Sisi kanisa tumefundishwa kuwa sharia haiwezi kumkomba mwanadamu, na mafundisho yetu kupitia bwana Yesu Kristo huwa tunaenda mbali zaidi kwa imani kuwa Taurati/sharia haiwezi kuleta haki kwa jamii, haiwezi kuleta amani kwa jamii isipokuwa kwa jina la Yesu mnakaa chini na kuonyanyana kwa zabiri...
Habari ndugu, wana jf katika kuadhimisha kumbukumbu ya mwalimu. Nyerere baba wa taifa nimeona nilete mada hapa ili tuijadili kwa pamoja kuhusu "mchango na nafasi ya vijana wasomi kwenye maendeleo nchini".
Kwanza ifahamike kwamba kwa tanzania kijana msomi ni yule aliyepata cheti cha elimu...
Mnyonge anachangia Tsh ngapi kwenye fedha za Taifa ambayo huwa anatetewa nayo sana na wale wanaojiita wazalendo ambao mwenye fedha kwao ni fisadi?
Ukiachana na misaada:
Kodi imekuwa ikilipwa na wenye fedha sio wanyonge
Bandari zilijengwa na wenye fedha kupitia kodi zao sio wanyonge
Mbuga za...
UTANGULIZI
Timu ya Yanga imeamua kukodi Ndege ya Shirika la ndege la Tanzania kwenda Nigeria, lakini tukumbuke mpira siyo uzuri wa lifti kuelekea uwanjani Bali mpira na mbinu na ujuzi. Mchango wa pipa la kukodi wakati walishindwa kutumia uwanja wa nyumbani ni mdogo Sana kwenye ushindi isipokuwa...
Afisa mtendaji kata ya Lulembela wilaya ya Mbogwe mkoani Geita leo tarehe 6 September 2021 amewafikisha mahakamani baadhi ya watumishi (Walimu na wataalamu wa afya) kujibu shauri alilolifungua (KUPINGA MAENDELEO) katika mahakama ya mwanzo Lulembela.
Katika shauri hilo walilosomewa watumishi hao...
Afisa Mtendaji kata ya Lulembela, wilaya ya Mbogwe, mkoa wa Geita amekuwa Mungu mtu kwa kutisha na kulazimisha wananchi na watumishi kutoa mchango wa maendeleo bila staha na kuzingatia utu wa mtu.
Anamtumia balozi wa nyumba kumi anayeitwa Benard Gwanguru ambaye amekuwa akiambatana na mgambo...
Kaimu Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) upande wa taaluma Prof. Samweli Kabote akifunga maadhimisho na maonesho ya wiki ya tiba asili ya mwafrika Kanda ya Mashariki yaliyofanyika kwenye viwanja vya Soko Kuu la Chifu Kingalu Manispaa ya Morogoro.
Mkurugenzi wa...
Wakati dunia bado inahangaika na janga la corona au UVIKO19, nasi tumeona tutoe mchango wetu kwa wanaotafuta riziki kupitia biashara zao hususan wale wanaofuata bidhaa zao huko China, Uingereza, Uarabuni na mataifa mengine.
Siku hizi kusafiri imekuwa shida sana, shida zaidi ni kuagiza na...
Na Ronald Mutie
Chama cha Kikomunisti Cha China sio tu kimesaidia nchini hiyo kufikia muujiza wa maendeleo ya kiuchumi lakini pia China imekuwa mchangiaji mkubwa kwa maendeleo ya ulimwengu, amani na utulivu.
Mkuu wa Tume ya Uhusiano wa nje wa Chama cha Kikomunisti cha Kamati Kuu ya Vietnam...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Ummy Mwalimu amewasimamisha kazi Mtendaji wa kijiji cha Nyamililo Wilayani Sengerema Mariamu Mgunda, pamoja na mwenyekiti wa Kijiji hicho Mateso Shibayi na kuwaweka ndani kwa kosa la kuchangisha kwa nguvu fedha za...
Katika taifa letu la Tanzania, watanzania tumejijengea utaratibu wa kushirikiana katika maswala mbalimbali ndani ya jamii zetu kama kuchangiana harusi, kutoa rambi rambi kwenye misiba na kujenga makanisa pamoja na misikiti. Haya yote yanafanyika na yanafanikiwa kutokana na nguvu ya umoja na...
Pamoja na kuongezeka kukubwa kwa wanafunzi wanaojiunga na elimu
ya juu, vyuo vyingi vikuu vya Kiafrika havitoi wahitimu wengi, na wengi
wao hawana stadi zinazohitajiwa kuinua maendeleo ya kiuchumi ya taifa
katika karne ya 21.
Kwa hiyo kizuizi kimoja kikubwa katika kukuza uchumi ni maamuzi...
Inafahamika kwamba kila siku duniani kote wafanyabiashara wanapanga mbinu za kila aina kuweza kukwepa kodi,ndio maana watu kama Ronaldo na Messi wamewahi kukamatwa na kushtakiwa kwa kukwepa kodi,
Kama tumeamua kuwabembeleza wafanyabiashara, basi kuna mambo mawili ya kufanya mdaiwa asipolipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.