TANROADS YAPOKEA TUZO YA KIMATAIFA KUTOKANA NA MCHANGO WAKE WA KUBORESHA USALAMA WA BARABARA (SAFER ROAD)
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amepokea tuzo ya heshima katika mashindano ya kimataifa ya usalama wa barabara, iRAP Gary Liddle...
Bado nasema dube ni mshambuliaji mzuri pamoja na mapito anayopitia.
Mpaka sasa sidhani kama Kuna namba 9 kwenye ligi nzima mwenye mchango wa magoli kwenye timu yake anayemzidi dube!
Kama yupo nitajieni,,magoli 8 na asisti 7 ni jumla ya mchango wa goli 15 kwenye timu,,sio jambo jepesi...
Jumapili au Jumamosi funga ndoa kanisani rudi nyumbani na mwenzi wako muishi kwa amani na furaha. Nendeni ofisi ya DC fungeni ndoa mrudi nyumbani muishi kwa amani.
Au fungeni ndoa nyumbani kwa binti murudi nyumbani mukaishi kwa amani.
Kama unataka kufanya sherehe ruksa, fanya kwa uwezo wako...
MHADHARA: MCHANGO WA TABORA KATIKA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA (1945 - 1961)
Niko Tabora toka jana usiku.
Mwaliko wa Wazee wa CCM Tabora Kuadhimisha Kuzaliwa kwa CCM tarehe 5 February 1977.
Nimealikwa kuzungumza mchango wa Tabora katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Mhadhara unafanyika...
Kwa taarifa nilizonazo mpaka sasa zimeshawashwa mashine sita kati ya tisa zinazotarajiwa.
Hii ni hatua kubwa tumepiga kama nchi na ni vizuri tukaacha vizazi vijavyo nao kuutambua mchango mkubwa wa John Pombe Magufuli.
Na kwa kuwa yeye ndiye aliyependekeza jina la Nyerere basi nasi tuongeze...
Team,
Salaàm!
Mimi ni mtafiti mbobezi. Nimefanya hojaji na wanacdm wasiopungua 21
* 19 wamesema wanapenda TAL awe Mwenyekiti wao mpya;
* 01 amesema yeyote atakayechaguli kati ya wagombea watatu;
* 01 wagombea wote hawafai kwa kuwa kwa miaka takribani 5 inayoisha kulikuwa na migogoro mingi...
Niiteni masikini ila hii "money trap"
Hizi kweli sio njia za kutafuta pesa kimkakati..?
Mtu una life lako, umeshakuwa mtu mzima, alafu unapitishia watu michango utafikiri ndio unaenda kuanza maisha!!!
Tuache tamaa. Tuache mizaa.
Sekta ya michezo ya kubashiri (betting) imekuwa moja ya vyanzo vikuu vya mapato kwa serikali ya Tanzania. Kupitia kodi na leseni zinazolipwa na makampuni ya betting, serikali inapata fedha zinazochangia bajeti ya taifa. Kwa mfano, kodi kutoka sekta hii imesaidia kufadhili miradi mbalimbali ya...
Uwekezaji wa moja kwa moja kutoka China barani Afrika, umekuwa ni sehemu ya mtindo mpya ya ushirikiano wa kiuchumi kati ya China na nchi za Afrika, ambao tangu mwaka 2000 umekuwa ukiongezeka kwa kiwango cha zaidi ya asilimia 25 kwa mwaka, na kupungua kiasi kutokana na changamoto za janga la...
Za saizi wakuu!
Nafanya kazi private sector.kuna sehemu nafanya kazi nalipwa 1.2m hapa Dar,lakini katika harakati za hapa na pale nikafanya interview sehemu nikapata mshahara ni 1m.
Sasa kilichonifanya niombe ushauri ni mwajiri wangu wa sasa anaoperate kazi zake very local yani halipi NSSF...
Chama cha Chadema hakina heshima kwa viongozi wake, kinataka kumwondoa Mh Mbowe kihuni bila kujali mchango wake mkubwa ndani ya Chama hiki, Mbowe alitakiwa kustaafishwa kwa heshima kubwa
Mh Mbowe amejenga Chama kwa gharama kubwa ya fedha na Wanachama kwa zaidi ya miaka 30 historia hii ni kubwa...
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetoa zawadi kwa klabu za Simba na Yanga kama ishara ya kutambua mchango mkubwa katika kutangaza na kukuza chapa ya Ligi Kuu Bara ndani na nje ya bara la Afrika kutokana na mafanikio ya klabu hizo kwenye michuano ya CAF kwa ngazi ya klabu.
https://youtu.be/Qoag3vwDQrk
Msanii wa UGANDA Jose Chameleon aliimba wimbo unaosema tusisubiri kutoa sifa kwa watu ,wakishaenda, tuwape sifa zao wakiwepo,na ikipendeza wakiwa madarakani ..watanzania tumpe maua yake Rais Samia
Wakati tuelekea mwishoni mwa mwaka 2024 ,ni wakati wa watanzania...
Siwapendi CCM ila juna wakati nikisikiliza nyimbo za Caotain Komba huwa nabaki natabasamu,maneno kama mtaisoma namba,CCM ni ile ile,yanakera na kufurahisha kwa wakati mmoja.
CCM wanapiga tu nyimbo zake sijui kama familia yake Inafaidika na hizo nyimbo. Kama hamuwezi kumlipa mjengeeni mnara basi...
CCM ni sawa na yale magenge ya Madawa za kulevya kule Mexco, ambako kila mbinu ikijulikana huingia chimbo na baadae kuja na mbinu mpya ya kusafirisha Dawa za kulevya.
CCM baad ya kugundua mbinu nyingi za wao kuiba kura hasa kura fake zinajulikana now day sana wanatumia police hao hao kuiba...
Mkutano wa kilele wa 19 wa Kundi la Nchi 20 (G20) umefanyika hivi karibuni mjini Rio de Jeneiro, Brazil. Rais wa China Xi Jinping amesema katika mkutano huo kwamba, China imetangaza uamuzi wa kuzipatia nchi zote zilizo nyuma kimaendeleo zenye uhusiano wa kibalozu na China huduma ya kuondoa...
MAOMBI YA WAZAZI WAKO HAYANA MCHANGO WOWOTE KATIKA MAFANIKIO YAKO. MATENDO YAO MEMA NDIO SADAKA KWA MAFANIKIO YAKO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Hata waombe na kubinuka. Hata wafunge 40 kama Yesu. Hata wafunge Ramadhan na Shaban.
Hata wagaregare na Kuvaa magunia. Ni Kazi bure tuu.
Maombi...
Habari waungwana wa humu.
Bila shaka hakuna aliye mgeni wa kadhia hii kwenye maisha yetu ya kila siku kwenye jamii zetu..
Kama kawaida ya watu duni umoja wetu ndio nguvu yetu ya kufanikisha yale yanayoonekana yako nje ya kimo chetu kiuchumi.
Mshikamano ni jambo la msingi sana lakini inakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.