Kabla ya kuanza mashindano haya, wapo waliohoji vigezo vilivyotumika kuwapata washiriki. Pamoja na kusemwa kuwa washiriki walipatwa kwa kutazama mafanikio ya timu hizo kwa miaka mitano kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika, waliokosoa hawakukosea.
Wakosoaji, ambao sasa wameonekana ni wakweli...
Kwa Nini mchele unaotoka kyela mkoani mbeya una bei kubwa na soko Sana hapa dar
Kuna tofauti gani Kati ya mchele wa kyela na mbalali???
Na mchele you in soko Sana hapa dar Kati ya mchele wa kyela na mbalali
Habari ,naomba kuuliza bei ya maharage na mchela ni sh ngap kwa debe mwezi huu wa tisa (9) mwaka 2023
Bei mchele wa Kyela na mbalali na bei ya maharage ipoje
Wataalamu wa siasa za nchi hii tuliposimama na Rais Samia kutetea uwekezaji wa Bandarini tulionekana sie ni machawa na tukasemwa sana.
Tuliposema kuwa hizi kelele za Bandari kuuzwa sijui nchi imeuzwa ni maneno ya chuki na uzandiki kukwamisha mipango mizuri ya Rais wetu kwenye uchumi wetu ili...
Nchi jirani yetu ya Kenya imekumbwa na matatizo makubwa ya balaa la njaa tangia lock downs za COVID na ukame mfululizo.
Pia tangia vita vya Ukraine imekubwa na balaa la upungufu na kupanda sana kwa bidhaa ya mafuta ya petroli na dizeli.
Machafuko yanayoendelea sasa nchini Kenya yanatokana...
Habari wakuu, naombeni ushauri, mawazo na msaada wa kupata soko kwenye biashara ya mchele. Natoa mchele wilaya mpya ya songwe, mchele ni mzuri sana.
Aliye na uhitaji nao tufanye biashara wakuu tuinuane.
Ahsanteni na Karibuni.
Wakulima wa mpunga bonde la kilombero wanufaika na kupanda kwa Bei ya mchele ambapo kwa Sasa Bei ya mchele imefika elfu 1800 Hadi elfu 2000 kwa kilo
Hata hivyo wakulima wamesema kuwa wanafurahi Sana kupanda kwa Bei ya mchele kwani Bei ya Sasa inautofauti na Bei ya mwanzo kwani mwanzo...
Habari,
Mimi ni mfanyabiashara , nina duka la rejareja( fremu) na store, nipo mabibo Dar
Nahitaji kununua Mchele na maharage kutoka mbeya, au tunaweza kufanya makubaliano ya kukuuzia maharage ,mchele n.k dukani kwangu
Uaminifu 100% ,
Njoo DM
Namba yangu 0788768480
Piga au tuma meseji.
Asanteni
WAZIRI ASHATU KIJAJI AAHIDI KUTATUA KERO YA UTOZAJI USHURU KWA WAFANYABIASHARA WADOGO MKOA WA MANYARA
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewaahidi wafanyabiashara wa soko la Mchele la Magugu mkoani Manyara kufanyia kazi kero ya utozaji wa ushuru wa Shilingi...
Habari wadau !!
Kwanza nitoe shukrani kwa ushirikiano wenu hatimaye nimetimiza agenda yangu ya kufungua kiwanda cha kuchakat plastics na kazi zimeanza haraka sana ila nimepata pigo kwenye swala la kuuza hizi flakes nina tani 10 za flakes nimeenda tazata pale wameniambia kwa sasa hwanunui...
Upo mchele ambao umeingia katika soko la nchi yetu ni msafi kweli lakini kwa hakika huu sidhani kama ni mchele maana hauna ladha, haukolei mafuta, unaumiza tumbo,mnaopewa tenda za vyakula ndugu zanguni muwe mnaangalia vitu vya kuwaletea Tanzania, sijui wengine mmewahi kudadisi hili? (kuna baadhi...
Mliwahi kula huu mchele?
Wanawake wengi wanasema mchele huu ni mbaya.
Pia wanalalamika serikali kushindwa kuzuia mchele wetu mzuri na kuagiza mchele ule wa nje mbaya.
Binafsi siwezi pingana na wapikaji mchele huu sio mzuri.
Pia wanalalamika kuwa mchele huu unauzwa bei rahisi ili kuuwa soko...
Baada ya Mchele tuliolima wenyewe hapa nchini kupanda bila ya sababu za msingi waziri wa viwanda na biashara alisema atatoa vibali vya kuagiza Mchele uje nchini na kupunguza makali ya bei ya bidhaa hiyo. Lakini Cha kushangaza ndio imekuwa kimya na Hadi Sasa haieleweki huo Mchele umeshafika au...
Hivi karibuni Serikali iliahidi kuingiza mchele toka nje ya nchi ili kupunguza makali ya bei ya mchele na nafaka zingine!
Matarajio ya watu wengi ilikuwa ni bei ya mchele kushuka na kuwasaidia watu kuweza kumuda kupata mlo
Sasa imepita miezi zaidi ya miwili lakini bado bei iko pale pale lakini...
Tani 130 za mchele wa Kampuni ya Sahal General Store Zanzibar zimeharibika moja ya sababu ikidaiwa ni kukaa kwenye makontena bandarini muda mrefu bila kushushwa.
Tani hizo zimebainika leo Machi 11, 2023 baada ya kampuni hiyo kuhisi kuharibika kwa mchele huo na kutoa taarifa kwa Wakala wa...
Habari,
Nimezunguka masokoni huko kuangalia mchele, yaani mchele mwingi umenyooka yaaani punje zote za mchele zimenyoka bila kasoro, sasa nimekuja ulizia hapa hivi hakuna mchele wa plastic?
Na ni namna ipi nzuri kutumia kugundua mchele wa plastic?
Nimenunua mchele mzuri hapa Temeke 2600 ndio naenda kupika pia kwa pembeni nimeona Mwingine sh 2500 mzuri na wenyewe pia.
Hakika Jambo hili ni Jambo Jema Sana kiukweli.
Update
Mchele ni mtamu Sana ndo napakua Muda huu
Kuna mwana JamiiForums amesikia habari ya serikali kuzuia mchele kuuzwa nje au wote tumesikia kuruhusu uletwe kutoka nje tu.
Serikali haujazuia mchele kuuzwa nje mpaka sasa hivi inamaa kubwa kuwa hawa walioleta mchele kutoka nje wanaweza pia wakauza huko nje baada ya kuuleta hapa Tanzania ikawa...
Ninavyowajua Watanzania wanapenda vitu vya bei rahisi Bila kuzingatia ubora
Hiyo michele iliyofichwa na Wakulima soon inaenda kuwadodea
Bashe ajipime kama anatosha!
Mchele kutoka nje.
Je tumejiridhisha kwamba uliopo nchini hautoshi?
Je uzalishaji wetu wa mchele ni kiasi gani, mahitaji kiasi gani na upungufu kiasi gani
Hizo tani elf 90 za mchele zitaingizwa kwa muda gani
Je wakulima walioko shamba kwa sasa mchele wao watauza wapi wakikutana na huo wa nje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.