa ajira?

    Mchakato wa ajira ni utaratibu wa kupata mtumishi wa kumwajiri. Mchakato huu unaanza katika hatua ya kupata kibali cha ajira, kutoa tangazo la ajira, kupokea maombi ya kazi,kufanya uchambuzi wa waombaji kazi ili kupata wale waliokidhi vigezo, kuita waombaji katika usaili, kuendesha usaili...
  5. The Sheriff

    Matumizi ya Teknolojia ya Digitali Yanaifanya Elimu Kuwa Mchakato wa Kufurahisha

    Mifumo ya Elimu kwa Karne hii ya 21 inapaswa kutambua kwamba tunaishi katika mazingira yanayozidi kuwa ya kiteknolojia. Ubunifu na maendeleo ya kiteknolojia yanaendelea kubadilisha namna tunavyowasiliana, kufanya kazi na kuishi. Hata hivyo, wanafunzi wengi nchini Tanzania bado hawapati ujuzi wa...
  6. S

    Mchakato wa Ajira katika Utumishi wa Umma

    Ajira ni Mchakato ambao una hatua mbalimbali mpaka kumpata mtumishi wa Umma anayefaa. 1. Hatua ya awali kabisa ni kupokea Kibali. Kuna vibali vya aina mbili ambavyo hupokelewa kutoka Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi kwa ajili ya kuendesha mchakato wa Ajira kwa niaba ya Waajiri. Vibali...
  7. Analogia Malenga

    Machinga Kariakoo walalamika kutoshirikishwa katika mchakato wa kupata EFD

    Mkuu wa Machinga eneo la Kariakoo, Steven Lusinde amesema zoezi la kuwapatia mashine za EFD wamachinga walioko maeneo ya Kariakoo linatekelezwa bila kuwashirikisha bali wamepewa taarifa na Mamlaka ya Mapato (TRA) kuwa wanatakiwa kupewa mashine hizo za kikodi. "Niseme ukweli kwamba jambo hili...
  8. S

    Sakata la behewa na vichwa vya treni vilivyotumika: Iundwe Tume Huru kuchunguza mchakato mzima wa manunuzi

    Kwa yanayoendelea kuhusui sakata hili(mchakato wa manunuzi), ni vema ikaundwa Tume Huru kuchunguza mchakato mzima ulivyofanyika. Watanzania tunataka kujua kama sheria husika zilifuata na kama bei ni halali kulingana na mali ilioyonunuliwa. Kuna mambo tunasoma mitandaoni mpaka tunabaki midomo...
  9. BARD AI

    Waathirika ajali ya Precision Air waanza kulipwa fidia kwa siri

    Ikiwa zimepita siku saba tangu kutokea kwa ajali ya ndege ya Shirika la Precision Air na kusababisha vifo vya watu 19, shirika hilo limeanza mchakato wa malipo ya fidia kwa familia zilizoathiriwa na ajali hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatatu Novemba 14, 2022, Mkurugenzi wa...
  10. masai dada

    Mchakato wa kupitisha bidhaa za vyakula toka Kenya to Tanzania

    Jinsi ya kuingiza bidhaa za viwandani za vyakula. Kama mafuta ya kula na vinavyofanana na hivyo kutoka kenya. Ni nini unapaswa kufanya kabla hujaenda kuchukua na baada ya kununua unapita vipi mipakani. Kwa jumla anaejua process zote za swala hili
  11. comte

    Muungano wa vyama vya siasa vya upinzani 14 umeunga mkono ripoti Kikosi cha kazi, CHADEMA wapinga

    Dar es Salaam. Muungano wa vyama vya siasa vya upinzani 14 nchini umetangaza kuunga mkono ripoti Kikosi cha kazi kilichoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kutafuta na kuchakata maoni ya wadau kuhusu mfumo wa demokrasia, huku wakikosoa msimamo wa Chadema kupinga ripoti hiyo. Oktoba 21, kikosi...
  12. peno hasegawa

    CHADEMA: Kikosi Kazi kiliundwa ili kuchelewesha mchakato wa Katiba Mpya

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameitaka Serikali kuweka wazi gharama ambazo kikosi kazi kimetumia huku akisema hakukuwa na haja ya kuundwa kwa kikosi hicho kwa sababu kazi ya kutafuta maoni ya wananchi ilifanywa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyoongozwa na Jaji Joseph Warioba. Mnyika...
  13. F

    Mzee Kikwete: Mchakato wa Katiba Mpya niliufanya ikabaki kura ya maoni, kazi kwenu

    Ameyasema hayo leo akitimiza miaka 72. Rais mstaafu Jakaya Kikwete akihojiwa na clouds Media Group ktk kutimiza kwake miaka 72, amegusia Katiba Mpya. Amesema ameasisi Mchakato wa Katiba Mpya kwa kuunda tume ya maoni ya Warioba na baadaye Bunge la Katiba. Rasimu ilipatikana na ikabaki kura ya...
  14. MK254

    Mchakato wa kuingiza Ukraine ndani ya NATO waanza rasmi

    Ndani ya NATO kuna kinga, taifa lako likiwa ndani ya NATO, yaani Urusi hupita mbali na haiwezi ikakosea njia na kwa namna Urusi imedhihirisha udhaifu wake baada ya kushindwa kuparamia Ukraine licha ya kutumia nguvu nyingi sana, ni dhahiri kwa mataifa ya huko yakitaka amani ya kudumu yajiunge...
  15. Roving Journalist

    Tamko la TAPO la Wanawake na Wasichana: Haturidhishwi na kasi ya mchakato wa kubadilisha Sheria ya Ndoa

    TAMKO LA TAPO LA WANAWAKE NA WASICHANA KUHUSU MCHAKATO WA MABADILIKO YA SHERIA YA NDOA YA MWAKA 1971 Ndoa za utotoni ni tatizo kubwa nchini Tanzania linalo sababisha wasichana kutotimiza ndoto zao hasa za kielimu. Ndoa hizi mara nyingi husababishwa na hali duni za kimaisha, mila na desturi...
  16. N

    Mchakato wa Serikali kupunguza gharama za matibabu ya afya

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu imekuja na mpango wa "BIMA YA AFYA KWA WOTE" dhamira ya serikali endapo sheria ya bima ya afya kwa wote itapitishwa ni kuhakikisha wananchi wanapata huduma za afya bila kikwazo. Serikali imesema itaweka utaratibu wa kuchangia kwa kuzingatia...
  17. Roving Journalist

    Uzinduzi wa Ripoti ya Utafiti wa HakiElimu: Zaidi ya 80% ya Vijana walioko Shuleni hawajawahi na hawahamasishwi kushiriki mikutano ya Kampeni na Siasa

    Ripoti ya Utafiti wa Mchango wa Elimu ya Uraia Shule za Sekondari na Ushiriki wa Vijana katika Michakato ya Kidemokrasia imezinduliwa rasmi Dar es Salaam, leo Alhamisi Septemba 22, 2022 Kamishna wa Elimu Tanzania Dkt. Lyabwene Mtahabwa akiwa na baadhi ya wanafunzi wa shule za sekondari...
  18. N

    Mchakato wa Katiba Mpya upo njiani kutekelezwa

    Rais Samia Suluhu alisema atashughulikia suala la Katiba Mpya na kuna watu wengine wanahoji kwanini mchakato wa Katiba Mpya unachelewa. Sababu za kuchelewesha Katiba Mpya Rais Samia Suluhu anataka kila mwananchi ashiriki kikamilifu katika mchakato wa kuleta Katiba mpya kwasababu Katiba ni ya...
  19. Mwl Athumani Ramadhani

    Niishukuru Kamati Kuu ya CCM kuridhia mchakato wa Katiba Mpya uendele. Tanzania mpya itazaliwa na changamoto za kimfumo zitabaki historia

    Nawashukuru sana Ile Tanzania nilioiota KWA muda mrefu inaenda kutimia,kuanza KWA mchakato wa katiba mpya ni Nuru KUBWA kwetu!changamoto za kimfumo zinaenda kufa na Tanzania Mpya inaenda zaliwa rasmi! Niwaombe wadau wawape ushirikiano wa kutosha kikosi kazi cha mkandala Ili mchakato ukamilike...
Back
Top Bottom