Ni kweli katiba mpya na bora inahitajika kulingana na mabadiliko ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kitekinolojia nchini na duniani kote. Inawezekana kabisa tangu 1977 nchi imepita kwenye changamoto nyingi za kiutawala, kiuongozi, kisiasa, kijamii na kiuchumi hivyo uwepo wa mahitaji mapya ya...