mchakato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Black Butterfly

    Mdau: Serikali idhibiti vitendo vya rushwa katika mchakato wa kuwapandisha vyeo watumishi

    Hakuna jambo linaloweza kuchafua ufanisi wa taasisi au kampuni kama rushwa katika mchakato wa kupandisha vyeo. Ni jambo linalochochea malalamiko na kutia doa utendaji wa kazi. Leo, tunapenda kuangazia suala hili kwa dhati. Tunatambua kuwa kuna wafanyakazi wengi wenye vipaji na uwezo wa kipekee...
  2. Analogia Malenga

    Ujue mchakato wa kuwasilisha malalamiko katika Kamati ya Malalamiko ya TCRA

    Ikiwa umepata huduma mbovu ya kimawasiliano, iwe kwenye kisimbuzi au mtandao wa simu ambao wote wanaratibiwa na TCRA. Ziko hatua kadhaa za kufuata ili uweze Kamati ya Malalamiko ikusikilize. 1. Kwanza ni kuwaambia kampuni yako (i.e tigo, voda au azam) ili muelezane vizuri 2. Mkishindwana hapo...
  3. Angyelile99

    Mchakato wa upatikanaji wa madereva walio bora na smart zaidi

    Kati ya maeneo ambayo serikali inatakiwa kuendelea kutokea macho ni pamoja na usalama barabarani, sio tu kwa kuweka idadi kubwa ya askari wa usalama barabarani, wala sio tu kuhakikisha kila dereva eliyepo barabarani basi awe na leseni. Moja ya jambo kubwa ambalo serikali inatakiwa kulitolea...
  4. Mr Lukwaro

    Tetesi: Mchakato wa kumtangaza Mwalimu J.K Nyeree kuwa Mtakatifu

    Mchakato wa kumtangaza Mtumishi wa Mungu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kuwa Mwenyeheri na hatimate Mtakatifu unaendelea na kwa sasa uko chini Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania. KANISA Mchakato wa Mtumishi wa Mungu Mwl. J.K. Nyerere unaendelea! Mchakato wa kumtangaza Mtumishi wa Mungu...
  5. Mpinzire

    Kitendo cha CCM kutaka kuhodhi mchakato wa Katiba kama walivyofanya mwaka 1977 na 2014 kitasababisha tushindwe kupata Katiba Bora.

    UPATIKANAJI WA KATIBA YASASA (1977) Historia inatunesha Katiba hii ya tuliyonayo ya mwaka 1977 ilipatikana kutokana na tume ya Rais iliyokuwa nawajumbe 20, kwa idadi sawa toka pande zote za muungano ikiongozwa na Sheikh Thabit Kombo akisaidiwa na Pius Msekwa kama katibu wa tume hii ya Rais. Hata...
  6. R

    Mchakato wa mabadiliko Simba umekwama

    Huko Simba mambo bado, juu ya ile ishu ya mabadiliko ya klabu hiyo ili iendeshwe kwa mfumo wa hisa ambao mchakato wake ulianza tangu mwaka 2017 umekwama ikielezwa tatizo likiwa ni katiba ya klabu hiyo, kiasi cha Ofisi ya Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) kurudisha mpira Baraza la Michezo la...
  7. JanguKamaJangu

    LHRC, THRDC na JUKATA wasema Kutoa elimu ya Katiba kwa miaka mitatu, itafika 2030 bila Katiba mpya

    Wanaharakati wa Katiba na Haki za Binadamu wamekosoa kauli ya Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro juu ya kutoa elimu ya Katiba kwa kipindi cha miaka mitatu, wakidai mpango huo unalenga kuchelewesha mchakato na upotezaji wa fedha za umma. Tamko hilo limetolewa na Kituo cha Sheria na...
  8. R

    Spika Tulia Ackson azuia Mjadala wa Sakata la Bandari Bungeni, asema Bunge lilishatoa maamuzi

    Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amezuia mjadala wa sakata la bandari kuzungumzwa bungeni lakini akaruhusu kuwa litakapokuja kwa utaratibu mwingine wa kibunge itakuwa ruksa. Spika Dk Tulia ametoa kauli hiyo leo Jumanne Agosti 29,2023 muda mfupi baada ya kipindi cha maswali na majibu ya wabunge...
  9. ChoiceVariable

    Serikali kuendelea na uwekezaji wa Bandari na DP World kama ilivyopangwa

    Licha ya Makelele ya TEC na Chadema ila Msemaji wa Serikali bwana Msingwa amesema Serikali itaendelea na uwekezaji na DP World kama ilivyopangwa ila itazingatia maoni ya wadau. ======= SERIKALI KUENDELEA NA MCHAKATO WA UWEKEZAJI BANDARI NA DP WORLD Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Kila hatua...
  10. Mohamed Said

    Baraza Kuu la Waislam Tanzania latoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi na Katiba iliyopendekezwa

    Kwa Jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAM (T) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 17 Mfungo Sita 1436 9 Januari 2015 TAMKO LA JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAM TANZANIA KUPITIA VYOMBO VYA HABARI KWA WATANZANIA WOTE, JUU YA MUSWADA WA MAREKEBISHO YA...
  11. BARD AI

    Mchakato wa kumpata Mrithi wa Askofu Shoo kuanza hivi karibuni

    Safari ya kumsaka mrithi wa Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Fredrick Shoo, inatarajia kuanza wakati wowote kuanzia sasa wakati kikao cha Halmashauri Kuu ya Kanisa hilo kikitarajiwa kukaa ili kupokea majina matatu ya maaskofu waliopendekezwa kugombea wadhifa huo wa...
  12. MK254

    Ukraine waandaa mchakato wa kutumia kamikaze drones 10,000 dhidi ya Urusi, kama mvua vile

    Urusi ijiandae kwa mvua ya drones..... Warusi walikosea sana kuanzisha huu ugomvi bila kushirikisha ubongo..... Mykhailo Fedorov, Ukraine's Minister of Digital Transformation, has announced a UAH 235 million (US$6.3 million) fundraising campaign to buy 10,000 kamikaze drones. Source: Fedorov...
  13. J

    Mjadala wa ClubHouse ya JamiiForums: Kero ya Rushwa katika Umiliki wa Ardhi

    Umewahi kulazimika kutoa rushwa ili uweze kukamilishiwa mchakato wa kumiliki ardhi? Jiunge nasi Alhamisi, Agosti 10, 2023 Saa 12 Jioni hadi saa 2 usiku kupitia ClubHouse ya JamiiForums kujadili Vitendo na Mazingira ya Rushwa katika hatua za Umiliki wa Ardhi Nchini. Tutajadili Changamoto...
  14. comte

    Kinana atoboa siri ya mchakato wa maridhiano

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amewataka vyama vya upinzani nchini kuwa waungwana na wenye shukrani kwani Rais Samia amefanya mambo mengi mazuri hivyo anastahili kuheshimiwa. Akizungumza na wanachama wa CCM Mkoa wa Tabora, Kinana...
  15. D

    SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora: Msingi wa Mchakato wa Katiba Mpya Tanzania kwa Maslahi ya Umma

    UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA: MSINGI WA MCHAKATO WA KATIBA MPYA TANZANIA KWA MASLAHI YA UMMA Utangulizi Katiba ni waraka muhimu unaounda misingi ya utawala na uongozi wa nchi. Mchakato wa kuandika Katiba Mpya unapaswa kujumuisha uwajibikaji na utawala bora ili kuhakikisha maono ya taifa...
  16. M

    Mchakato wa Katiba mpya kuanza Sept. 2023. Baaada ya katiba mpya kupatikana Dp world wanafurushwa

  17. L

    “Kuondoa hatari” katika mchakato wa maendeleo ndilo jambo ambalo dunia inapaswa kufanya

    Mkutano wa 14 wa Baraza la Uchumi la Majira ya Joto uliofanyika hivi karibuni mjini Tianjin, China, umerejea katika mtindo wa nje ya mtandao baada ya kusitishwa kwa miaka mitatu kutokana na janga la COVID-19, na hivyo kuzusha matarajio mazuri kutoka pande mbalimbali. Tofauti na Mkutano wa...
  18. L

    Kampuni ya Huawei yatumia teknolojia yake kusaidia nchi za Afrika katika kuhifadhi matumbawe na wanyamapori

    Uhifadhi wa mazingira ya baharini na nchi kavu ni jukumu ambalo binadamu wanapaswa kulitia maanani sana. Tunafahamu kuwa bila kuwa na mazingira mazuri wanyama na binadamu wote watakuwa hatarini. Katika kutimiza wito huo, kampuni kubwa ya teknolojia ya China, Huawei, imekuwa katika harakati na...
  19. Pendaelli

    Nipo kwenye mchakato wa kukusanya audio clips na video clips za hotuba za Hayati Magufuli

    Binafsi huwa nikipata nafasi ya kusali siachi kumuombea pumziko jema huko alipo hayati Magufuli . Nimekuja kugundua baadhi hotuba zake nyingi zimekuwa mareje wakati huu tuliopo ingawa yeye aliongea jana! Wakati huu wa ukuwaji wa teknolojia huwenda zikaja futwa katika mitandao tukazikosa kabisa...
  20. Mama Edina

    Anayejua mchakato wa nyongeza ya mshahara 2023/2024 kwa kuwa kima cha chini kimetajwa kutoka 300,000/- Hadi 370,000/-

    Naomba wale wataalam wa kimahesabu watuchakatie tujue makisio ya ongezeko la mshahara mwaka 2023/2024 Tukiwa kwenye majukwaa kama hivi si mbaya kujua Kwa sababu iliishatangazwa kianzio kutoka 300k-370k TSH. Rejea hotuba ya waziri wa fedha bungeni. Sasa tujie hizi Naomba kuwasilisha
Back
Top Bottom