Hellow simba pole leo mlikuwa mnakomaa kiume na tumejua kuwa bila marefa hamtoboi 😂
Turudi class
Kwanza andaa mchele wako vizuri chambua kama unaweza kuloweka loweka mimi sikuloweka kwasababu nilikuwa na haraka zangu binafsi
Hapo nilikuwa nimeweka mchele sukari hamira na irick ya unga...
Hili swali nimejiuliza kwa muda mrefu sana na sijawahi kupata jibu.
Inakuwaje unaenda dukani unakuta muuzaji anauza mchele au karanga ambazo hazijachambuliwa?
Inafikirisha sana karne hii na zama hizi bado tunanunua mchele wenye mawe, na kwa kuwa unapimwa ule uchafu nao pia unalipia.
Hivi...
Baada ya kujidunduliza na kujinyima nyima nikapata kamtaji ka kupata nusu tani ya mchele
Nauza mchele kwa bei ya 1600 ,1800,2400 na 2800
Flem yangu ipo chamazi jirani na uwanja wa azam complex,pia nafanya delivery kwa wale ambao watakosa muda wa kufika ninapouzia
Namba yangu ni 0682528220.
Kwenu wadau njaa mbaya:
Gazeti la Korea Kusini la Korea Herald linaripoti, likimnukuu balozi wa zamani wa Korea Kusini nchini Urusi, kwamba badala ya usambazaji wa risasi na kutuma wanajeshi kushiriki katika vita vya Urusi na Ukraine, viongozi wa DPRK watapokea kutoka Moscow takribani tani...
Habarii wana JF natumai wote mko salama.
Mimi ni mfanyabiashara wa mchele hapa Dar es Salaam
Nauza jumla na rejareja.
Ila nasikitika toka nifungue hiii baishara yangu nimepitia changamoto nying sana mpka leo na nimekuwa mtu ambaye sikatii tamaa nikijipa moyo kwamba ndo napata experience maana...
Na hawajaishia tu Kuupenda bali wameenda mbali zaidi na kusema kuwa pia unapatikana kwa Gharama nafuu mno.
Chanzo Taarifa: BBC Dira ya Dunia hivi punde tu.
Ngoja nami sasa nipate Elimu ya Kilimo kidogo ili nijaribu hili Zao kwani nasikia Mchele wa Tanzania unapendwa EAC.
Habari wana jf tupeane machimbo ya mchele wa bei nzuri ya chini
Hapa mbeya mjini kuanzia 1200 kuendelea
Kwa ubaruku kuanzia 1300 kuendelea
Wewe hapo ulipo bei ikoje.
Nimena video inasambaa mtandaoni ikionesha waandamanaji Nigeria wakisitisha maandamano yao baada ya kupewa mchele. Nadhani kwa Afrika ni Kenya pekee ndiyo vijana wake wanajielewa vizuri kuliko wengine.
Nitashangaa kusikia MTU analalamika kuhusu njaa wakati mchele umeshuka Sana bei.
Nunua chakula cha kutosha uweke ndani itasaidia kuishi vizuri wewe na familia yako.
Tuwe Kama wazungu sio kila siku MTU unawaza chakula na kodi tujitahidi kuishi kwa mipango na mikakati ya Muda mrefu.
Habari zenu wadau. Naomba kujua tafadhali. Kipi bora kati ya hivi : 1. Ninunue mpunga nikoboe zitoke kilo elfu moja niweke ndani kwa ajili ya matumizi ya familia. Au ninunue mpunga, niweke ndani then niwe nakoboa debe kumi kumi za mpunga kila baada ya miezi miwili au mitatu.
Debe moja la...
Hii sio kutoka kwa janabi hii ni kutoka kwa Wataalamu wanasayansi wa mambo ya lishe wanapendekeza Saizi ya kawaida ya mchele kwa watu wazima ni ½ kikombe cha mchele uliopikwa.
Size hio ni sawa na ukubwa kama wa chungwa Hivi. mchele mweupe huo unatosha kabisa kutoa nyuzi nyingi zaidi, protini...
Napenda kuwasanua vijana na madini haya
Mikoa ya shinyanga na wilaya zake pamoja na tabora na wilaya zake baadhi pia umeanza uvunaji wa mpunga tokea mwezi wa4 mwanzoni mpak kuendlea!!
Manunuzi ya gunia Moja la mpunga lazidi kushuka sasahv ni 45,000/= 50,000/= na Kuna ule supa mabeyenge una...
Kumeingia wimbi la kuuziwa michele ambayo imepakwa mafuta hasa Dar es saalaam na Pwani, Je serikali kupitia wizara na taasisi zao hawajaliona hili?
Je, ni mafuta gani hayo yanapakwa kwenye mchele ikiwa na lengo la kuufanya uonekane mzuri je, ni mafuta ya aina gani?
Tunashuhudia kansa...
Natumai wote mko sawa humu ndani.
Naombeni msaada mtu yeyote au mfanyabiashara yeyote aliyepo Dar anipe maelekezo vizuri kuhusu mchele.
1. Bei zipoje sasa mashineni
2. Je ni kweli muda si mrefu bei zitashuka na zikishuka huwa zinafikia bei gani
3. Usafiri mpka dar kwa kilo mia bei gani na...
Habari ndugu,
Kwa kahama mashine bei ya mchele ikoje huko asaivi
Kama kuna ndugu anafanya biashara hapo tuwasiliane i wish kuja huko next week kuona namna mzunguko wa mchele huko ulivyo au kama kuna mtu ana mchele mwingi na mzuri tufanye biashara
Wadau hamjamboni nyote?
Nimeona niwape tahadhari kabla ya kuwatakia usiku mwema
Ni kwa wale Ndugu zangu wanaopenda kunywa uji wa ulezi kama mimi hapa.
Huu ni utafiti usio na chembe ya uongo kuhusu uji wa ulezi unaouzwa kwa kutembezwa barabarani na Wamama hususani hapa Dar es salaam
Inadaiwa...
Habari,
Kumekuwa na hoja mtaani inadai kwamba ikitokea upo porini na ukahisi harufu ya wali au mchele unapaswa kuchukua tahadhari kwani ni ishara kuwa chatu yupo karibu na anatoa harufu hiyo kukuvuta.
Je, kuna ukweli kuhusu hoja hii? Tunaomba ufafanuzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.