Hivi mtu unajisifia una PhD kumbe PhD yenyewe ni ya sociology,law, education,public administration, accountant, public relations, community development n.k hizi PhD ambazo hazin faida yoyote zaidi ya mtu kupoteza muda tu darasani bila msingi wowote ule hizi zinatakiwa zifutwe nakuendelea...
Lugha ni nyezo ya mawasiliano ambayo imekuwa na msaada mkubwa kwenye maisha ya binadamu kwenye maendeleo yake katika kila nyanja iwe ni kiuchumi, kisiasa kisaioilojia kisayansi, binadamu katumia lugha kusambaza elimu na maarifa na mengine mengi ila unajua kuwa lugha inamchango mkubwa kwenye...
Habari wakuu. Kwa wale tunaomfahamu MH Balozi Humphrey Polepole tangu miaka ya 2010 tunaweza kukiri kuwa amebadilika sana.
Alikuwa ni Mwanaharakati mpenda maendeleo na haki sawa kwa wote. Mpenda amani na Utawala bora.
Hata hivyo ameendelea kutuonesha dalili za uwezo wake alipochaguliwa kwa...
Kama BAKITA kweli taasisi zingine za Lugha na sanaa zinatambua na kuenzi kazi za sanaa, basi nadhani wasanii hawa walipaswa kuenziwa na ikibidi kuthaminiwa sana na serikali kwa kuwashirikisha katika matukio muhimu ya sanaa badala kuwashirikisha watumbuizaji peke yao ambao hawana mchango wowote...
Ukiwa makini na jf utapata mawazo mengi ya vitu vya kufanya.kwa mfano mimi nataka nifungue mradi niuze vitu vya kula ambavyo vina rangi nyeupe pekee..
Nazi
Mayai
Maziwa
Karanga
Maji
Maharage meupe
Viazi
Ndizi
Pop corn
Mahindi
Mkate
Unga
Vitunguu swaumu
Pia naweza kuweka t shirt nyeupe
Raba...
KIpindi fulani niliwahi kufanya kazi na wahindi ikiwa ndio ajira yangu ya mwanzo kabisa baada ya kumaliza kidato cha sita,nikiwa nasubiri matokeo nikapata hiyo kazi katika kampuni ya ujezi
Hawa jamaa kwa kawaida huwa hawana kawaida ya kukupongeza hata ufanye kazi vizur kiasi gani,wao ni lawama...
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa la Tanzania, alitambua mapema kuwa maendeleo ya taifa changa la Tanzania hayangeweza kutegemea misaada ya nje pekee. Aliweka msingi wa falsafa ya kujitegemea, akiamini kuwa Tanzania inaweza kujenga uchumi imara kupitia rasilimali zake za ndani...
Kuna kada kataka kuniharibia siku leo.
Asabuhi asubuhi kwenye maofisi ya watu eti anataka mchango 30,000 wa mbio za mwenge utakaopita wilayani kwetu
Nimemtimua kama mwizi
Siwezi kushiriki ushirukina
Kupigania ukombozi wa nchi ni harakati zote zenye lengo la kuitoa nchi katika mifumo ya dhuluma katika kipindi chochote. Huku kupo sawia na kupigania uhuru kwa kina Mandela, Nyerere, Samora, Museveni, Garang, au kina Kagame wa Rwanda huko.
Kwamba makwetu leo dhuluma zimetamalaki tena hadi...
Mchango wake kwenye sanaa ya bongo sio wa kubeza lakini alichukuliwa poa.
Hakuwa msanii aliebahatisha kutoa Hit moja au mbili akapotea, Alihusika kwenye Hits 5, Ni wasanii wa kike wachache sana waliweza kutoa hits zaidi ya 3 (Ray C, Jide, Enika, n.k.), Sio rahisi !!
Zifuatazo ni hits zake 5...
Ongezeko la mchango wa sekta ya madini kwenye Pato la Taifa
Tangu kuingia madarakani kwa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, mwaka 2021 kumekuwa na ongezeko la 3.6% ambapo mwanzoni mwa mwaka 2021 ilikuwa 7.3% na kwasasa 2024 ni 10.9%.
Ongezeko la Masoko a Vituo vya Ununuzi wa Madini
Kutokea mwaka...
Baada ya Magoma kuangukia pua leo ni pigo la pili baada ya kipigo cha mwizi cha jana kutoka kwa Simba ni maumivu juu ya maumivu hakimu angesubiria angalau mpaka jumatatu ndo atoe huku kidogo maumivu ya jana yangekua yamepoa.
Kushindwa kwa Magoma ni pigo kubwa kwa Simba ni ukweli ili kuishinda...
Kila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy?
Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu wako kwa kuwapiga watoto bila sababu? Kama mtoto hakupewa hela, unampiga ili hela aitoe wapi?
Au...
Katika kumbukumbu za siku ya kiswahili, sijawahi kusikia wakitajwa wasanii wa Muziki wa Dansi katika kukuza lugha ya kiswahili hasa wakati ule ambapo jamii nyingi zilikuwa Bado hazijafunguka na wengi walisthiriwa na vilugha vyao.
Lakini wanamuziki wa enzi hizo kwa majitoleo na uzalendo mkubwa...
MAMABO YA KUZINGATIA KABLA HUJASAIDIA WENGINE.
1.Usitoe ukabaki huna chochote
2.Usigope kuachwa kwa sababu huna bali sema HUNA kama kweli huna.
3.Usitoe kwa lengo na wao wakupe kesho.
4.Usitake kujua wanakusemaje baada ya kuwasaidia.
HATA UTOE VIPI SIKU MOJA TU UKIKOSA WATAKUONA HUNA MCHANGO...
Toa mifano kutoka katika moja ya nchi zifuatazo:
1. Iran
2. Vatican
3. Saudi Arabia
4. Marekani
5. Oman
6. Uingereza
7. Zanzibar
8. Tanganyika
9. Misri
10. Nigeria
1. Makamu Mwenyekiti aliomba mchango wa V8 mpya. Je imefikia kiasi gani? Usikute akaunti ni ya Mwenyekiti na hakuna uwazi wa kujua kiasi cha michango.
2. Itafika sehemu Makamu Mwenyekiti nae Njaa itamzidi atimkie CCM akale mema ya nchi, mtamlaumu Nani?
MWINYIMBEGU DIBIBI- MZALENDO WA KIAFRIKA ALIYESAHAULIKA
Ahmed Dibibi
Si wengi wenye kulifahamu jina hili na wengine yawezekana ikawa mara ya mwanzo kulisikia.
Mwinyimbegu Dibibi kwa watu wa makamo na wazee si jina geni masikioni mwao, wenyeji wa Miji ya Upwa wa Tanganyika ya Kale na Unguja...
Muhimu bunge likatunga kanuni kutofautisha muda wa kuchangia wabunge kulingana na sifa ya eiimu na makundi yanayotoka. Kwa mfano wenye elimu ya PhD wakawa na muda mrefu tofauti na wale darasa la saba, mbunge wa jimbo akawa na muda zaidi ya wale wa viti maalumu.
Hatusitahili kuchuka kila kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.