mchango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eti mtu anajisifia ni PhD, halafu PhD ambazo hazina mchango wowote kwenye maendeleo ya nchi hii

    Hivi mtu unajisifia una PhD kumbe PhD yenyewe ni ya sociology,law, education,public administration, accountant, public relations, community development n.k hizi PhD ambazo hazin faida yoyote zaidi ya mtu kupoteza muda tu darasani bila msingi wowote ule hizi zinatakiwa zifutwe nakuendelea...
  2. Mufti Sheikh Hassan bin Ameir (1880 - 1979) Mchango Wake Katika Uasisi wa TANU na Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/WdiQykUgOys?si=fcaPooTUouxWutKI
  3. Lugha na mchango kwenye ufikiri

    Lugha ni nyezo ya mawasiliano ambayo imekuwa na msaada mkubwa kwenye maisha ya binadamu kwenye maendeleo yake katika kila nyanja iwe ni kiuchumi, kisiasa kisaioilojia kisayansi, binadamu katumia lugha kusambaza elimu na maarifa na mengine mengi ila unajua kuwa lugha inamchango mkubwa kwenye...
  4. B

    Sijaona Mchango wa Balozi Hamphrey Polepole kwa Taifa kama alivyotuaminisha hapo Mwanzo

    Habari wakuu. Kwa wale tunaomfahamu MH Balozi Humphrey Polepole tangu miaka ya 2010 tunaweza kukiri kuwa amebadilika sana. Alikuwa ni Mwanaharakati mpenda maendeleo na haki sawa kwa wote. Mpenda amani na Utawala bora. Hata hivyo ameendelea kutuonesha dalili za uwezo wake alipochaguliwa kwa...
  5. Top 3 GOAT Tanzania Rappers, Serikali itambue mchango wao ikibidi watunukiwe Phd

    Kama BAKITA kweli taasisi zingine za Lugha na sanaa zinatambua na kuenzi kazi za sanaa, basi nadhani wasanii hawa walipaswa kuenziwa na ikibidi kuthaminiwa sana na serikali kwa kuwashirikisha katika matukio muhimu ya sanaa badala kuwashirikisha watumbuizaji peke yao ambao hawana mchango wowote...
  6. Idea ni nyingi za biashara,jf ina mchango pia kutupa akili kwa mfano tazama idea yangu uipe marks

    Ukiwa makini na jf utapata mawazo mengi ya vitu vya kufanya.kwa mfano mimi nataka nifungue mradi niuze vitu vya kula ambavyo vina rangi nyeupe pekee.. Nazi Mayai Maziwa Karanga Maji Maharage meupe Viazi Ndizi Pop corn Mahindi Mkate Unga Vitunguu swaumu Pia naweza kuweka t shirt nyeupe Raba...
  7. Jenga tabia ya kutambua mchango na juhudi za unaowaongoza au kuwasimamia

    KIpindi fulani niliwahi kufanya kazi na wahindi ikiwa ndio ajira yangu ya mwanzo kabisa baada ya kumaliza kidato cha sita,nikiwa nasubiri matokeo nikapata hiyo kazi katika kampuni ya ujezi Hawa jamaa kwa kawaida huwa hawana kawaida ya kukupongeza hata ufanye kazi vizur kiasi gani,wao ni lawama...
  8. Mchango wa Mwalimu Julius Nyerere Katika Kilimo na Siasa za Kujitegemea: Urithi wa Maono Makubwa Kwa Taifa la Tanzania

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa la Tanzania, alitambua mapema kuwa maendeleo ya taifa changa la Tanzania hayangeweza kutegemea misaada ya nje pekee. Aliweka msingi wa falsafa ya kujitegemea, akiamini kuwa Tanzania inaweza kujenga uchumi imara kupitia rasilimali zake za ndani...
  9. Nimetimua kama mwizi, kada aliyekuja kunichangisha mchango wa mbio za mwenge

    Kuna kada kataka kuniharibia siku leo. Asabuhi asubuhi kwenye maofisi ya watu eti anataka mchango 30,000 wa mbio za mwenge utakaopita wilayani kwetu Nimemtimua kama mwizi Siwezi kushiriki ushirukina
  10. B

    Tuwatambue wapigania ukombozi mamboleo wasiokuwa na mchango wowote kwa taifa hili

    Kupigania ukombozi wa nchi ni harakati zote zenye lengo la kuitoa nchi katika mifumo ya dhuluma katika kipindi chochote. Huku kupo sawia na kupigania uhuru kwa kina Mandela, Nyerere, Samora, Museveni, Garang, au kina Kagame wa Rwanda huko. Kwamba makwetu leo dhuluma zimetamalaki tena hadi...
  11. G

    Ni kwanini K Lyn hakupata heshima anayostahili kwa mchango wake mkubwa kwenye Bongo Flava industry?

    Mchango wake kwenye sanaa ya bongo sio wa kubeza lakini alichukuliwa poa. Hakuwa msanii aliebahatisha kutoa Hit moja au mbili akapotea, Alihusika kwenye Hits 5, Ni wasanii wa kike wachache sana waliweza kutoa hits zaidi ya 3 (Ray C, Jide, Enika, n.k.), Sio rahisi !! Zifuatazo ni hits zake 5...
  12. Ongezeko la mchango wa sekta ya madini kwenye Pato la Taifa

    Ongezeko la mchango wa sekta ya madini kwenye Pato la Taifa Tangu kuingia madarakani kwa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, mwaka 2021 kumekuwa na ongezeko la 3.6% ambapo mwanzoni mwa mwaka 2021 ilikuwa 7.3% na kwasasa 2024 ni 10.9%. Ongezeko la Masoko a Vituo vya Ununuzi wa Madini Kutokea mwaka...
  13. Mashabiki wa simba waanza mchango kwa ajili ya kumchangia legend Magoma akate rufaa

    Baada ya Magoma kuangukia pua leo ni pigo la pili baada ya kipigo cha mwizi cha jana kutoka kwa Simba ni maumivu juu ya maumivu hakimu angesubiria angalau mpaka jumatatu ndo atoe huku kidogo maumivu ya jana yangekua yamepoa. Kushindwa kwa Magoma ni pigo kubwa kwa Simba ni ukweli ili kuishinda...
  14. R

    KERO Waziri wa Elimu Prof. Mkenda, tueleze mitihani ya kila wiki kwa kuwalipisha wazazi mchango wa Tsh. 1,500 kila Ijumaa , ndiyo sera uliyoiruhusu?

    Kila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy? Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu wako kwa kuwapiga watoto bila sababu? Kama mtoto hakupewa hela, unampiga ili hela aitoe wapi? Au...
  15. Iwekwe siku ya kumbukumbu na kuenzi mchango wa Muziki wa Dansi katika kukuza lugha ya Kiswahili

    Katika kumbukumbu za siku ya kiswahili, sijawahi kusikia wakitajwa wasanii wa Muziki wa Dansi katika kukuza lugha ya kiswahili hasa wakati ule ambapo jamii nyingi zilikuwa Bado hazijafunguka na wengi walisthiriwa na vilugha vyao. Lakini wanamuziki wa enzi hizo kwa majitoleo na uzalendo mkubwa...
  16. M

    HATA UTOE VIPI SIKU MOJA TU UKIKOSA WATAKUONA HUNA MCHANGO WOWOTE KWAO.

    MAMABO YA KUZINGATIA KABLA HUJASAIDIA WENGINE. 1.Usitoe ukabaki huna chochote 2.Usigope kuachwa kwa sababu huna bali sema HUNA kama kweli huna. 3.Usitoe kwa lengo na wao wakupe kesho. 4.Usitake kujua wanakusemaje baada ya kuwasaidia. HATA UTOE VIPI SIKU MOJA TU UKIKOSA WATAKUONA HUNA MCHANGO...
  17. Dini ina mchango gani katika maendeleo chanya au hasi ya nchi?

    Toa mifano kutoka katika moja ya nchi zifuatazo: 1. Iran 2. Vatican 3. Saudi Arabia 4. Marekani 5. Oman 6. Uingereza 7. Zanzibar 8. Tanganyika 9. Misri 10. Nigeria
  18. Mchango ununuzi Gari la Lissu umefika kiasi gani?

    1. Makamu Mwenyekiti aliomba mchango wa V8 mpya. Je imefikia kiasi gani? Usikute akaunti ni ya Mwenyekiti na hakuna uwazi wa kujua kiasi cha michango. 2. Itafika sehemu Makamu Mwenyekiti nae Njaa itamzidi atimkie CCM akale mema ya nchi, mtamlaumu Nani?
  19. Mjukuu wa Sheikh Mwinyimbegu Dibibi Anaeleza Mchango wa Babu Yake Katika Kupigania Uhuru

    MWINYIMBEGU DIBIBI- MZALENDO WA KIAFRIKA ALIYESAHAULIKA Ahmed Dibibi Si wengi wenye kulifahamu jina hili na wengine yawezekana ikawa mara ya mwanzo kulisikia. Mwinyimbegu Dibibi kwa watu wa makamo na wazee si jina geni masikioni mwao, wenyeji wa Miji ya Upwa wa Tanganyika ya Kale na Unguja...
  20. T

    Nashauri viwekwe vigezo vya elimu, viti maalumu n.k Muda wa kuchangia usifanane kwa wabunge wote. Nilitamani Dr. Kimei aongezewe muda.

    Muhimu bunge likatunga kanuni kutofautisha muda wa kuchangia wabunge kulingana na sifa ya eiimu na makundi yanayotoka. Kwa mfano wenye elimu ya PhD wakawa na muda mrefu tofauti na wale darasa la saba, mbunge wa jimbo akawa na muda zaidi ya wale wa viti maalumu. Hatusitahili kuchuka kila kitu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…